tonny profile

tonny

Jun 26, 2026

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Habari mawakala wa zoefu mimi ni wakala niko mwanza na wakala mwingine yuko kagera sasa yeye wateja wakiwa wengi huwa anaitumia wateja wake niwahudumie kuwawekea hela je hapa nafanya kosa?

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.