mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 9, 2026

Post media

Hapa kuna hatari mbili zinaweza kukuta. 1. Hela kweli anatumiwa anakwambia nipe sasa hiyo nawahi we utaitoa sawa ukimpa tu akatoka pale muamala unarudishwa chap. 2. Tatzo la pili anaweza kuwa huyo ni tapeli tayari kashamtapeli mtu kwaiyo yule mtu anasema nipe namba nikutumie kwaiyo anakuja kwako unampa namba yako anamtumia yule mtu Afu yule si anatuma kwako we unatoa unampa huyo tapeli anasepa kesi inabaki kwako sasa namba yako Ndo imetumika kupokea hela kumbe hela hiyo ni ya utapeli unadakwa wewe kwaiyo kuwa makini.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.