Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

Ukisema ukalili kila njia ya utapeli kwa wewe unae anza itakuwa ngumu kwako huo ndio ukweli ila kunajinsi ya kufanya yani tuseme kama kinga.

1. Usimuamini mteja yoyoye yule.
Hapa nazungumzia mteja yoyote ata jirani yako au ndugu yako sababu jirani au ndugu anaweza kutumika kukutapeli bila yeye kujua hilo weka akilini yani usimuamini afate Sheria wanazo fata wateja wengine apo utakuwa salama.

2. Mteja atoe hela kutumia sim yake au kuwekewa hela kwenye sim yake asitumie kifaaa chako cha kazi ata siku moja.

Yani hapo usimpe mteja ata sim yako ya akiba ashike sijui wamtumie hela acha kama hana basi kubali kukosa hiyo hela unaweza sema mbona mimi nawapaga sitapeliwi ila weka akilini hili neno watu hawatapeliwi wote kwa siku moja maana yake ipo siku yako.

3. Usisikilize mtu yoyote anae jifanya sijui afisa, sijui wakala mkuu ambae we humjui au sijui natokea campun gani usisikilize kabis watu hao iwe live au wamepiga sim kata sim au kama wamekuja kwako sema siwajui na staki usumbufu na staki huduma yenu nikitak taenda mwenyewe voda au Yas au tamfata wakala wangu mkuu basi kausha.

4. Usifungue link yoyote ile au usifate mashariki yoyote yale ambayo mtu amekupigia sim sijui fanya fanya hivi kata sim, kwanza sim unazo takiwa kupkea ni 100, 101 basi zingine zote acha usipokee.

Kwa leo ni hayo tu.

Elim ipo kubwa kwa wewe unae anza inabidi uipate ila ndoivi Mtanzania paka aibiwe Kwanza laki tano ndio atoe 20000 kujifunza.

0779573819 piga ila sana wasap
mpesabusiness

mpesabusiness

14 July 2026

Ukisema ukalili kila njia ya utapeli kwa wewe unae anza itakuwa ngumu kwako huo ndio ukweli ila kunajinsi ya kufanya yani tuseme kama kinga. 1. Usimuamini mteja yoyoye yule. Hapa nazungumzia mteja yoyote ata jirani yako au ndugu yako sababu jirani au ndugu anaweza kutumika kukutapeli bila yeye kujua hilo weka akilini yani usimuamini afate Sheria wanazo fata wateja wengine apo utakuwa salama. 2. Mteja atoe hela kutumia sim yake au kuwekewa hela kwenye sim yake asitumie kifaaa chako cha kazi ata siku moja. Yani hapo usimpe mteja ata sim yako ya akiba ashike sijui wamtumie hela acha kama hana basi kubali kukosa hiyo hela unaweza sema mbona mimi nawapaga sitapeliwi ila weka akilini hili neno watu hawatapeliwi wote kwa siku moja maana yake ipo siku yako. 3. Usisikilize mtu yoyote anae jifanya sijui afisa, sijui wakala mkuu ambae we humjui au sijui natokea campun gani usisikilize kabis watu hao iwe live au wamepiga sim kata sim au kama wamekuja kwako sema siwajui na staki usumbufu na staki huduma yenu nikitak taenda mwenyewe voda au Yas au tamfata wakala wangu mkuu basi kausha. 4. Usifungue link yoyote ile au usifate mashariki yoyote yale ambayo mtu amekupigia sim sijui fanya fanya hivi kata sim, kwanza sim unazo takiwa kupkea ni 100, 101 basi zingine zote acha usipokee. Kwa leo ni hayo tu. Elim ipo kubwa kwa wewe unae anza inabidi uipate ila ndoivi Mtanzania paka aibiwe Kwanza laki tano ndio atoe 20000 kujifunza. 0779573819 piga ila sana wasap

Jana niligusia hilo ili kuona watu wanaelewa vipi kuhusu lessen hizi sasa somo hili.

Tin number ni nini?
hizi ni namba ambazo unapewa na TRA ambazo zinahusika na ulipaji wa kodi na kuzitumia katika kutengeneza lessen mfano lessen ya biashara ili mtu aonekane ana lipa kodi kazima awe na tin number.

Lessen ya biashara ni nini?
Hizi ni lessen zinazo mtambulisha mfanya biashara ambazo hizo lessen ndani yake ndo kuna tin number ambazo zinakutambua wewe ukilipa kodi, na hizi lessen za biashara unazipata kwenye halimashauri yako wewe nenda utapewa utaratibu.

