mpesabusiness profile

mpesabusiness

Jun 20, 2026

Post media

Pochi ya biashara hizi ni lain za lipa ambazo zinamakato madogo sana yani mtu ukitoa hela unakatwa hela ndogo sana Ukitaka kupata uhakika nenda vodashop uliza kila kitu ukshapewa majibu uje kwangu nikusajilie maana kule kuna mchakato kidogo Mfano ukiwa na lipa hiyo mteja akija kutoa kwenye laki yani anakatwa buku tu basi, kwenye 20000 anakatwa 380 sasa unachelewa wapi kupata lipa hii jiongeze upate hela acha kuzubaa wewe ukienda vodashop zipo mimi pia msajili hizi lipa ukihitaji tu wasap 0779573819

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.