mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 5, 2026

Post media

Unajua Kwa Nini nakukataza kumpa mteja sim yako ya ofisi au yako Kuna utapeli huu. Mteja anakuja niazime sim wakala yako yakupiga una mpa chap anakagua jina ume save lbda baba, kaka, mama, mpenzi, bamdogo anafuta moja anaweka yake afu ana save hivo hivo kama ulivyo save kesho yake. Anatuma message labda nitumie laki takupa nikija jina linakuja lbda bamdogo kwenye Sim yako we unahisi ni bamdogo wako kumbe ni li namba la tapeli unatuma badae unaumana na bamdogo wako. Iko hivyo umenisoma ee we wakala mpya. Follow me Mpesa business #MPESASafaricom #MixByYas #MPESA

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.