Je wakala wa mpesa, Yas, Airtel anahitaji lessen gani? wakala anahitaji lessen ya biashara tu na sio lessen zingine.

Hizo lessen za hela ambazo zinatoka BOT ni kwa ajili ya watu wanaokopesha hela basi sio mawakala kwaiyo kuanzia leo wakala usitishike ata mtu anafanya kazi BOT akija kwenye ofisi yako akakuta lessen ya huduma za hela atakushangaa sana kwa sababu hizo nikwaajili ya watu wanao kopesha tu basi.

Ndomaana unapo sajili lain za uwakala unaombwa lessen ya biashara na sio hiyo ya hela ya BOT.

Sasa hapo nazani tumeelewna mchana mwema 

TRA Tanzania #MPESA #Uwakala #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

13 July 2026

Jana niligusia hilo ili kuona watu wanaelewa vipi kuhusu lessen hizi sasa somo hili. Tin number ni nini? hizi ni namba ambazo unapewa na TRA ambazo zinahusika na ulipaji wa kodi na kuzitumia katika kutengeneza lessen mfano lessen ya biashara ili mtu aonekane ana lipa kodi kazima awe na tin number. Lessen ya biashara ni nini? Hizi ni lessen zinazo mtambulisha mfanya biashara ambazo hizo lessen ndani yake ndo kuna tin number ambazo zinakutambua wewe ukilipa kodi, na hizi lessen za biashara unazipata kwenye halimashauri yako wewe nenda utapewa utaratibu. Je wakala wa mpesa, Yas, Airtel anahitaji lessen gani? wakala anahitaji lessen ya biashara tu na sio lessen zingine. Hizo lessen za hela ambazo zinatoka BOT ni kwa ajili ya watu wanaokopesha hela basi sio mawakala kwaiyo kuanzia leo wakala usitishike ata mtu anafanya kazi BOT akija kwenye ofisi yako akakuta lessen ya huduma za hela atakushangaa sana kwa sababu hizo nikwaajili ya watu wanao kopesha tu basi. Ndomaana unapo sajili lain za uwakala unaombwa lessen ya biashara na sio hiyo ya hela ya BOT. Sasa hapo nazani tumeelewna mchana mwema TRA Tanzania #MPESA #Uwakala #Vodacom

Yani ukishaifaham tu kazi hizi vizuri huto taka kazi ingine nikwambie leo ukweli huo.

Uwakala shida ni mtaji tu basi ila ukishapata mtaji umemaliza sababu kinacho fata nikuchagua eneo zuri tu basi nakutulia hela zinakuja zenyewe.

Kuhusu utapeli kwangu hakuna mbinu ambayo siijui inayo tumika kwenye utapeli kwa uzoefu wangu wakujifunza na kuifanya hii biashara hakuna tapeli anaweza ni tapeli mimi labda aniteke tu basi.

Kuna angle nne tu ukizijua hizo hakuna tapeli yoyote anae weza kukutapeli labda wakuteke basi.

Kwaiyo kama una mtaji na huna chakufanya kabisa njoo kwenye uwakala jifunze anza.
mpesabusiness

mpesabusiness

13 July 2026

Yani ukishaifaham tu kazi hizi vizuri huto taka kazi ingine nikwambie leo ukweli huo. Uwakala shida ni mtaji tu basi ila ukishapata mtaji umemaliza sababu kinacho fata nikuchagua eneo zuri tu basi nakutulia hela zinakuja zenyewe. Kuhusu utapeli kwangu hakuna mbinu ambayo siijui inayo tumika kwenye utapeli kwa uzoefu wangu wakujifunza na kuifanya hii biashara hakuna tapeli anaweza ni tapeli mimi labda aniteke tu basi. Kuna angle nne tu ukizijua hizo hakuna tapeli yoyote anae weza kukutapeli labda wakuteke basi. Kwaiyo kama una mtaji na huna chakufanya kabisa njoo kwenye uwakala jifunze anza.

Hapa nahitaji wataalamu waje kutuelewesha tuelewe vizuri hasa TRA Tanzania.

Kwanini ukiwa na duka la kawaida na uwakala hapo hapo manispaa wanataka lessen mbili ya uwakala wa hela na leseni ya biashara wakati tunapo sajili za uwakala tunaombwa lessen za biashara tu na hawakwambii kuhusu lessen za uwakala wa hela hii inakaaje.

