kahumba profile

kahumba

Mar 27, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

MAWAKALA MUWE MAKINI jana saa tisa alikuja mteja akanambia eti alikuja jumanne kutuma pesa kwa mama ake elfu 60 haikufika na mimi muda huo sikufanya muamala wowote nikambana akasema amekosea nikampokonya simu akafanikiwa kukimbia hakurudi na simu kaniachia haina password wala chochote leo sku pili matapeli ni wengi

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.