comrade
1 day ago
Habarini za wakati huu kwa anayefahamu application ya kufunga hesabu za wakala anisaidie
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
comrade
1 day ago
Habarini za wakati huu kwa anayefahamu application ya kufunga hesabu za wakala anisaidie
bumela
3 September 2026
Habari wadau nisaidieni namuna ya kupata talifa ya miamala ya mwezi mzima kwenye til ya voda
makenzie42
2 September 2026
Hivi commission halopesa super agent wamelipa au Bado maana kwangu sioni chochote

mange_solver
2 September 2026
š„š„ ššØš„š¦š š¬š šššš š„š„ š„ š”šššš§ššš š©šššš”š šŖš ššØššš§š šŖšš§ššš šŖš šššš¢š£šš¦š šØšŖššššš š° šššš š š§ššš š š¢šš = š±,š¬š¬š¬/= š š§šØš š šššš šØššš£šš§šš ššš£šš§š¢ ššššš¢! šÆ š šššš£š¢ š”š šššš š¦šššØ š”š š”š šØšššššš š„ š§šØš š šššš ā š§šØš£šš§š šššš! š š ššŖšš¦ššššš”š¢ ā ļø > Call /whatsapp > š¬š³šµš³š°šµš³šÆš³šÆš
justin
28 August 2026
Jamani Mawakala wenzangu naomba kuuliza kuhusu suala la Kulipia Hela ya Taka ni shingapi naomba nipate ufafanuzi kwa upande wa Mbili, Wenye Banda la kuhamishika na Sio la kuhamishika....na ni lazima au Kuna baadhi ya sehemu ni Freee tyuuu.....šššš§

wsms
28 August 2026
Habari mawakala šš¾ Tumetengeneza Smart Wakala ā Wakala Smart Management System, mfumo uliotengenezwa kurahisisha usimamizi wa biashara ya uwakala. Badala ya kutegemea daftari, hesabu na kumbukumbu zilizotawanyika sehemu tofauti, Smart Wakala inakusaidia kusimamia sehemu kubwa ya biashara yako sehemu moja Miamala ⢠Cash & Float ⢠Commission ⢠Gharama ⢠Wafanyakazi ⢠Reports ⢠Faida Kila shughuli inapowekwa kwenye mfumo haiishii kuwa kumbukumbu tu. Taarifa zinaunganishwa na sehemu husika za biashara ili iwe rahisi kufuatilia kinachoendelea na kuelewa biashara yako kwa picha kubwa zaidi. Ndani ya Smart Wakala pia kuna Pinnacle AI, intelligence inayotumia taarifa za biashara yako kukusaidia kuona mwenendo, kupata insights na kutambua maeneo yanayoweza kuhitaji umakini wako. Mfumo umejengwa uwe rahisi kutumia katika shughuli za kila siku za wakala, iwe unatumia simu au computer, na unaweza kuchagua Kiswahili au English. Kama wewe ni mmiliki wa biashara ya uwakala, unaweza kufungua account yako na kusajili biashara yako kupitia: wakalasmart.site Endesha biashara yako kisasa Elewa kinachoendelea hata ukiwa mbali Smart Wakala Built with 𩵠from LABBS Tech
gideon
24 August 2026
Samahani naomba kuuliza hivi nikimtumia pesa mtu niliyemsajilia kwa kitambusho changu maana yake majina yake yanatokea ya kwangu mimi wakala je hiyo inakua fraud au nitapata commision kama kawaida?
samwelinjabili
24 August 2026
Jamani me naomba mnielekeze jinsi ya kupata code mpya yani line mpya ya uwakala
makenzie42
22 August 2026
Msaada wakuu hivi tillsuper agent halopesa haioneshi commission ya kila muamala
justin
18 August 2026
Jaman naombeni Kuuliza ndgu na sisi Mawakala tunatakiwa kulipa ( ELA) ya Taka au daah Maana Mim ndo nimeanza kazi sahv Nina Banda naomba msaada
lizy
17 August 2026
Msaada Kwa anaefahami NAMNA ya kulipia Ada kupitia till ya Mixx by Yas
gideon
16 August 2026
Naomba nisaidiwe nafanya Muamara message hairud kwang ila mteja snapata messaji natumia yasi tatizo ninini?

peaslepaypont
16 August 2026
Natafta binti wa m pesa, mfanyakazi Dm
lazaromhongole
14 August 2026
Hivi jamani ukitapeliwa hakuna namba unaweza mpata huyo tapeli maana kilicho nikuta leo namwachia mungu
lazaromhongole
14 August 2026
Hivi lpa namba ya voda unaipataje jamani Kwa anae jua
lazaromhongole
14 August 2026
Jamani hv lipa namba ya voda inapatikana vip Kwa anae jua
shejeshe
13 August 2026
Leo na amka nakutana na huu ujumbe apo inatakiwa nifanyaje kuepuka kufungiwa naomba ushauri waugwana "Ndugu wakala tumebaini kuwa hufanyi huduma ya kutoa pesa kupitia namba yako ya uwakala. Epuka kufungiwa huduma. Tafadhali tumia namba yako kwa miamala ya kutoa"
mduma
9 August 2026
Naitaji mniunge kwenye magroup ya flot exchange no,0794289775 namini mtanisaidia asante
mduma
9 August 2026
Wakala mkuu wa halotel tamjuaje
mduma
9 August 2026
Humu,ndani msaada wakala mkuu mwenye uwezo wa kujaza floti mitandao yote wengine typo Chaka sana
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.