Maana kuna watu watatu nimeshuhudia wanaambiwa hivi kuwa wanahitajika kuwa na lessen mbili

Kwanini mtu anapotaka kuwa wakala mnamwambia lessen ya biashara?

#Airtel #MPESA #MixByYas #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

12 July 2026

Hapa nahitaji wataalamu waje kutuelewesha tuelewe vizuri hasa TRA Tanzania. Kwanini ukiwa na duka la kawaida na uwakala hapo hapo manispaa wanataka lessen mbili ya uwakala wa hela na leseni ya biashara wakati tunapo sajili za uwakala tunaombwa lessen za biashara tu na hawakwambii kuhusu lessen za uwakala wa hela hii inakaaje. Maana kuna watu watatu nimeshuhudia wanaambiwa hivi kuwa wanahitajika kuwa na lessen mbili Kwanini mtu anapotaka kuwa wakala mnamwambia lessen ya biashara? #Airtel #MPESA #MixByYas #Vodacom

Kuna njia mbili za kupata lain za uwakala.

1. Kwenda moja kwa moja kwenye maduka yao mfano vodashop ila ili uwende kule na upate lain kuna vitu hivi lazima uwe navyo.

. lessen ya biashara.
.Tin number.
.NIDA.

Hivyo ndio muhimu sana ukienda moja kwa moja kwenye maduka yao ila huku lain zinakawia kutoka huo ndio ukweli.

2. Kwa wakala muaminifu.

Huku sio paka uwe na leseni ya biashara ila zipo lessen za kusajilia lain bei nafuu tu na tin number kama huna anakutngenezea  vizuri tu na unapata lain kwa muda sio mrefu.

Kwaiyo wewe ndon utachagua wapi unahitaji kupata lain hizo apo nazani tumeelewna sasa 

Mimi natengeza lain za voda till ila kama uko mbali uwe karibu na ane sajili lain pia halotel na Airtel hizi so lazima uwe karibu na wakala wa lain hizi ni fast tu.

KWAIYO huo ndo utaratbu ndugu zangu kwenye darasa langu yote hayo nafundisha kuna vitu vingi sana nivile zarau tu.

Mawasiliano yangu 0779573819 WASAP au piga
mpesabusiness

mpesabusiness

10 July 2026

Kuna njia mbili za kupata lain za uwakala. 1. Kwenda moja kwa moja kwenye maduka yao mfano vodashop ila ili uwende kule na upate lain kuna vitu hivi lazima uwe navyo. . lessen ya biashara. .Tin number. .NIDA. Hivyo ndio muhimu sana ukienda moja kwa moja kwenye maduka yao ila huku lain zinakawia kutoka huo ndio ukweli. 2. Kwa wakala muaminifu. Huku sio paka uwe na leseni ya biashara ila zipo lessen za kusajilia lain bei nafuu tu na tin number kama huna anakutngenezea vizuri tu na unapata lain kwa muda sio mrefu. Kwaiyo wewe ndon utachagua wapi unahitaji kupata lain hizo apo nazani tumeelewna sasa Mimi natengeza lain za voda till ila kama uko mbali uwe karibu na ane sajili lain pia halotel na Airtel hizi so lazima uwe karibu na wakala wa lain hizi ni fast tu. KWAIYO huo ndo utaratbu ndugu zangu kwenye darasa langu yote hayo nafundisha kuna vitu vingi sana nivile zarau tu. Mawasiliano yangu 0779573819 WASAP au piga

