mpesabusiness profile

mpesabusiness

2d ago

Post media

Tunaposema kipochi ni lipa nayenyewe ila utofauti wake ni makato tu mfano lipa kipochi huwa wana kata buku kwenye laki, au kwenye elfu 20 wanakata 380 umeona hiyo ndo lipa kipochi. Huo ndo utofauti kwenye makato ila sijasema nikwaajii ya uwakala ni Kwa watu wote ambae nimteja wa voda. Ukihitaji lain hii piga 0779573819 au wasap apo sizani sasa kama tapokea tena maswali.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.