HR profile

HR

Mar 14, 2025

Post media

Nimepitia post hii ya Mr mwanya baada ya jamaa ku mDM sina uhakika juu ya kutapeliwa kwa huyo jamaa au la, ila nikajaribu kusoma comment watu wengi wana mu ignore wakihisi nae ni tapeli tu, ukiwa makini utapata vitu kadhaa kwenye meseji ya huyo jamaa niambie ulichokiona wewe , unahisi ni tapeli au ni kweli tukio limempata ,

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.