mpesabusiness profile

mpesabusiness

20h ago

Post media

Wengi sana ambao hawajui biashara huwa na fikra moja tu sasa nikijarubu nikafeli? Yani kama wewe huwa unajiuliza hivo basi adi unaingia kaburini huto fanikiwa kwenye biashara yoyote Ile wengi watakwambia wewe uwakala utaweza wapo wenye kazi zao, aya ukitapeliwa je yani maswali ya hovyo Kwani ukinunua pikipiki haiwezi pata ajali au ukiiuza mboga mboga huwezi pata hasara yani ni maswali ya hovyo na hofu yakukurudisha nyuma Chakufanya Anza kuchunguza biashara unayo taka kufanya ujue faida, hasara, changamoto, labda nauli au bei za bizaa kila kitu alafu Anza kujifunza Kwa walio fanikiwa Kwa hiyo biashara wagande bora uwe chawa ili mladi tu uweze kujua siri ya biashara hiyo. Kila biashara ukipatia sheria zake vizuri lazima ikutoe vizuri anza sasa. #MixByYas #MPESASafaricom #MPESA #Vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.