mpesabusiness profile

mpesabusiness

3d ago

Post media

Kila biashara huwa ina nguzo zake ambazo mtu atahitajika kuzifata ili aweze kufanikiwa kwenye biashara ndomaana unaweza Kuta mtu analia biashara ya Michele ni mbya ni hasara tu, apo apo mwingne anasema biashara ya Michele ndo biashara inafaida nzuri kumbe tatizo nini je unafata nguzo za biashara hiyo? Hizi ni nguzo za uwakala. 1. Umakini. Yani kwenye uwakala kama wewe unataka kujifanya mzembe basi utaiona hii kazi ni ngum sababu usipokuwa makini utasababisha vitu vingi vyenye hasara mfano, mtu anakuja nipe sim yako nipige we huwazi unampa tu apigie, mtu anakuja hakutajii jina litakalo toka baada ya kutaka kutuma we husemi unatuma tu badae anasema umekosea tatzo Nini hauko makini au Kuna mtu akija unajua kbsa huyu tapeli ila kwakuwa hauko makini huwezi gundua hilo. 2. Mtaji. Jitahidi sana uwe na mtaji mzuri ili ufurahie biashara hii nakwambia ukiwa na mtaji mzuri lazima ufurahie biashara hii niamin Mimi nacho kwambia we fatilia utagundua nachosema. 3. Eneo la biashara. Hii ndo muhim sana zaidi yani hii unaweza kuwa na mtaji ata milion kumi ila ukiwa sehem mbya tu hutoboi Mimi ndo nakwambia nishfanya uchunguzi mkubwa Kwa hili swala kwaiyo naongea kitu Kwa ushahidi nazani watu wata comment mtaona. Kwaiyo hizo ndo nguzo za biashara ya uwakala. #Vodacom #MixByYas #MPESASafaricom #Airtel #MPESA

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.