Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

Katika kitu muhimu sana kwenye uwakala ni eneo yani location kabla hujafungua ofisi hakikisha unafanya uchunguzi wa eneo unalo taka kufanya uwakala leo natoa somo.

Kwanza usipende kwenda kwenye eneo ambalo washatoka zaidi ya mawakala wawili hilo eneo lazima liwe na shida.

Cha pili chagua eneo ambalo unajua kuna uhitaji sana wa huduma hiyo atakama ni mtaani ipo mitaa mingi yenye uhitaji kweli wa huduma ya uwakala ambapo ukifungua wewe unakuwa mkombozi wao.

Ukiwa na mitaji mkubwa hakikisha unakuwa sokoni, barabarani, karibu na vyuo, stand karibu na huduma za afya zilizoko mjini.

Ukichagua eneo hivo nilivyo sema huto jutia 

#MPESA #Airtel #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

7 July 2026

Katika kitu muhimu sana kwenye uwakala ni eneo yani location kabla hujafungua ofisi hakikisha unafanya uchunguzi wa eneo unalo taka kufanya uwakala leo natoa somo. Kwanza usipende kwenda kwenye eneo ambalo washatoka zaidi ya mawakala wawili hilo eneo lazima liwe na shida. Cha pili chagua eneo ambalo unajua kuna uhitaji sana wa huduma hiyo atakama ni mtaani ipo mitaa mingi yenye uhitaji kweli wa huduma ya uwakala ambapo ukifungua wewe unakuwa mkombozi wao. Ukiwa na mitaji mkubwa hakikisha unakuwa sokoni, barabarani, karibu na vyuo, stand karibu na huduma za afya zilizoko mjini. Ukichagua eneo hivo nilivyo sema huto jutia #MPESA #Airtel #Vodacom

Mitandao ya sim ina sheria zake kwa faida yao na sisi tunahitaji faida pia sio tuwafanyie kazi wenyewe hapana sasa tunachotakiwa nikufata sheria zao wanavyotaka ila na sisi tunajiongeza.

Wanasema lipa nikwaajili ya wafanya biashara sawa tumekubali sisi sio wafanay biashara ila leseni yetu inaturuhsu tufanye biashara tofauti tofauti sababu hamna lessen ya wakala haipo popote pale.

Mawakala kwenye ofisi yako ongeza bizaa kama maji, vinywaji vingine, nguo miwa chochote ambacho utaona kinafaa afu tumia lipa sasa hizo apo huvunji sheria unahesabika  kama mfanya biashara api vipi ni akili kidogo 

Hela lazima tuendelee kupiga paka watuboreshee mapato na sisi commission ziwe nzuri na sheria za ajabu watoe asa kumtumia mteja alie mbali ni kosa sasa mimi wakala najuaje kama yupo mbali sheria za hovyo kbsa.

#MPESA #MixByYas #Airtel #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

5 July 2026

Mitandao ya sim ina sheria zake kwa faida yao na sisi tunahitaji faida pia sio tuwafanyie kazi wenyewe hapana sasa tunachotakiwa nikufata sheria zao wanavyotaka ila na sisi tunajiongeza. Wanasema lipa nikwaajili ya wafanya biashara sawa tumekubali sisi sio wafanay biashara ila leseni yetu inaturuhsu tufanye biashara tofauti tofauti sababu hamna lessen ya wakala haipo popote pale. Mawakala kwenye ofisi yako ongeza bizaa kama maji, vinywaji vingine, nguo miwa chochote ambacho utaona kinafaa afu tumia lipa sasa hizo apo huvunji sheria unahesabika kama mfanya biashara api vipi ni akili kidogo Hela lazima tuendelee kupiga paka watuboreshee mapato na sisi commission ziwe nzuri na sheria za ajabu watoe asa kumtumia mteja alie mbali ni kosa sasa mimi wakala najuaje kama yupo mbali sheria za hovyo kbsa. #MPESA #MixByYas #Airtel #Vodacom

Naona leo nitoe uhalisia kidogo wa biashara yetu hii ya uwakala watu waweze kuelewa nafaham kbsa asilimia ya watu wengi huwa wanaingia hawajui biashara ikoje.

