HR profile

HR

Mar 13, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

TODAY TIP "Kabla hujajiunga kwenye group lolote la float exchange na kuanza kufanya exchanges za floats ,make sure una wajua vizuri wahusika asa admins, kama huna uhakika na usalama wa hela zako nenda tu kwa super agent au wapige wale wanaofanya delivery ya floats hasa Yas wapo wengi, au jenga utamaduni wa kubadilishana floats na wakala wa karibu yako, wasiwasi ndio akili" Dr hapa.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.