davson profile

davson

Apr 2, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

Wakuu naombeni msaada till yang ni mpya airtel nimeifanyia kaz sku 10 na kuzid kila siku nlikua naletewa kuanzia 8000 na kuendelea leo commision napewa 14000 adi sielewi imekatwaje nisaidien wakuu

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.