justin profile

justin

Aug 28, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jamani Mawakala wenzangu naomba kuuliza kuhusu suala la Kulipia Hela ya Taka ni shingapi naomba nipate ufafanuzi kwa upande wa Mbili, Wenye Banda la kuhamishika na Sio la kuhamishika....na ni lazima au Kuna baadhi ya sehemu ni Freee tyuuu.....🙏🙏🙏🧎

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.