bumela
14 June 2026
Naomba kuuliza Kuna faida yoyote ukiwa unafanya miamala hafu una filiji ya kuuza vinywaji baridi?
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
bumela
14 June 2026
Naomba kuuliza Kuna faida yoyote ukiwa unafanya miamala hafu una filiji ya kuuza vinywaji baridi?

mange_solver
15 June 2026
๐๐๐๐ผ๐๐๐๐๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐๐ผ: โ ๐-๐๐๐๐ผ โ ๐๐๐ ๐ฝ๐ ๐๐ผ๐ โ ๐ผ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ โ ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐๐ ๐๐๐ผ ๐๐๐๐ผ๐๐๐ผ ๐๐๐ฟ๐๐๐ผ ๐๐ผ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐๐๐๐ ๐๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐๐๐ โ๏ธ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐-๐๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐ โ๏ธ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐ผ๐๐๐๐๐ ๐ฝ๐๐๐ โ๏ธ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐ โ๏ธ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐๐๐ ๐ฝ๐ ๐๐ผ๐ โ๏ธ ๐๐๐ฟ๐๐๐ผ ๐๐ผ ๐๐๐พ๐๐ ๐๐ผ ๐ฝ๐๐ผ๐๐๐ผ๐๐ผ ๐ฅ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐๐๐๐ผ ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐ฅ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ โ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐๐๐๐โ ๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐ ๐๐ผ๐๐๐ ๐ฅ ๐๐๐ผ ๐๐๐ฟ๐๐๐ผ ๐๐ผ ๐ฝ๐ผ๐๐ฟ๐ ๐๐ผ ๐๐๐ ๐๐๐๐ผ๐๐ฟ๐ผ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐๐๐ผ๐๐ผ โ๏ธ ๐๐ผ๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐๐๐ผ ๐ฝ๐ผ๐๐ฟ๐ / ๐๐๐ ๐๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐๐๐ผ๐๐ผ ๐ฅ ๐ ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐๐ผ๐ ๐ ๐๐ผ โ๏ธ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ โ๏ธ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ผ ๐ฝ๐๐ผ๐๐๐ผ๐๐ผ โจ ๐๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐๐ฟ๐๐ผ ๐๐๐๐๐๐ผ๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐๐๐ โจ ๐ ๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข โ ๏ธ > Call /whatsapp > 0753947373๐ ๐ ๐๐๐๐: ๐๐ฝ๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ฟ๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐ผ,โก ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ,๐๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ผ

mpesabusiness
13 June 2026
Kitu muhim sana sana kwenye uwakala ni eneo zuri kuacha mtaji. Yani kama unamtaji wa Milion mbili afu unapata faida chini ya 10000 na una muda mwingi eneo hilo aisee kiongozi hama hapo Hilo eneo halifai Kwa biashara lbda mzunguko mdogo wawatu Yani watu hawafanyi miamala kabisa. Sababu ya pili we kubali au kataa inaweza kuwa Eneo lako hilo limechezewa watu wasifke kabisa kuja kufanya miamala kwako inawezekana na nina uhakika yapo haya mfano huu nakupa. Kuna rafiki angu apo kigamboni tungi Dar es salaam alifungua ofisi hio ya uwakala sasa akawa hapati wateja kabisa na mtaji upo eneo zuri tukawa tunashangaa sana ndipo nikamwambia Kuna kitu hapa akawa anakataa siku moja binti akapita ofisini pale tukamuona kabisa na jirani yetu kaenda kutoa hela sehem ingine asa wakati anarudi ndo akaja akasema mbona mnafunga funga ofisi saizi ndo mnafungua toka asubhi tuka stuka tukamtukana acha kujikosha umetupita pako wazo unasema tumefunga akasepa na hasira, jioni tena watu wawili hivo hivo wakasema kama huyo dada jirani. Weeeee mapema kwenda kuhangaika kumbe kweli alikuwa kachezewa yani ila aliset fresh naakawa anapata wateja. Kwaiyo Jameni msali sana muombe sana Dua pia kwenye ofisi zenu omba kemea sana uchafu utoke ofisini kwako. #Vodacom #MPESA #MPESASafaricom #Airtel

