mwashada profile

mwashada

Mar 1, 2025

Post media

Nikichukua kamisheni yangu, nikatoa kodi, nikalipa umeme na maji, najiona kabisa nakula mtaji. Anyway mambo yakoje huko kwenu

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.