kahumba profile

kahumba

Jun 24, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Mawakala wezangu kipindi hiki ambacho Cha kulipa Ada mwezi wa sita kuelekea wa Saba na Wa Nane majambazi wapo kazini Huku kwetu Morogoro juzi Kuna wakala kapigwa Risasi hakitokea ofisini kwake tarehe 21/06/2025 wengi mmeona kwenye vyombo vya Habari

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.