FAIDA HALISI YA UWAKALA KWA SIKU
Faida halisi ya biashara ya uwakala kwa siku inategemea mambo makuu manne:
šŸ“ Eneo (Location) ulipo
šŸ’° Kiasi cha float ulichonacho
šŸ¤ Ubora wa huduma kwa wateja
šŸ”„ Kasi ya mzunguko wa miamala
Watu wengi hudanganywa na picha zinazoonyesha kwamba "wakala anatengeneza mamilioni kila siku." Ukweli ni tofauti.
āœ… Wakala wa kawaida aliye kwenye eneo la kawaida anaweza kupata faida halisi ya TSh 10,000 hadi 30,000 kwa siku.
āœ… Wakala aliye kwenye eneo lenye wateja wengi anaweza kupata TSh 50,000 hadi 150,000 au zaidi kwa siku.
āœ… Wakala mwenye float ndogo na huduma duni anaweza kufanya kazi siku nzima lakini akapata chini ya TSh 5,000.
Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi huangalia commission pekee, jambo ambalo si sahihi.
Faida ya uwakala haitokani na commission pekee, bali na mfumo mzima wa huduma zinazotolewa ofisini, kama vile:
Commission ya kuweka na kutoa pesa
Malipo ya LUKU
Uuzaji wa vocha
Malipo ya bili mbalimbali
Huduma za benki
Usajili wa SIM
Uuzaji wa Voucher/Wi-Fi
Uuzaji wa vinywaji au bidhaa nyingine kwa wateja
Hapo ndipo fedha halisi zinapatikana.
Mfano wa Hesabu
Ukifanya:
Miamala 120 kwa siku
Faida ya wastani kwa kila muamala TSh 250
Hesabu ni:
120 Ɨ 250 = TSh 30,000
Gharama za kuondoa
Chakula
Mishahara ya wasaidizi
Usafiri
Gharama za kuongeza float
Matumizi mengine ya ofisi
Baada ya kutoa gharama hizo, unaweza kubaki na faida halisi ya TSh 15,000 hadi 25,000 kwa siku.
Njia za kuongeza mapato
Wakala mwenye akili huongeza huduma kama:
āœ… Wi-Fi Hotspot
āœ… Huduma za michezo ya kubashiri
āœ… Uuzaji wa vinywaji
āœ… Huduma za Printing
Kwa kufanya hivyo, ofisi inaweza kuingiza zaidi ya TSh 80,000 kwa siku bila kutegemea commission pekee.
Makosa yanayofanywa na mawakala wengi
Kufungua biashara eneo lisilo na wateja wa kutosha
Kutegemea mtandao mmoja tu
Kuwa na float ndogo
Kufunga mapema
Kutoa huduma mbaya kwa wateja
Kushindwa kusimamia vizuri mzunguko wa fedha (cash flow)
Kusubiri wateja waje badala ya kufanya matangazo na kujitangaza
Hitimisho
Biashara ya uwakala si biashara ya utajiri wa haraka (quick money). Ni biashara inayotegemea idadi kubwa ya miamala (volume).
Ukijenga wateja wa kudumu wanaorudi kila siku, biashara yako itakua. Lakini ukikosa wateja wa kutosha, hata ukiwa na float kubwa, faida yako haitakuwa kubwa.
thebosscashpoint

thebosscashpoint

9 July 2026

FAIDA HALISI YA UWAKALA KWA SIKU Faida halisi ya biashara ya uwakala kwa siku inategemea mambo makuu manne: šŸ“ Eneo (Location) ulipo šŸ’° Kiasi cha float ulichonacho šŸ¤ Ubora wa huduma kwa wateja šŸ”„ Kasi ya mzunguko wa miamala Watu wengi hudanganywa na picha zinazoonyesha kwamba "wakala anatengeneza mamilioni kila siku." Ukweli ni tofauti. āœ… Wakala wa kawaida aliye kwenye eneo la kawaida anaweza kupata faida halisi ya TSh 10,000 hadi 30,000 kwa siku. āœ… Wakala aliye kwenye eneo lenye wateja wengi anaweza kupata TSh 50,000 hadi 150,000 au zaidi kwa siku. āœ… Wakala mwenye float ndogo na huduma duni anaweza kufanya kazi siku nzima lakini akapata chini ya TSh 5,000. Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi huangalia commission pekee, jambo ambalo si sahihi. Faida ya uwakala haitokani na commission pekee, bali na mfumo mzima wa huduma zinazotolewa ofisini, kama vile: Commission ya kuweka na kutoa pesa Malipo ya LUKU Uuzaji wa vocha Malipo ya bili mbalimbali Huduma za benki Usajili wa SIM Uuzaji wa Voucher/Wi-Fi Uuzaji wa vinywaji au bidhaa nyingine kwa wateja Hapo ndipo fedha halisi zinapatikana. Mfano wa Hesabu Ukifanya: Miamala 120 kwa siku Faida ya wastani kwa kila muamala TSh 250 Hesabu ni: 120 Ɨ 250 = TSh 30,000 Gharama za kuondoa Chakula Mishahara ya wasaidizi Usafiri Gharama za kuongeza float Matumizi mengine ya ofisi Baada ya kutoa gharama hizo, unaweza kubaki na faida halisi ya TSh 15,000 hadi 25,000 kwa siku. Njia za kuongeza mapato Wakala mwenye akili huongeza huduma kama: āœ… Wi-Fi Hotspot āœ… Huduma za michezo ya kubashiri āœ… Uuzaji wa vinywaji āœ… Huduma za Printing Kwa kufanya hivyo, ofisi inaweza kuingiza zaidi ya TSh 80,000 kwa siku bila kutegemea commission pekee. Makosa yanayofanywa na mawakala wengi Kufungua biashara eneo lisilo na wateja wa kutosha Kutegemea mtandao mmoja tu Kuwa na float ndogo Kufunga mapema Kutoa huduma mbaya kwa wateja Kushindwa kusimamia vizuri mzunguko wa fedha (cash flow) Kusubiri wateja waje badala ya kufanya matangazo na kujitangaza Hitimisho Biashara ya uwakala si biashara ya utajiri wa haraka (quick money). Ni biashara inayotegemea idadi kubwa ya miamala (volume). Ukijenga wateja wa kudumu wanaorudi kila siku, biashara yako itakua. Lakini ukikosa wateja wa kutosha, hata ukiwa na float kubwa, faida yako haitakuwa kubwa.

