danny profile

danny

Apr 5, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Kuna ndugu Yangu yuko hapa Dar ana Kibanda cha M pesa huwa anamuacha mdg wake kwenye kibanda yeye anendelea na mishe zingine mtaani Juzi kuna jamaa alienda kibandani pale ambaye dogo hamfahamu wala hamkumbuki ila tu anachokumbuka alimuomba Cm pale kibandani ili afanye mawasiliano 🤔 Kumbe yule jamaa alichokifanya alichukua Cm ya dogo akatafuta namba ya Kaka yake aone ameisevu vip , baada ya kuona hilo jina akalifuta kwenye cm ya dogo afu yeye akaandika namba Yake akasev jina la kama la yule Kaka yake (ambaye ndo huyo ndugu yangu) Baadae akamrudishia Cm yake baada ya saa kdg akaanza kuchat naye 😢 Dogo akafikiri anachat na Kaka yake ,,,,,akamuuliza Flot imebaki kiasi gani dogo akafunguka akamwambia nitumie laki 350 Dogo akamtumia Baadae ndo Kaka yake akaenda hapo Kibandani Kwenye kuongea kumbe dogo katapeliwa yule alomtumia pesa sio Kaka yake ni huyo tapeli kasev namba kwa jina la Kaka 😢 Inaonekana huyo jamaa anamjua vzr Kaka Yake 🤔 sasa Huyu Kaka kila akienda Kibandani Jamaa hamtafuti ila akitoka akiingia tu Dogo jamaa anamtafuta anamuulizia Flot ,,wakati dogo ashagundua kuwa sio Kaka yake bali ni Tapeli.

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.