hillaryfredrick
5 July 2026
Kumbe kwa sasa ukiuza vifurushi mtatando mwingine tofauti na halotel kwa kutumia laini ya halotel hupati kamishemi!!
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
hillaryfredrick
5 July 2026
Kumbe kwa sasa ukiuza vifurushi mtatando mwingine tofauti na halotel kwa kutumia laini ya halotel hupati kamishemi!!
kanumainvestiment
4 July 2026
Naitaji laini ya kuuzia vifulushi

mpesabusiness
5 July 2026
Asilimia kubwa mtu anapotaka kufungua ofisi ya uwakala watu huwa hawamwambii vitu vya kufanya ila huwa wanasema tu hela ipo basi. Sasa uwakala kun vitu vya kuzingatia ili uione hela hiyo wanayo sema. Wala usivunjike moyo hela kweli ipo. #MPESA #MixByYas #Vodacom

mpesabusiness
5 July 2026
Naona leo nitoe uhalisia kidogo wa biashara yetu hii ya uwakala watu waweze kuelewa nafaham kbsa asilimia ya watu wengi huwa wanaingia hawajui biashara ikoje. Kwa sasa hivi kuna mchanganyiko kidogo ndomaana unaona kuna mawakala wanasema tunapiga hela wengine wanashangaa hela wanapigaje sindio jamani iko hivi. Naongea uhalisia uliopo, mawakala wanao sema wanapiga hela kwa sasa kuacha kuwa na mtaji na eneo zuri wanatumia lain za lipa kutoa hela na till wanatumia kwa mteja mmoja mmoja tena na sasa ivi voda wameleta hii pochi ya biashara yenye makato madogo lipa hii ndio kabisa wanapiga hela kwaiyo hao unaona wanapiga hela wanatumia hizo njia. Ukiwa kwenye eneo nzuri ukiwa na unatumia lipa ata ya kawaida tu kulala na 30000 kuendelea ni kawaida sana yani tena apo lain moja tu huu ndio uhalisia ukiwa na pochi ya biashara ya voda na ukiwa na wateja wa voda kwa siku voda tu kuanzia 25000 ni uhakika ukiwa kwenye eneo zuri hiyo lain moja tu mimi naongea hivi ushuhuda ninao na watakuja watu wata comment apo. Wanao lia hawapati hela asilimia 85 ni wale wanatumia till tu kwenye uwakala na mitaji yao ni ya kawaida hapo hauwezi ona hela kwa sasa huo ndo ukweli wateja wanataka lipa kwa maeneo mengi labda uko kwa matajiri ndio sijui. Kwaiyo unapotaka anza uwakala chagua hapo uwe kundi gani sasa nimeona niseme kila mtu ajue mimi nimesema uhalisia tu sijasema sema ufate kipi we ndo muamuzi. Pochi ya biashara natengeza mwenye 0779573819 wasap or call
economy_tz
3 July 2026
NAOMBA KUULIZA JINSI GANI NIONGEZE KAMISHENI ZANGU??
gracesimon
3 July 2026
Jaman mawakala wenzang mmeachwa salama mwezi huu kwenye kamisheni
bumela
2 July 2026
Wadau mm Airtel inapofika mwisho wa mwezi wananikata kamishen hv hii inasababishwa na nn?
tonny
2 July 2026
Ila uwakala Dah kazi tembo mshahara wa sasa sisimizi inakatisha tamaa sio poa π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
sterman
1 July 2026
Wakubwa naomba kujua jinsi ya kutoa hela kwa njia meseji mitandao yote

mpesabusiness
1 July 2026
Kwenye till ya kawaida mteja akitoa hela unapata commission ya 600 kabla ya kodi apo Ndomaana watu wanatumia lipa ili kuongeza kipato zaidi cha kukizi maisha yao. #MPESA #Vodacom #Airtel
auginjou
1 July 2026
Mimi ni wakala wa mitandao ya xm, je ni biashara gani inastahili kuchanga na wakala, eneo must iyunga dispensary

zengo
30 June 2026
Vipi wataalam wa kompyuta LAINI YA POCHI inawezekana kuunganishwa sms za miamala zipite kwenye simu yangu binafsi

yoashi
30 June 2026
Jamani laini yangu ya voda imefungiwa kisa sijafanya uhakiki wa TIN number, alowahi pitia hii hali anisaidie mwenzenu laini yangu ina pesa mingi sanaππππ
ishaka
30 June 2026
Ndugu wakala we zangu Naombie nijuwe mteja akitoa kwenye Lipa anatakiwa kukatwa bei gan man sina makato ya Lipa na sijuw nimtate kias gan watej wana nilalamikea nawakata hela kubwa san nataka kujuwa mteja akitoa kwenye Lipa nimkate kias gan

onoosward
29 June 2026
Lipa yangu ya voda kwa sasa inaniandikia hivyo nikiangalia salio au nikitaka kutoa kwenye till Msaada wenu wakuuu
northeastfinance
29 June 2026
Wenzangu biashara yetu ya miamala tuna andikaje records katika kufungua mpaka kufunga biashara jioni.
jewdith
28 June 2026
Hello.. naomba msaada jinsi ya kuhamisha hela niliyokopa Wezesha kuileta kwenye Ac ya kazi
joelshokolo01gmail.c
28 June 2026
Jamani Wakala Wenzangu Naomba Msaada Mie Huwa Nina Laini Ta Ttcl T.pesa Ila Nikiishiwa Float Huwa Inanipasa Niende Poster Kuweka Float. Je! Humu Hakuna Wakala Wenzangu Ambao Nanyi Mnatumia Huduma Za T.pesa Tuwe Tunasaidiana?
lizy
27 June 2026
Samahan jaman naomba kuuliza NAMNA ya kuuza vifurushi Halotel maana Kila nikimnunulia mteja na naweka namba ya mteja lakini mwishoni inakuwa inaleta namba yangu hiyo ya till.,... Msaada pls

mpesabusiness
27 June 2026
Tumia kiswaswadu tu kwenye uwakala, smartphone inamadhara makubwa sana watu wanaweza hack sim yako hiyo kutumia email yako tu waka iba kila kitu kwaiyo tumia kiswaswadu usijifanye eti we mjanja kutumia smartphone phone kitakuramba. #MPESA
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.