mpesabusiness
13 June 2026
Hizi lain za pochi hazisajiliwi tu haraka haraka kama lipa hizo za kawaida hakuna.. Hizi zinautaratibu mlefu lazima uweke barua na picha ya genge au biashara unayo fanya na barua pia mawakala ndo wanajua jinsi ya kufanya pia baada ya kujaza kila kitu mteja atapiga menu ya kuomba lipa namba. Akishapewa lipa namba mimi wakala naichukua tena naituma voda Kwa email ili waweze ipitisha tena ndo lain ianze kufanya kazi sasa ndomaana tunasema ni masaa 24 adi 48 na inaweza kupita hapo kwaiyo hizo ndo hatua za lipa pochi ndomaana wengi sana wana lipa namba tayari ila lain bado haijaruhusiwa kufanya kazi lazima ipitishwe Kwanza na voda yani approved. Apo tumeelewana Asanteni. #MixByYas #Vodacom #MPESA #Airtel
kamugisha
13 June 2026
Kazi ya uwakala ni ngumu kwenye mahesabu maana mimi kila baada ya kufunga kazi uwaga napiga mahesabu najikuta elufu Tano imepotea mara elufu mbili mala elufu kumi na nyie ndoivo ivo

maigekisongo
13 June 2026
Nahitaji wakala anaesajili line zote za uwakala arusha, aniambie na gharama

mpesabusiness
12 June 2026
Wengi sana ambao hawajui biashara huwa na fikra moja tu sasa nikijarubu nikafeli? Yani kama wewe huwa unajiuliza hivo basi adi unaingia kaburini huto fanikiwa kwenye biashara yoyote Ile wengi watakwambia wewe uwakala utaweza wapo wenye kazi zao, aya ukitapeliwa je yani maswali ya hovyo Kwani ukinunua pikipiki haiwezi pata ajali au ukiiuza mboga mboga huwezi pata hasara yani ni maswali ya hovyo na hofu yakukurudisha nyuma Chakufanya Anza kuchunguza biashara unayo taka kufanya ujue faida, hasara, changamoto, labda nauli au bei za bizaa kila kitu alafu Anza kujifunza Kwa walio fanikiwa Kwa hiyo biashara wagande bora uwe chawa ili mladi tu uweze kujua siri ya biashara hiyo. Kila biashara ukipatia sheria zake vizuri lazima ikutoe vizuri anza sasa. #MixByYas #MPESASafaricom #MPESA #Vodacom

mange_solver
13 June 2026
SME VODAโ๏ธ VIGEZO NAMBA YA SIMU NIDA MAJAINA MATATU KUUNGWA NA HUDUMA NI BURE โ๏ธ

mange_solver
13 June 2026
๐๐๐ฟ๐๐๐ผ ๐๐ผ ๐๐๐๐ผ ๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐ โ๏ธ ๐ช๐๐๐๐๐ ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐ > ๐๐๐๐๐๐ โค ๐๐ผ๐๐ฝ๐ผ ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐๐๐ โค ๐๐๐ ๐๐ผ๐๐ฝ๐ผ โค ๐๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ ๐๐๐ ๐ผ โค ๐๐๐๐ผ๐๐ฝ๐๐๐๐๐๐ / ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ *_TILL ZA HALOPESA STORE 2 UTAPATA KWA BEI RAHISI_* ๐ข ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ โข ๐๐ผ๐๐ฝ๐ผ ๐๐ผ ๐๐๐๐ โข ๐๐๐ ๐๐๐๐ฝ๐๐ โข ๐๐๐๐ผ๐๐ฝ๐๐๐๐๐๐ / ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ โญ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ โญ ๐๐ผ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ / ๐๐ผ๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ผ ๐ฝ๐๐ ๐๐ผ๐๐๐ โฑ๏ธ ๐๐๐ญ๐ ๐๐๐ผ๐๐ผ๐๐๐๐๐๐ผ ๐๐ฟ๐ผ๐๐ ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ผ๐ผ ๐ฎ๐ฐ ๐ ๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข โ ๏ธ > Call /whatsapp > 0753947373๐
ismail
12 June 2026
Jamani Kuna kitu kinaitwa pochi la Biashara mwenye Uelewa na hii atusaidie maana lipa Kwa Sasa ni hatari
mchmapazia
11 June 2026
Raisi samia tusaidie mawakala wa mitaani

