matala profile

matala

Feb 27, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Jaman kuna kitu najiuliza sana, hivi hawa watu wanakuja kutoa na lipa namba hivi hizi kamisheni zinaongezwa kweli mwisho wa mwezi. Na kama zinaongezwa mbna wao hawakatwi?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.