Wote mnao taka anza uwakala na mnataka lain kuweni makini sana kama una vigezo vyote Yani leseni, tin number na nida nenda kwenye maduka ya mitandao husika ila kama huna hivyo vitu mtafute wakala ambae unamjua wewe vizuri au muaminifu kwelikweli.

Kuna changamoto imekuja saivi ukitaka lain ya uwakala halotel kuna sheria lazima uweke 100000 ya kianzio ndio lain yako ikipitishwe sasa kuna watu sio mawakala ukishamtumia tarifa hizo za lain yako eti wanatoa hiyo laki moja unakuwa umepigwa nimepokea malalamiko kwa watu wawili kwaiyo ndomaana huwa nasisitiza tafuta wakala ambae unamuani au unamjua ukipuuzia sawa ni wewe.

Na mimi huwa natoa mafunzo kabisa ya maana adi mtu unaanza kazi hakuna kitu hujui ila kwakuwa wa Tanzania tunazarauliana basi ndio hivo wengine wanajikuta kwenye matatizo ambayo wangejifunza isinge wakuta kabisa Yani.

#MixByYas #MPESA #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

10 July 2026

Wote mnao taka anza uwakala na mnataka lain kuweni makini sana kama una vigezo vyote Yani leseni, tin number na nida nenda kwenye maduka ya mitandao husika ila kama huna hivyo vitu mtafute wakala ambae unamjua wewe vizuri au muaminifu kwelikweli. Kuna changamoto imekuja saivi ukitaka lain ya uwakala halotel kuna sheria lazima uweke 100000 ya kianzio ndio lain yako ikipitishwe sasa kuna watu sio mawakala ukishamtumia tarifa hizo za lain yako eti wanatoa hiyo laki moja unakuwa umepigwa nimepokea malalamiko kwa watu wawili kwaiyo ndomaana huwa nasisitiza tafuta wakala ambae unamuani au unamjua ukipuuzia sawa ni wewe. Na mimi huwa natoa mafunzo kabisa ya maana adi mtu unaanza kazi hakuna kitu hujui ila kwakuwa wa Tanzania tunazarauliana basi ndio hivo wengine wanajikuta kwenye matatizo ambayo wangejifunza isinge wakuta kabisa Yani. #MixByYas #MPESA #Vodacom

Hapo watu wanaweza wasinielewe kabisa ila nimesema kwa sababau hii.

Ivi we haijawahi tokea jioni labda umefunga hesabu milion nne asubuhi unapiga hesabu unakuta milion tatu na laki tisa na elfu tusini au ukakuta milion nne na elfu tano yani ikazidi.

Sababu pia huwa hii unapo fanya hesabu baada ya kazi kiukweli akili yako inakuwa imechoka kabisa kwaiyo wakati unapiga hesabu unajikuta unakosea sababu akili imechoka wengi najua inawakuta hiii wengine adi wanasema ni uchawi hapana asilimia mia huwa akili imechoka.

Asubuhi mapema tayari akili inakuwa na utulivu mkubwa ukipiga hesabu asilimia mia inakuwa sahihi kabisa kwaiyo muda mzuri huwa asubuhi.

Ndomaana walim wenzangu wa hisabati mnajua vipindi vya hisabati lazima viwe asubuhi unajua nikwanini basi ndio kama sababu hiyo.

