superagent profile

superagent

Mar 19, 2025

â‹®

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

*ANGALIZO KWA MAWAKALA* (1) Wakala hauruhusiwi Kumuhudumia Wakala Mwenzio Float, hiyo Ni Fraud japo ni njia ya kujisaidia flot. Wanakata commission yako. (2) Wakala Unapo wekewa float na Wakala Mkuu (Super agent) 30% Lazima hiyo hela ihudumie Wateja kabla hujaitoa Kwa Super agent mwingine au kumuhamishia Wakala Mwenzio. (Fraud) (3) Wakala Kukatakata miamala Mteja Amekuja Na Laki we unaweka 50,50 Muda huohuo Hiyo Ni (Fraud) (4) Wakala Kujitolea Kwa Lipa mara Kwa mara kwenye Till Yako, hiyo. Ni (Fraud) (5) Direct Diposit au kuweka pesa kwa mtu aliyembali(kuweka pesa kwa niamba ya mteja) Hizo Fraud zinaweza kusababisha kufungiwa lain Yako Au kutokulipwa Commsion yako ya Mwezi. *_😂😂😂😂😂😂KAZI TEMBO COMMISSION SISIMIZI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂_* *MALIPO MADOGO KAZI KUBWA* #super Agent HITAJI LAKO NDIO KIPAUMBELE CHETU!! Whtspp & Call 0654555758

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.