unatoawapshngapisina profile

unatoawapshngapisina

Jun 27, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Wakala Linda biashara ya wakala mwenzako, Mteja anatok kwa wakal mwenzak ameambiwa hana mtandao we kwa kutofikiriq unaripoka amekudanganya uyo na maneno mengine mtandao tunatofautiana mitandao tusiisha kwa kumeza

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.