mayzone
2 June 2026
Je tuna taarifa juu ya utapeli unaoendelea sasa hivi? Hqsa wenzangu na Mimi wasiotaka kujisajili kisheria ktk biashara zao?
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
mayzone
2 June 2026
Je tuna taarifa juu ya utapeli unaoendelea sasa hivi? Hqsa wenzangu na Mimi wasiotaka kujisajili kisheria ktk biashara zao?
bigbrother
2 June 2026
Habari za leo Ma Agents Wenzangu. Mimi ni super agent wa Airtel nahitaji kuwa Super agent wa Yas, Voda na Halotel Kama kuna super agent ana extra line ya kusambazia floti kwa makubaliano maalumu niko tayari. 0713535475
ismailjr
2 June 2026
MWENYE VITABU VYA KUJAZA MIHAMARA YA KUTOA PESA NA KUWEKA INBOX
superagent
13 March 2025
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UKIWA WAKALA WA KIFEDHA Hii ni mbaya sana. Matapeli wawili wanaweza shirikiana. Mfano mmoja akawa Tegeta mwingine Pugu, wa Tegeta anaenda Kwa wakala, anazuga anatoa pesa kumbe anayetoa pesa ni wa Pugu. Anatoa unampa Cash anaondoka. Baada ya nusu saa(akishafika mbali kidogo) anarudisha muamala. Huduma kwa wateja wakiTrack umbali wa aliyetoa pesa na wakala alipo wanagundua ni kweli aliyetoa pesa hakuwa kwa wakala. Na hivyo Wanahitimisha kuwa Hajapokea Cash kutoka kwako. Kumbe kiuhalisia aliyepokea Cash ni mwingine na aliyetoa pesa ni mwingine. Wakala unadhulumiwa pesa yako. #MyTake; 1: Mteja anapokuja kuweka pesa usimpe simu yako kujaza namba 2: Unapo hudumia mteja kutoa au kutuma andika muamala kwenye daftari la taarifa za miamala kama kumbukumbu zako 3: Wateja ambao huwa unawahudumia pesa kubwa au wateja ambao hujawahi kuwahudumia (Strangers), ni bora ujifanye hujaona muamala ili akuoneshe sms. Hii inawahusu wanaotoa pesa kwako 4: Tuwe active na messages na simu za huduma kwa wateja. Mteja akiomba reversal utapigiwa simu na usipopokea unaweza kusababisha muamala aliotoa mteja wa mbali akarudisha kirahisi. Kwa maelezo mengine, usikubali kuudumia mteja wa kutoa pesa asiekua katika eneo lako la kazi kwa maana yuko mbali atumiwe code kisha atoe pesa utakuwa umevuka mipaka ya uwakala bora. •Mteja akitoa Pesa kama unahisi ametuma code kwa mtu wa mbali jifanye haujaona sms na uombe uone sms kwake kwa sababu mteja akitoa pesa akiwa mbali akiomba pesa ile kunauwezekano wa pesa kurudi kwa Mteja* 5: Tujitahidi kufuatilia miamala tuyofanya tukipata nafasi pale wateja wanapopungua. Hii iambatane na kukariri wateja(Angalau). 6: Usitoe siri zako za kazi kwa mtu yoyote unae mjua na usie mjua 7: Kua makini na unavyo hesabu pesa usisingizie chuma ulete 8: Mteja anapo kuja kuweka pesa chukua pesa hesabu pesa kisha mhudumie na mteja anapotoa pesa hakiki sms vizuri MAJINA, KIASI na NAMBA YA SIMU. Kamwe usihudumie kabla ya kupokea pesa au kuhakiki sms ya muamala vizuri. 9: Biashara na rafiki/ndugu/jilani weka mbali utaumia 10: Jua kutofautisha hela bandia na halisi au tumia mashine kuhesabia. 11: Kila unapotuma pesa kuwa makini sana yaani hakiki MAJINA, KIASI na NAMBA YA SIMU. Pia kuwa makini mteja asione neno lako la siri. 12. Hakikisha kila Siku unakagua namba zilizoseviwa kwenye simu yako ya wakala*. Usisevu hata namba moja yaani iwe empty. 13. Mpe mteja Code ya wakala usimpe namba ya Wakala* 14. Kama umeajiriwa acha kuwapa simu yako ya mawasiliano wateja kwani matapeli wanaweza ku-Edit wakaweka namba zao kisha wakaacha jina ulilomsevu Boss wako na badae kukutunia ujumbe wa maelekezo utume pesa na ukatuma ukijua ni Boss wako*. 14. Unapo muwekea pesa mteja wa airtel hakiki commission na ukiona 0 cancel maana atakuwa huyo ni wakala mwenzio. Huruhusiwi kumhudumia wakala mwenzio hilo umeingilia jukumu la wakala mkuu japo kwa mara moja haina shida sana kama utakuwa umeamua kumsaidia float. 15. Usipokee maelekezo yanayotolewa na mtu yoyote kwa namba tofauti na namba 100 hata kama atajitambulisha kwa namna yoyote ile. Mwambie apige namba 100 utamsikiliza. 16. Usipokee maelekezo yanayotolewa na mtu yoyote kwa namba tofauti na namba 100 hata kama atajitambulisha kwa namna yoyote ile. Mwambie apige namba 100 utamsikiliza. 17. Usichukue simu ya mteja ili umsaidie kutoa pesa. Ni kosa kisheria kumtolea pesa mteja, mwelekeze atoe mwenyewe, akijifanya anaharaka mwache aondoke. 18. Ukiona muamala umeingia kwenye simu yako hauutambui usikurupuke hata kama utapigiwa simu na mtu amekosea au akajitambulisha ni wakala mkuu, Mwambie apige namba 100 watamrudishia. Usije ukajichanganya ukamtumia, ni kosa kubwa mno kumrudishia hiyo hela maana huruhusiwi kisheria. Ukimtumia tayari umetapeliwa. Rafiki wa kweli wa wakala ni namba 100 19. Mteja wa kuweka pesa hakikiasha unampa karatasi anaandika kwa mikono yake: namba ya simu, kiasi na majina. Usipofanya hivyo, tapeli anaweza kusema amekutajia nyingine na wewe umeweka nyingine na ukijaribu kurudisha muamala utaambiwa umshatolewa maana! Tapeli atakuomba pesa zake au atakuamrisha umwekee maana atasema hujamwekea kumbe kakupa namba nyingiene wapo wawili wanashirkiana kukuibia 20. Usiiamini hela ambayo uliihesabu then mteja akaishika tena kwa namna yoyote ile. Ikirudi kwako ihesabiwe tena usione uvivu au usiiamini. Utapewa hela bandia au makaratasi katikati au utapewa pungufu. Matapeli ni wajanja sana na ni wepesi kufanya namna. 21. Kila siku ukifungua duka lako, kagua ofisi yako vizuri - Till zako, matangazo yako na simu za miamala Kama kuna swali niulize inbox yangu boss #super Agent HITAJI LAKO NDIO KIPAUMBELE CHETU!! Whtspp & Call 0654555758
mashauri
25 May 2026
Naomba kuuliza nimeona mjadala kuhusu kupata uwakla wa CRDB Na NMB gharama zake mbona ziko juu sana kwani wao kamisheni wanatoaje
mashauri
24 May 2026
Habari zenu wataalam naomba kuuliza namna ya kuhamisha pesa kutoka line ya lipa ya mix by yas kwenda kwenye til ya mix by yas

