modussutz profile

modussutz

May 7, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Nataka kufungua hii kitu ya miamala lakin nikisoma umu mnanikatisha tamaa ivi kwani hakuna hakuna kiwango maalumu ambacho agent atalipwa kwa muhamala mmoja yaani % 5 labda kwa kila muhamala au 2% ili mtu awe anajua maana naona watu wanatoa malalamiko mengi kama sijui wamelipwa kidogo sijui nini niji ni kama wanakupimia unavyotaka na sio cammition ya kufanya kazi au mambo uwa yapo vip wakuu mbona kama ni kizungumkuti ?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.