mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 13, 2026

Post media

Jana niligusia hilo ili kuona watu wanaelewa vipi kuhusu lessen hizi sasa somo hili. Tin number ni nini? hizi ni namba ambazo unapewa na TRA ambazo zinahusika na ulipaji wa kodi na kuzitumia katika kutengeneza lessen mfano lessen ya biashara ili mtu aonekane ana lipa kodi kazima awe na tin number. Lessen ya biashara ni nini? Hizi ni lessen zinazo mtambulisha mfanya biashara ambazo hizo lessen ndani yake ndo kuna tin number ambazo zinakutambua wewe ukilipa kodi, na hizi lessen za biashara unazipata kwenye halimashauri yako wewe nenda utapewa utaratibu. Je wakala wa mpesa, Yas, Airtel anahitaji lessen gani? wakala anahitaji lessen ya biashara tu na sio lessen zingine. Hizo lessen za hela ambazo zinatoka BOT ni kwa ajili ya watu wanaokopesha hela basi sio mawakala kwaiyo kuanzia leo wakala usitishike ata mtu anafanya kazi BOT akija kwenye ofisi yako akakuta lessen ya huduma za hela atakushangaa sana kwa sababu hizo nikwaajili ya watu wanao kopesha tu basi. Ndomaana unapo sajili lain za uwakala unaombwa lessen ya biashara na sio hiyo ya hela ya BOT. Sasa hapo nazani tumeelewna mchana mwema TRA Tanzania #MPESA #Uwakala #Vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.