Hili swali wengi wanajiuliza na hawapati majibu Mimi mpesa business nimekuletea somo hili ujifunze bila kusahau Kuna app ya mawakala wa TANZANIA nzima tuna jadili humo ingia play store tafuta wakala forum jiunge ili tuwe pamoja.
Haya kuhusu miamala batili au Haram ambayo inapelekea watu au mawakala kukatwa ni hii miamala ifutayo.
1. Kumtumia flot wakala mwenzako.
Hii ni kosa kisheria Kwa uwakala unapomtumia wakala mwenzako flot hilo nikosa kubwa wakala ahudumiwe na wakala mkuu tu.
2. Kumuhudumia mteja akiwa mbali sana na eneo lake hiyo kisheria ni kosa ko huo muamala unakuwa batili.
3. Kurudia rudia muamala wa kutuma Kwa namba moja Kwa siku moja.
Unapo mtumia mtu hela mara tatu Kwa siku Kwa namba moja Hilo nikosa kisheria za uwakala ko unakuwa muamala batili.
Ko hiyo ndo miamala batili.
Follow me Mpesa business
#MPESA #MPESASafaricom #Vodacom