Kwa sasa hivi kuna mchanganyiko kidogo ndomaana unaona kuna mawakala wanasema tunapiga hela wengine wanashangaa hela wanapigaje sindio jamani iko hivi.

Naongea uhalisia uliopo, mawakala wanao sema wanapiga hela kwa sasa kuacha kuwa na mtaji na eneo zuri wanatumia lain za lipa kutoa hela na till wanatumia kwa mteja mmoja mmoja tena na sasa ivi voda wameleta hii pochi ya biashara yenye makato madogo lipa hii ndio kabisa wanapiga hela kwaiyo hao unaona wanapiga hela wanatumia hizo njia.

Ukiwa kwenye eneo nzuri ukiwa na unatumia lipa ata ya kawaida tu kulala na 30000 kuendelea ni kawaida sana yani tena apo lain moja tu huu ndio uhalisia ukiwa na pochi ya biashara ya voda na ukiwa na wateja wa voda kwa siku voda tu kuanzia 25000 ni uhakika ukiwa kwenye eneo zuri hiyo lain moja tu mimi naongea hivi ushuhuda ninao na watakuja watu wata comment apo.

Wanao lia hawapati hela asilimia 85 ni wale wanatumia till tu kwenye uwakala na mitaji yao ni ya kawaida hapo hauwezi ona hela kwa sasa huo ndo ukweli wateja wanataka lipa kwa maeneo mengi labda uko kwa matajiri ndio sijui.

Kwaiyo unapotaka anza uwakala chagua hapo uwe kundi gani sasa nimeona niseme kila mtu ajue mimi nimesema uhalisia tu sijasema sema ufate kipi we ndo muamuzi.

Pochi ya biashara natengeza mwenye 0779573819 wasap or call
mpesabusiness

mpesabusiness

5 July 2026

Naona leo nitoe uhalisia kidogo wa biashara yetu hii ya uwakala watu waweze kuelewa nafaham kbsa asilimia ya watu wengi huwa wanaingia hawajui biashara ikoje. Kwa sasa hivi kuna mchanganyiko kidogo ndomaana unaona kuna mawakala wanasema tunapiga hela wengine wanashangaa hela wanapigaje sindio jamani iko hivi. Naongea uhalisia uliopo, mawakala wanao sema wanapiga hela kwa sasa kuacha kuwa na mtaji na eneo zuri wanatumia lain za lipa kutoa hela na till wanatumia kwa mteja mmoja mmoja tena na sasa ivi voda wameleta hii pochi ya biashara yenye makato madogo lipa hii ndio kabisa wanapiga hela kwaiyo hao unaona wanapiga hela wanatumia hizo njia. Ukiwa kwenye eneo nzuri ukiwa na unatumia lipa ata ya kawaida tu kulala na 30000 kuendelea ni kawaida sana yani tena apo lain moja tu huu ndio uhalisia ukiwa na pochi ya biashara ya voda na ukiwa na wateja wa voda kwa siku voda tu kuanzia 25000 ni uhakika ukiwa kwenye eneo zuri hiyo lain moja tu mimi naongea hivi ushuhuda ninao na watakuja watu wata comment apo. Wanao lia hawapati hela asilimia 85 ni wale wanatumia till tu kwenye uwakala na mitaji yao ni ya kawaida hapo hauwezi ona hela kwa sasa huo ndo ukweli wateja wanataka lipa kwa maeneo mengi labda uko kwa matajiri ndio sijui. Kwaiyo unapotaka anza uwakala chagua hapo uwe kundi gani sasa nimeona niseme kila mtu ajue mimi nimesema uhalisia tu sijasema sema ufate kipi we ndo muamuzi. Pochi ya biashara natengeza mwenye 0779573819 wasap or call

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.