
mpesabusiness
23 June 2026
Hii pochi ya biashara ni lipa ila ni tofauti na lipa zingine kwa hivi. Hii lipa unaweza hamisha kwenye hela kwenye lipa ya kawaida Zaidi ya mara ishirini ila mwisho milion tano bila makato. Makato yake yapo chini sana so kama lipa zingine za kawaida Huu ushauri watu wengi watakumbuka badae sajili pochi ya biashara lipa hii kaaa nayo afu ofisini weka tu ata vinywaji afu utulie namaana yangu kuwaambia hiki kitu usizarau zarau hiana shida. Ukihitaji lain njoo kwangu au nenda vodashop utapata ila voda inachukua muda sana 0779573819 wasap









