mpesabusiness profile

mpesabusiness

5d ago

Post media

Kiuhalisia kama kila mtu angekuwa anachukua record ya kila muamala faida yake Kwa mwezi mzima basi utagundua Kuna sehem tunaingizwa Chaka Mimi nimefanya hivo ili kupata uhakika zaidi. Kila muamala nilikuwa naandika record yake sasa nimekuja kupiga hesabu commission nilio lipwa na hii nimeandika tofauti kabisa. Ndo pale wanasema hivi Kuna makosa utakuwa wakala ulifanya ndo zikakatwa mfano miamala batili kumtumia mtu mara mbili, au kutuma muamala mwingne kabla ya dakika Tano, au kumtumia mtu akiwa mbali sasa ukiangalia haya makosa Wala sio ya wakala nikumuonea Bure. Ndomaana napambana mawakala tuungane kwenye hili so wanatukata tu sasa mteja akiwa mbali Mimi najuaje sasa, au sijui eti subiri mteja dakika tano ndo utume tena kama wateja wapo ishirini sasa nisubiri dakika tano si wataondoka au eti namba moja nisihudumie mara Zaidi ya mara mbili Kwa siku sasa kama mteja ndo anataka ana bet zake yani sio sahihi kabisa. Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #MPESASafaricom #Airtel #Vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.