mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 10, 2026

Post media

Kuna njia mbili za kupata lain za uwakala. 1. Kwenda moja kwa moja kwenye maduka yao mfano vodashop ila ili uwende kule na upate lain kuna vitu hivi lazima uwe navyo. . lessen ya biashara. .Tin number. .NIDA. Hivyo ndio muhimu sana ukienda moja kwa moja kwenye maduka yao ila huku lain zinakawia kutoka huo ndio ukweli. 2. Kwa wakala muaminifu. Huku sio paka uwe na leseni ya biashara ila zipo lessen za kusajilia lain bei nafuu tu na tin number kama huna anakutngenezea vizuri tu na unapata lain kwa muda sio mrefu. Kwaiyo wewe ndon utachagua wapi unahitaji kupata lain hizo apo nazani tumeelewna sasa Mimi natengeza lain za voda till ila kama uko mbali uwe karibu na ane sajili lain pia halotel na Airtel hizi so lazima uwe karibu na wakala wa lain hizi ni fast tu. KWAIYO huo ndo utaratbu ndugu zangu kwenye darasa langu yote hayo nafundisha kuna vitu vingi sana nivile zarau tu. Mawasiliano yangu 0779573819 WASAP au piga

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.