mfema
8 May 2026
Kama wewe no wakala mkuu au mdogo usihangaike namna ya kuhudumia mawakala wako kwa wakala mkuu au wakala mdogo rahisisha namna ya kupata float, Jiunge na mfumo M-FEMA Kwa playstore https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mfema.app Pia inapatikana kwenye Apple Store yaani wenye simu za iphone
modussutz
7 May 2026
Nataka kufungua hii kitu ya miamala lakin nikisoma umu mnanikatisha tamaa ivi kwani hakuna hakuna kiwango maalumu ambacho agent atalipwa kwa muhamala mmoja yaani % 5 labda kwa kila muhamala au 2% ili mtu awe anajua maana naona watu wanatoa malalamiko mengi kama sijui wamelipwa kidogo sijui nini niji ni kama wanakupimia unavyotaka na sio cammition ya kufanya kazi au mambo uwa yapo vip wakuu mbona kama ni kizungumkuti ?
fabiani305
6 May 2026
jamani samahani naomba kuurila nilipokuwa nasajiliwa laini yangu ya uwakala ya voda walipo nitumia sms ya code nilifuta bili kusoma hadi mwisho kuona namba ya siri sasa nafanyeje niipate namba ya siri naomba msaada kama kuna anaweza kunisaindia ua kuniambia nifanyeje
mathy
6 May 2026
Me nataman kupata lipa namba sana

