mwashada profile

mwashada

Feb 6, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Msaada hapa jamani, hivi nyie huwa mnauzagaje luku? Nina wateja wengi mno wanakuja wanataka niwanunulie umeme. Nimejaribu kuwanunulia kwa Lipa naona nakatwa. Nyie mnafanyaje msaada tafadhari

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.