baraka profile

baraka

Feb 27, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Wadau hivi mpaka nifanye miamala kiasi gani ndio till yangu ya Mpesa iweze kusongesha. Nina mtaji mdgo wateja wengi.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.