#MPESA #Vodacom #Airtel
mpesabusiness

mpesabusiness

9 July 2026

Hapo watu wanaweza wasinielewe kabisa ila nimesema kwa sababau hii. Ivi we haijawahi tokea jioni labda umefunga hesabu milion nne asubuhi unapiga hesabu unakuta milion tatu na laki tisa na elfu tusini au ukakuta milion nne na elfu tano yani ikazidi. Sababu pia huwa hii unapo fanya hesabu baada ya kazi kiukweli akili yako inakuwa imechoka kabisa kwaiyo wakati unapiga hesabu unajikuta unakosea sababu akili imechoka wengi najua inawakuta hiii wengine adi wanasema ni uchawi hapana asilimia mia huwa akili imechoka. Asubuhi mapema tayari akili inakuwa na utulivu mkubwa ukipiga hesabu asilimia mia inakuwa sahihi kabisa kwaiyo muda mzuri huwa asubuhi. Ndomaana walim wenzangu wa hisabati mnajua vipindi vya hisabati lazima viwe asubuhi unajua nikwanini basi ndio kama sababu hiyo. #MPESA #Vodacom #Airtel

Hapa kuna hatari mbili zinaweza kukuta.

1. Hela kweli anatumiwa anakwambia nipe sasa hiyo nawahi we utaitoa sawa ukimpa tu akatoka pale muamala unarudishwa chap.

2. Tatzo la pili anaweza kuwa huyo ni tapeli tayari kashamtapeli mtu kwaiyo yule mtu anasema nipe namba nikutumie kwaiyo anakuja kwako unampa namba yako anamtumia yule mtu Afu yule si anatuma kwako we unatoa unampa huyo tapeli anasepa kesi inabaki kwako sasa namba yako Ndo imetumika kupokea hela kumbe hela hiyo ni ya utapeli unadakwa wewe kwaiyo kuwa makini.
mpesabusiness

mpesabusiness

9 July 2026

Hapa kuna hatari mbili zinaweza kukuta. 1. Hela kweli anatumiwa anakwambia nipe sasa hiyo nawahi we utaitoa sawa ukimpa tu akatoka pale muamala unarudishwa chap. 2. Tatzo la pili anaweza kuwa huyo ni tapeli tayari kashamtapeli mtu kwaiyo yule mtu anasema nipe namba nikutumie kwaiyo anakuja kwako unampa namba yako anamtumia yule mtu Afu yule si anatuma kwako we unatoa unampa huyo tapeli anasepa kesi inabaki kwako sasa namba yako Ndo imetumika kupokea hela kumbe hela hiyo ni ya utapeli unadakwa wewe kwaiyo kuwa makini.

Kama siku mtandao sio mzuri miamala haiendi au kutoa shida acha kwanza paka mtandao uwe vizuri sababu kuna mazara haya ukilazimisha.

Unaweza toa afu messege isirudi mteja akasema mimi nimetoa nipe hela salio kwangu hamna hela imekuja kwako ukapiga sehem husika wakakwambia mtandao mbovu hela itakuja kwako, sawa unampa hela mteja afu hela hairudi kwako inaenda tena kwa mteja hasara tayari hiyo.

Cha pili messege hairudi kwako kwa mteja inarudi anakuonesha message sasa hapo kuna mawili wengine ni matapeli akisha gundua mtandao mbovu anaweza edit haraka message akakuonesha ametoa sababu kwako messege haijaja ukaamini ukampa hela kumbe muamala haujaja kwako.

#MPESA #Airtel #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

8 July 2026

Kama siku mtandao sio mzuri miamala haiendi au kutoa shida acha kwanza paka mtandao uwe vizuri sababu kuna mazara haya ukilazimisha. Unaweza toa afu messege isirudi mteja akasema mimi nimetoa nipe hela salio kwangu hamna hela imekuja kwako ukapiga sehem husika wakakwambia mtandao mbovu hela itakuja kwako, sawa unampa hela mteja afu hela hairudi kwako inaenda tena kwa mteja hasara tayari hiyo. Cha pili messege hairudi kwako kwa mteja inarudi anakuonesha message sasa hapo kuna mawili wengine ni matapeli akisha gundua mtandao mbovu anaweza edit haraka message akakuonesha ametoa sababu kwako messege haijaja ukaamini ukampa hela kumbe muamala haujaja kwako. #MPESA #Airtel #Vodacom

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.