HR profile

HR

Mar 14, 2025

Hakuna picha au video

Post hii haina picha au video ya kuonesha

TODAY TIP "Usitaje namba ya uwakala au code ya uwakala kumpa mtu alie mbali na ofisi ili afanye muamala kwa mteja mgeni au usiemjua vizuri muombe uone meseji ya muamala kwa kujifanya kwako haijafika, ni rahisi mtandao kurejesha muamala kama mteja yupo mbali na wewe , pia kuwa makini na simu za customer care wa mtandao wako ambazo (100) hupigwa kweny laini yako pokea na toa ushirikiano kwao " Dr hapa

Je wewe ni wakala?

Pakua Wakala Forum ili ujiunge na jukwaa la mawakala wa huduma za kifedha kwenye mijadala mbalimbali.