paschalruta
6 May 2026
Je wewe ni wakala na unatumia camera ya usalama kwenye ofisi yako,jipatie router na unlimited bundle kwa bei nafuu kabisa...nipigie 0759999100

sonj
5 May 2026
Mimi ni wakala mpya kwa kazi hizi. Je mnaweza kunipa mawazo ndugu zangu wakongwe niishije?
mdukuzi
5 May 2026
Uliza swali lolote kuhusu uwakala nikujibu

mdukuzi
5 May 2026
Nafasi za kazi

mdukuzi
5 May 2026
Wewe kama mfanyabiashara

abuu
3 May 2026
Nawatakia jumapili njema mawakala. Na heri katika mwezi mpya wa tano.

jamesmalwa440gmail.c
16 March 2026
James marwa mwita.naomba nisajiliwe kwenye wakala halo pesa voda com tigo pesa

mange_solver
14 March 2026
𝙃𝙐𝘿𝙐𝙈𝘼 𝙔𝘼 𝙇𝙄𝙋𝘼 𝙉𝘼 𝙐𝙒𝘼𝙆𝘼𝙇𝘼 𝘽𝙐𝙍𝙀 ☑️ 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗟𝗔 𝙃𝘼𝙇𝙊𝙋𝙀𝙎𝘼 𝘽𝙐𝙍𝙀 > 𝙑𝙄𝙂𝙀𝙕𝙊 ➤ 𝙉𝘼𝙈𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙃𝘼𝙇𝙊𝙏𝙀𝙇 ➤ 𝙏𝙄𝙉 𝙉𝘼𝙈𝘽𝘼 ➤ 𝙁𝙇𝙊𝙏 𝙔𝘼 𝙇𝘼𝙆𝙄 𝙈𝙊𝙅𝘼 ➤ 𝙆𝙄𝙏𝘼𝙈𝘽𝙐𝙇𝙄𝙎𝙃𝙊 / 𝙋𝘼𝙎𝙎𝙋𝙊𝙍𝙏 *_TILL ZA HALOPESA STORE 2 UTAPATA KWA BEI RAHISI_* 🟢 𝙇𝙄𝙋𝘼 𝙆𝙒𝘼 𝙃𝘼𝙇𝙊𝙋𝙀𝙎𝘼 𝘽𝙐𝙍𝙀 𝙑𝙄𝙂𝙀𝙕𝙊 • 𝙉𝘼𝙈𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙎𝙄𝙈𝙐 • 𝙏𝙄𝙉 𝙉𝙐𝙈𝘽𝙀𝙍 • 𝙆𝙄𝙏𝘼𝙈𝘽𝙐𝙇𝙄𝙎𝙃𝙊 / 𝙋𝘼𝙎𝙎𝙋𝙊𝙍𝙏 ⭐ 𝙇𝙄𝙋𝘼 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝘼𝙒𝘼𝙆𝘼𝙇𝘼 ⭐ 𝙒𝘼𝙇𝙀 𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙏𝙄𝙇𝙇 / 𝙇𝘼𝙄𝙉 𝙕𝘼 𝙐𝙒𝘼𝙆𝘼𝙇𝘼 𝙒𝘼𝙏𝘼𝙋𝘼𝙏𝘼 𝙇𝙄𝙋𝘼 𝙆𝙒𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙉𝘼𝙁𝙐𝙐 ⏱️ 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝙄𝙉𝘼𝙆𝘼𝙈𝙄𝙇𝙄𝙆𝘼 𝙉𝘿𝘼𝙉𝙄 𝙔𝘼 𝙈𝘼𝙎𝘼𝘼 𝟮𝟰 📞 𝗠𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗢 ♠️ > Call /whatsapp > 0753947373📞

mfema
12 March 2026
Habari, Una ifahamu M-FEMA? ni mfumo unaotumiwa na mawakala wakuu na mawalaka wa kawaida kubafilishana float. Tembelea playstore inapatikana kwa jina la M-FEMA
furgens
5 March 2026
JAMANI MIMI NI MGENI LAKINI ,NAOGOPA KUTOA SWALI LANGU MAANA YA WENGINE HATA HAYAJIBIWI
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.