mpesabusiness
11 June 2026
Tunaposema kipochi ni lipa nayenyewe ila utofauti wake ni makato tu mfano lipa kipochi huwa wana kata buku kwenye laki, au kwenye elfu 20 wanakata 380 umeona hiyo ndo lipa kipochi. Huo ndo utofauti kwenye makato ila sijasema nikwaajii ya uwakala ni Kwa watu wote ambae nimteja wa voda. Ukihitaji lain hii piga 0779573819 au wasap apo sizani sasa kama tapokea tena maswali.
eliudykaduma
11 June 2026
Hebu mtu mmoja akishauri jambo hapa mm nipo najiandaa kuwa wakala nipo nakusanya laini then nifungue huduma nilimpata mtu mmรดja kwaajili ya kunitengenezea laini 3 vod halo na yas sasa nikamlipa na hela tuliyokubaliana akanipa vod na halo nilipo enda kufata lain ya yas akaniambia unatakiwa uje na laki 7 nikuwekee float kabisa sasa mimi sina hiyo hela na ni tangu mwezi wa tatu laini bado yupo nayo sasa mimi nikawa za nikisema ni fanye swapp itakubali?? Maana mwanzo hakunambia kama licha ya malipo ya kunitengenezea kuna sharti la mpaka niwe na float
sham
11 June 2026
40000 kwalipa namba Mimi yangu shingapi

mpesabusiness
12 June 2026
Tujifunze kucheza kucheza na fursa ndugu zangu yani Kuna watu bado wapo wanafanya kazi kizamani sana alafu ndo unakuta kwenye comment eti faida hmna kabisa saivi wewe tulia. Ivi we Kwa wakati huu kila mteja anataka kutoa Kwa lipa we bado upo kwenye ma till peke yake unazani Kwa akili yako utaiona faida wakati wateja wanakukumbia wanataka lipa. Kingine wakala huna kabisa eti lipa pochi ya biashara afu unataka faida Kwa lipa ya pochi ya biashara ukipata tu miamala ya 50000 ata mitano unahela nzuri sana apo sijasema mtu akitoa laki sindo bonge la faida sababu laki anakatwa mteja buku tu we uko unazubaa tu huko ei hamna faida pita na upepo huu kabla mambo hayajageuka. Pochi ya biashara uwe na nida, namba ya sim ya voda ambayo imewezeshwa mpesa malipo ni 20000 kwangu ila pengine ni 30000 nenda popote afu utakuja kuniambia nkweli ila malipo ni kbla ndo utaratbu pote so kwangu tu ukihitaji piga chap au wasap nikupitishie lain hiyo. 0779573819 piga au wasap Vingine so paka uwambiwe jiongezee. #MixByYas #MPESA #MPESASafaricom #Vodacom

mpesabusiness
11 June 2026
Nahitaji kuellimishwa na kupewa sababu ya hizi Kodi. Mimi napo taka kuanza uwakala lazima nifate vigezo kama tin number ambayo hii kazi yake ni Mimi kuwa na lipa Kodi ndo maana ya tin number au lessen ya biashara ndo ipo hivyo. Haya sawa kwenye miamala tena nakatwa na mitandao hiyo ni sawa ili na wenyewe wapate faida ila serikali wanakata tena kwenye miamala kuacha zile tunalipia mwisho wa mwezi Kwa lessen za biashara. Haya acha hiyo Kuna Kodi tena za sehem ofisi zetu zilipo kama ni sokoni au stand tunalipa tena Kwa serikali sasa hii mbona sielewi hizi Kodi tunakatwa sana pasipo sababu. Kodi ya leseni sawa Kodi ya mtandao sawa ila so kuktwa tena sasa kwenye miamala au kutoa tena hela ya Kodi sijui sokoni sijui barabarani yani tunatoa Kodi mara nne so sawa bana hii mnatuumiza TRA Tanzania #MPESASafaricom #Airtel #AirtelKenya #Vodacom

