tonny profile

tonny

Jul 6, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jaman naomba kuuliza mtu akitoa kwa lipa voda anaweza kurudisha muamala na yeye kama yuko mbali na voda wanamrudishia

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.