Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

Usije kaa ukaanza msikiliza mtu ana kwambia biashara Fulani haina hela kabla wewe hujaifanyia uchunguzi.

Kuna mawakala kabisa wanasema uwakala hauna hela ila hapo hapo Kuna watu wanapiga pesa za hatari kwenye uwakala mashahidi naomba mta comment apo kama nasema uongo.

Ukiwa na mtaji ata milion tatu na ukiwa eneo zuri sana la watu wanao fanya miamala ukiwa na mkombozi wetu wa sasa lipa ndugu yangu unapiga hela tu nzuri mbona tena nzuri niamini Mimi kikubwa uzingatie vitu tunavyo piga kelele kila siku.

1. Eneo 2. Mtaji. 3 huduma nzuri Kwa wateja 4.umakini mkubwa kwenye utapeli basi apo ume win tayari.

#MixByYas #MPESASafaricom #Vodacom #AirtelKenya
mpesabusiness

mpesabusiness

15 June 2026

Usije kaa ukaanza msikiliza mtu ana kwambia biashara Fulani haina hela kabla wewe hujaifanyia uchunguzi. Kuna mawakala kabisa wanasema uwakala hauna hela ila hapo hapo Kuna watu wanapiga pesa za hatari kwenye uwakala mashahidi naomba mta comment apo kama nasema uongo. Ukiwa na mtaji ata milion tatu na ukiwa eneo zuri sana la watu wanao fanya miamala ukiwa na mkombozi wetu wa sasa lipa ndugu yangu unapiga hela tu nzuri mbona tena nzuri niamini Mimi kikubwa uzingatie vitu tunavyo piga kelele kila siku. 1. Eneo 2. Mtaji. 3 huduma nzuri Kwa wateja 4.umakini mkubwa kwenye utapeli basi apo ume win tayari. #MixByYas #MPESASafaricom #Vodacom #AirtelKenya

Baazi ya mawakala tuache chuki mwisho tutakuwa wachawi sasa yani yani mtu unamuonea tamaa wakala mwenzako kisa anapata watu wengi wewe hupati afu wateja unawaambia eti kwangu hamji mnaenda kule na siku akiwa kafungw msije kwangu, mwehu wewe kabisa.

Biashara haiko hivo kabisa yani biashara inatakiwa ujue kwanini kwanza mimi nakosa wateja wanaenda pengine Kuna vitu vingi sana kwenye uwakala vinasababisha Hilo.

1. Kauli mbaya Kwa wateja.

2. Huduma zikiwa hazipatikani yani flot mara hamna, au cash au subiri kwanza nikimbilie flot , hizo zinaweza sababisha kukosa wateja.

3. Kuchelewa sana kufungua ofisi.

4. Kupigwa kitalaam na wazee wa kazi yani usipate wateja kabisa.

Hivyo ndo vitu kwanza uchunguze unavyo huna kabla ya kuanza kuweka chuki Kwa wakala mwenzako acha chuki haitokusaidia Chochote kile we jifunze acha ukichwa maji.

#MPESASafaricom #MPESA #Vodacom #Airtel #AirtelKenya #MixByYas
mpesabusiness

mpesabusiness

15 June 2026

Baazi ya mawakala tuache chuki mwisho tutakuwa wachawi sasa yani yani mtu unamuonea tamaa wakala mwenzako kisa anapata watu wengi wewe hupati afu wateja unawaambia eti kwangu hamji mnaenda kule na siku akiwa kafungw msije kwangu, mwehu wewe kabisa. Biashara haiko hivo kabisa yani biashara inatakiwa ujue kwanini kwanza mimi nakosa wateja wanaenda pengine Kuna vitu vingi sana kwenye uwakala vinasababisha Hilo. 1. Kauli mbaya Kwa wateja. 2. Huduma zikiwa hazipatikani yani flot mara hamna, au cash au subiri kwanza nikimbilie flot , hizo zinaweza sababisha kukosa wateja. 3. Kuchelewa sana kufungua ofisi. 4. Kupigwa kitalaam na wazee wa kazi yani usipate wateja kabisa. Hivyo ndo vitu kwanza uchunguze unavyo huna kabla ya kuanza kuweka chuki Kwa wakala mwenzako acha chuki haitokusaidia Chochote kile we jifunze acha ukichwa maji. #MPESASafaricom #MPESA #Vodacom #Airtel #AirtelKenya #MixByYas

πŸ”₯ 𝙏𝙄𝙇𝙇 π™•π˜Ό π˜Όπ™„π™π™π™€π™‡ π™ˆπ™Šπ™‰π™€π™” β€” 𝟯,𝟬𝟬𝟬/= πŸ”₯

πŸ“Œ π™‘π™„π™‚π™€π™•π™Š
βœ”οΈ π™‰π™Š π™”π˜Ό π™Žπ™„π™ˆπ™
βœ”οΈ 𝙏𝙄𝙉 π™‰π™π™ˆπ˜½π™€π™

