mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jul 8, 2026

Post media

Kama siku mtandao sio mzuri miamala haiendi au kutoa shida acha kwanza paka mtandao uwe vizuri sababu kuna mazara haya ukilazimisha. Unaweza toa afu messege isirudi mteja akasema mimi nimetoa nipe hela salio kwangu hamna hela imekuja kwako ukapiga sehem husika wakakwambia mtandao mbovu hela itakuja kwako, sawa unampa hela mteja afu hela hairudi kwako inaenda tena kwa mteja hasara tayari hiyo. Cha pili messege hairudi kwako kwa mteja inarudi anakuonesha message sasa hapo kuna mawili wengine ni matapeli akisha gundua mtandao mbovu anaweza edit haraka message akakuonesha ametoa sababu kwako messege haijaja ukaamini ukampa hela kumbe muamala haujaja kwako. #MPESA #Airtel #Vodacom

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.