jewdith
28 June 2026
Hello.. naomba msaada jinsi ya kuhamisha hela niliyokopa Wezesha kuileta kwenye Ac ya kazi
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
jewdith
28 June 2026
Hello.. naomba msaada jinsi ya kuhamisha hela niliyokopa Wezesha kuileta kwenye Ac ya kazi
joelshokolo01gmail.c
28 June 2026
Jamani Wakala Wenzangu Naomba Msaada Mie Huwa Nina Laini Ta Ttcl T.pesa Ila Nikiishiwa Float Huwa Inanipasa Niende Poster Kuweka Float. Je! Humu Hakuna Wakala Wenzangu Ambao Nanyi Mnatumia Huduma Za T.pesa Tuwe Tunasaidiana?
lizy
27 June 2026
Samahan jaman naomba kuuliza NAMNA ya kuuza vifurushi Halotel maana Kila nikimnunulia mteja na naweka namba ya mteja lakini mwishoni inakuwa inaleta namba yangu hiyo ya till.,... Msaada pls

mpesabusiness
27 June 2026
Tumia kiswaswadu tu kwenye uwakala, smartphone inamadhara makubwa sana watu wanaweza hack sim yako hiyo kutumia email yako tu waka iba kila kitu kwaiyo tumia kiswaswadu usijifanye eti we mjanja kutumia smartphone phone kitakuramba. #MPESA
unatoawapshngapisina
27 June 2026
Wakala Linda biashara ya wakala mwenzako, Mteja anatok kwa wakal mwenzak ameambiwa hana mtandao we kwa kutofikiriq unaripoka amekudanganya uyo na maneno mengine mtandao tunatofautiana mitandao tusiisha kwa kumeza
godwini
27 June 2026
Habari za majukumu wapambanaji nina shida na Till ya Yas nipo Bunda naipataje
tonny
26 June 2026
Habari mawakala wa zoefu mimi ni wakala niko mwanza na wakala mwingine yuko kagera sasa yeye wateja wakiwa wengi huwa anaitumia wateja wake niwahudumie kuwawekea hela je hapa nafanya kosa?
depastor
25 June 2026
Habari za leo, samahani naomba kuelekezwa namna ya kutumia laini za uwakala kulipia maji na umeme

saidshame54gmail.com
25 June 2026
Habari zenu mawakala wenzangu Kuna huyo dogo hapo kwenye picha alikua mfanyakazi wangu kwenye ofisi yangu y uwakala kigamboni,kaiba pesa zangu zote za mtaji naombeni kwayoyote atakaemkuta sehemu anipe taarifa kupitia namba zangu 0686905551

mpesabusiness
24 June 2026
Tuambie wakala hii kazi yetu inakulipa kweli? #MPESA #Airtel #Vodacom #WakalaTanzania
neema
23 June 2026
Samahani wakuu ivi fibre za TTCL ziko vizuri Kwa matumizi na ku connect watu per day?
amon84397gmail.com
23 June 2026
jaman msaada tokea asubh Voda yangu ya uwakal imeandika emergency mpka saiz kama Kuna mtu anajua please msaada wasapu 0617590061

mpesabusiness
23 June 2026
Ushahidi huu mwenzetu lipa yake kaja agent kufunga sasa zinafaa hivo hivo usije lalamika. #MPESA #Vodacom #MixByYas
justin
23 June 2026
Naomba kuuliza Gawio la YAS ni kwa Mawakala wa muda mrefu tu au Ni wote
gracesimon
23 June 2026
Jaman hiv Hawa watu ambao Hawataki mafanikio ya wengne huwa Wanashda Gan
mlumbo
23 June 2026
Habar zenu mawakala nina swali hapa Ukituma milioni 5 mpaka 10 kupitia yas unaweza pata commissioni ya kiasi gani na ikiwa inajirudia kila siku je utaikuta mwisho wa mwezi au kuna makato mengine

mange_solver
24 June 2026
_LIPA KWA SIMU YAS STORES 2,3NA KUENDELEA UNAPATA_ *KAMA TAYARI UNA LIPA YA YAS NA UNAHITAJI LIPA YA PILI KWA NIDA YAKO* *NJOO INBOX š„* š š ššŖšš¦ššššš”š¢ ā ļø > Call /whatsapp > 0753947373š
isdory
23 June 2026
Naomba kuuliza mtu akija akakwambia muamala haujafika na umeufanya na ukipiga huduma Kwa wateja Wanasema hujafanya muamala inakuaje kwangu Kila siku Wanakuja

mange_solver
23 June 2026
š§šØš”šš§šš”šššš ššš£š ššŖš š -š£šš¦š ā ššØš„ššš!!! Unahitaji njia rahisi, ya uhakika na ya kisasa ya kupokea malipo kupitia M-PESA? š š¦šš¦š š”ššš¢ š¦š¢ššØššš¦šš¢ šššš¢! Tunakuunganisha na huduma ya ššš£š ššŖš š -š£šš¦š BILA MALIPO KABISA! ā āØ š©ššššš¢ š©š¬š ššØš£šš§š ššØššØš š āØā šø Sajiri laini mpya (šš¦ššŖš imefunguliwa upande wa M-PESA) šø Tuma taarifa zifuatazo: š š”šš šš š¬š š¦šš šØ š š§šš” ššš„š§šššššš§š š š£šššš š¬š ššš§šš ššØššš¦šš¢ / š£šš¦š¦š£š¢š„š§ š š”ššš š š”šš šš š¬š š ššŖšš¦ššššš”š¢ āāāāāāāāāāāāāāāā š¼š„ š ššŖššššš š š”šššš„šššš¦ššŖš! š„š¼ Wenye laini za uwakala mtapata huduma ya ššš£š ššŖš š -š£šš¦š kwa BEI NAFUU SANA šā ļø š ššŖšš¦ššššš”š¢ ā ļøš āļø šššš / šŖššš§š¦šš£š£ š² š¬š³š±šÆšµš°š³šÆš³šÆ š ššš±ššŗš® š»š¶ šš® šµš®šæš®šøš® ā¢ šæš®šµš¶šš¶ ā¢ š»š® šš®š¹š®šŗš® š ššš„šššØ š šš”šš š§šš š¦š¢ššØš§šš¢š”š¦! š

mange_solver
23 June 2026
š„ šššš šš¼ š¼ššššš ššššš ā šÆ,š¬š¬š¬/= š„ š šššššš āļø šš šš¼ šššš āļø ššš šššš½šš ā” šæš¼šššš¼ 5 ā ššš¼šššš¼ šš¼šš¼šš ā” š š ššŖšš¦ššššš”š¢ ā ļø š¾šš”š” / šššš©šØš¼š„š„ 0753947373 š
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.