
mpesabusiness
18 June 2026
USIMRUSHIE MTEJA HELA KAMA BADO HAJAKUPA HELA MKONONI. Kuna baadhi ya matapeli hutuma ujumbe wa uongo au kuonyesha kumbukumbu za malipo zisizo halali ili uwatumie pesa kabla hujapokea fedha. Daima hakikisha umepokea hela mkononi au zimeingia kwenye mfumo rasmi kabla ya kufanya muamala wowote. Kumbuka: Uthibitisho wa kweli ni pesa kupokelewa, si picha ya risiti wala ujumbe wa simu. #MPESA #Vodacom #AirtelKenya #wakala #Uwakala











