stalon profile

stalon

Mar 16, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI AIRTEL Wanahitajika vijana wa kitanzania 30 wa kufanya kazi ya kutengeneza Lipa namba za Airtel Vigezo 1.uwe na uwezo wa kutengeneza lipa kuanzia 20 kwa wiki* 2.Uwe na namba ya nida 3.Tin certificate 4.pasport picha(jipige kwa kutumia cm yako 5.Namba ya Airtel (isiwe imewahi kupewa code ya kusajili laini au SME) MALIPO UTALIPWA LAKI MBILI NA NUSU (250,000) UKIWASHA LIPA 20 KILA WIKI YAANI LIPA 80 KWA MWEZI UTAONGEZEWA TSH 800 (MIANANE) KILA LIPA UTAKAYOWASHA UTALIPWA TENA TSH 1,600 KILA LIPA ITAKAYO FANYA MIAMALA 10 YENYE JUMLA YA LAKI 3 AU ZAIDI NDANI YA MIEZI MIWILI UTALIPWA TENA 3,200 KWA KILA LIPA ITAKAYO FANYA MIAMALA 10 YENYE JUMLA YA SHILINGI MILIONI MOJA AU ZAIDI NDANI YA MIEZI MIWILI

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.