mdukuzi
12 June 2026
โฝ๐ฅ HAKUNA SABABU YA KUKOSA KOMBE LA DUNIA! Pata intaneti ya kasi kutoka Vodacom na ufurahie kila mechi bila kukatishwa. โ Pocket MiFi โ Portable Router โ 5G Router โ Vifurushi vya Intaneti bila kikomo ๐ Free Router Delivery Wasiliana nasi leo: ๐ +255 745 611 357 #WorldCup2026 #Vodacom #RouterTZ #UnlimitedInternet #KombeLaDunia #NADInsuranceAgency
mpesabusiness
12 June 2026
Lipa kipochi za makato madogo bei ni 20000 ni kabla ukihitaji we njoo wasap chap tupandisge 0779573819

mfema
12 June 2026
๐ข M-FEMA IMEWASILI KWA MAWAKALA WOTE! Je, unahitaji float lakini hujui ni wakala gani ana float eneo lako? M-FEMA ndiyo suluhisho lako! M-FEMA ni mfumo unaowaunganisha mawakala na kuwawezesha kupata taarifa za upatikanaji wa float kwa haraka na kwa urahisi, hivyo kupunguza muda wa kutafuta float na kuongeza ufanisi wa biashara. Kupitia M-FEMA unaweza: โ Kuona taarifa za mawakala wenye float inayopatikana. โ Kupata float kwa haraka kupitia mtandao wa mawakala. โ Kupunguza muda na gharama za kutafuta float. โ Kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wateja. ๐ฑ Pakua M-FEMA sasa: โข Google Play Store kwa watumiaji wa Android. โข Apple App Store kwa watumiaji wa iPhone. โน๏ธ Muhimu: M-FEMA hutoa taarifa za upatikanaji wa float na kuwaunganisha mawakala. Uhamishaji wa float unaendelea kufanyika kupitia njia rasmi za kawaida za kampuni husika za huduma za kifedha. โ๏ธ Kwa maelezo zaidi au msaada: 0739 888 400 M-FEMA โ Pata Taarifa za Float kwa Haraka, Rahisi na Salama.

mange_solver
12 June 2026
๐ฅ ๐๐ผ๐๐๐๐๐ ๐ฝ๐๐๐ฟ๐๐๐ ๐ฅ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ผ๐๐ ๐ฝ๐ผ๐๐ฟ๐ ๐๐ผ ๐ฝ๐๐ ๐๐ผ๐๐๐๐ ๐๐ฝ๐ ๐๐๐ฝ๐ผ๐ ๐๐ผ๐๐ผ! โ ๐๐๐๐ ๐๐ฟ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ผ๐๐ ๐ฅ ๐๐ฝ๐ ๐๐๐ฝ๐ผ๐๐ฅ ๐ฐ ๐๐๐๐ผ ๐๐๐ฟ๐๐๐ ๐๐ผ๐๐ ๐๐ ๐๐ผ๐๐! ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ผ๐ ๐ฝ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ ๐๐ผ๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐๐๐๐๐๐ผ ๐ฝ๐ผ๐๐ฟ๐ ๐๐๐๐๐ผ ๐๐๐ โก ๐๐๐ผ๐๐ ๐ฝ๐ผ๐๐ฟ๐ ๐๐ผ๐๐ ๐พ๐๐ผ๐ ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐ ๐ฝ๐๐๐ฟ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ฟ๐๐๐ ๐๐ผ๐ฝ๐ผ๐๐ ๐๐ผ ๐๐ ๐๐๐ ๐ ๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข โ ๏ธ โค ๐พ๐๐ก๐ก / ๐๐๐๐ฉ๐จ๐ผ๐ฅ๐ฅ โค ๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฏ๐ต๐ฐ๐ณ๐ฏ๐ณ๐ฏ ๐
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.