superagent profile

superagent

Mar 17, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Je wajua kuwa unaweza kutuma meseji normal kwa mtu hata kama huna SMS kwenye laini yako? Kikubwa uwe na MBs au WiFi connected🥷 Yaani unachat Normal na mtu kwa kutumia MBs na inakuwa mfumo kama WhatsApp tu delevered,seen,typing na zaidi👊 Cha kuzingatia: Lazima na yeye awe amewasha data sasa huu mfumo unaitwa RCS Chats Unapatikana kwenye app ya Google SMS/ Google Message Utaingia setting then Message Setting halafu RCS Chat weka on halafu Connect na namba yoyote ya laini yako kisha washa data na anza kuchat kwa kutumia MBs pale ambapo unaechat nae atakuwepo ONLINE pia Ili ujue kuwa yupo online au amewasha data na app yake ya SMS inasupport RCS Chat ukiwa unasend text itajiconnect automatically kwenda mfumo wa RCS chat na atapokea na utaweza kuona Delivery Report na Read Receipt na hata akiwa anatype utaona pia🥷 NB: Hii app inaweza kukusaidia pia kuhack texts zake kama utafankiwa kushika simu yake na akawa anatumia app kama hii kwa kutap sehemu ya Device Pairing na kupair simu yake😃 #super Agent HITAJI LAKO NDIO KIPAUMBELE CHETU!! Whtspp & Call 0654555758

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.