jofrey profile

jofrey

Dec 15, 2025

Post media

Jamani naomba niulize kitu kimoja kuna uwezekano wa miamala inayofanyika kwa simu ya wakala taharifa zote ukazipata kwa simu kubwa ya mkononi ili ufatiliaji ue mwepesi

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.