⚑ π˜Ώπ˜Όπ™†π™„π™†π˜Ό 5 β€” π™„π™‰π˜Όπ™†π™π™’π˜Ό π™π˜Όπ™”π˜Όπ™π™„ ⚑

πŸ“ž 𝗠𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘π—’ ♠️
π˜Ύπ™–π™‘π™‘ / π™’π™π™–π™©π™¨π˜Όπ™₯π™₯
0753947373 πŸ“ž
mange_solver

mange_solver

16 June 2026

πŸ”₯ 𝙏𝙄𝙇𝙇 π™•π˜Ό π˜Όπ™„π™π™π™€π™‡ π™ˆπ™Šπ™‰π™€π™” β€” 𝟯,𝟬𝟬𝟬/= πŸ”₯ πŸ“Œ π™‘π™„π™‚π™€π™•π™Š βœ”οΈ π™‰π™Š π™”π˜Ό π™Žπ™„π™ˆπ™ βœ”οΈ 𝙏𝙄𝙉 π™‰π™π™ˆπ˜½π™€π™ ⚑ π˜Ώπ˜Όπ™†π™„π™†π˜Ό 5 β€” π™„π™‰π˜Όπ™†π™π™’π˜Ό π™π˜Όπ™”π˜Όπ™π™„ ⚑ πŸ“ž 𝗠𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘π—’ ♠️ π˜Ύπ™–π™‘π™‘ / π™’π™π™–π™©π™¨π˜Όπ™₯π™₯ 0753947373 πŸ“ž

Kuna vitu tu ukivizingatia vizuri basi ata huo mtaji nimesema una toboa vizuri sana yani.

Moja hakikisha cash ndo unakukuwa nyingi sana kama mtaji wako ni kuanzia milion moja na nusu cash ndo uweke iwe nyingi sana upande flot usifanye miamala ya hela nyingi sababu utapoteza flot nyingi ambayo ungefanya miamala mingi yenye faida kuliko muamala mmoja 

Alafu kwenye kutoa nazani mnajua vizuri tunatumia lain gani Kwa upande wa kutoa hela, hizo mbinu ukizitumia unapata hela vizuri tu.

#MixByYas #MPESA #AirtelKenya #mpesafaricom
mpesabusiness

mpesabusiness

15 June 2026

Kuna vitu tu ukivizingatia vizuri basi ata huo mtaji nimesema una toboa vizuri sana yani. Moja hakikisha cash ndo unakukuwa nyingi sana kama mtaji wako ni kuanzia milion moja na nusu cash ndo uweke iwe nyingi sana upande flot usifanye miamala ya hela nyingi sababu utapoteza flot nyingi ambayo ungefanya miamala mingi yenye faida kuliko muamala mmoja Alafu kwenye kutoa nazani mnajua vizuri tunatumia lain gani Kwa upande wa kutoa hela, hizo mbinu ukizitumia unapata hela vizuri tu. #MixByYas #MPESA #AirtelKenya #mpesafaricom

Ndiyo Kuna wateja wasumbufu wanatia hasira sana sikatai na inaweza pelekea kuwajibu vibaya ni sawa kabisa.

Ila Kuna mawakala ambao ata mteja awe mpole yeye ni zarau tu anajibu Kwa nyodo kama analazimishwa hasa hawa wadada ata ofisi sio zao ila zarau zarau uku hawana ata mia mawakala wa kike punguzeni zarau.

Leo nimekuta wakala akimfokea bibi flani ambae alikuwa anauliza tu tena kistarabu ila anavyo jibiwa lazima ujisikie vibaya sana kwaiyo punguzeni zarau.

#MPESA #Vodacom #MixByYas #AirtelKenya #MPESASafaricom #Airtel
mpesabusiness

mpesabusiness

14 June 2026

Ndiyo Kuna wateja wasumbufu wanatia hasira sana sikatai na inaweza pelekea kuwajibu vibaya ni sawa kabisa. Ila Kuna mawakala ambao ata mteja awe mpole yeye ni zarau tu anajibu Kwa nyodo kama analazimishwa hasa hawa wadada ata ofisi sio zao ila zarau zarau uku hawana ata mia mawakala wa kike punguzeni zarau. Leo nimekuta wakala akimfokea bibi flani ambae alikuwa anauliza tu tena kistarabu ila anavyo jibiwa lazima ujisikie vibaya sana kwaiyo punguzeni zarau. #MPESA #Vodacom #MixByYas #AirtelKenya #MPESASafaricom #Airtel

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.