Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

Hizi Sheria zingine kiukweli ukiangalia vizuri zinatuonea mawakala bila kosa lolote.

Eti kumtumia mteja mara mbili au zaidi inakatwa hela sas mnataka tuhudumie mbuzi jamani si hawa hawa wateja asa mtu anashuguli zake inatakiwa aweke hela ata mara mbili mara tatu na ana lain moja ko awe anatembea kutafuta mawakala tofauti asakama eneo Hilo yupo tu wakala mmoja ko asipate huduma.

Aya kuacha hilo sababu ipi unasema wakala alifanya hivo umkate sasa kakosea nini ohh inakuwa kama una foji muamala unaweza kuwa ni wewe mwenyewe wakala unajilushia sasa tatizo liko wapi kwani ukiwa wakala ndo huwi mteja Sheria hizo zaifu sana huo ndo ukweli.

Follow me Mpesa business 

#MPESA #MixByYas #Vodacom #haloteltanzania
mpesabusiness

mpesabusiness

6 June 2026

Hizi Sheria zingine kiukweli ukiangalia vizuri zinatuonea mawakala bila kosa lolote. Eti kumtumia mteja mara mbili au zaidi inakatwa hela sas mnataka tuhudumie mbuzi jamani si hawa hawa wateja asa mtu anashuguli zake inatakiwa aweke hela ata mara mbili mara tatu na ana lain moja ko awe anatembea kutafuta mawakala tofauti asakama eneo Hilo yupo tu wakala mmoja ko asipate huduma. Aya kuacha hilo sababu ipi unasema wakala alifanya hivo umkate sasa kakosea nini ohh inakuwa kama una foji muamala unaweza kuwa ni wewe mwenyewe wakala unajilushia sasa tatizo liko wapi kwani ukiwa wakala ndo huwi mteja Sheria hizo zaifu sana huo ndo ukweli. Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #Vodacom #haloteltanzania

Hii mitandao Vodacom YAS na mingine Kuna sehem inabidi kiukweli mboreshe  kabisa baazi ya vipengele.

Hii Sheria mfano ya kusema ukituma pesa mteja akiwa mbali ni kosa Mimi naomba kuuliza unajuaje kama mteja yuko mbali huwezi kila mteja umuulize eti unamtumia mtu akiwa wapi na hata Ivo akikudanganya utamjuaje.

Kiukweli mawakala hatuna pakusemea Kuna mambo mengi tunaomba yabadirishwe moja wapo ni Hilo apo mitandao mtusikilize mawakala.

Vodacom Tanzania Yas Tanzania 

#Airtel #MPESA  #AirtelKenya
mpesabusiness

mpesabusiness

6 June 2026

Hii mitandao Vodacom YAS na mingine Kuna sehem inabidi kiukweli mboreshe kabisa baazi ya vipengele. Hii Sheria mfano ya kusema ukituma pesa mteja akiwa mbali ni kosa Mimi naomba kuuliza unajuaje kama mteja yuko mbali huwezi kila mteja umuulize eti unamtumia mtu akiwa wapi na hata Ivo akikudanganya utamjuaje. Kiukweli mawakala hatuna pakusemea Kuna mambo mengi tunaomba yabadirishwe moja wapo ni Hilo apo mitandao mtusikilize mawakala. Vodacom Tanzania Yas Tanzania #Airtel #MPESA #AirtelKenya

Wengi sana mmeniuliza swali hili nikitaka kuwa wakala nafanyaje fanyaje haya twende kazi ausio.

Ili uwe wakala hakuna vitu vigum hapana nikawaida tu mambo baazi ya kufata kama haya.

1. Upate lain za uwakala.

Hizi ndo lain za kazi yani kiufupi vitendea kazi vikubwa na muhim kwenye uwakala Kuna kutuma pesa Kwa mteja na, mteja kutoa pesa kuja kwako Kwa wakala sasa Kuna lain inabdi uwe nazo ndo uwe wakala zinaitwa till, kazi yake ndo hiyo kutuma pesa na kupokea pesa toka Kwa mteja je unazipataje?

Sehem ya uhakika Zaidi nikwenye maduka yao mfano vodashop japo wapo mawakala wanao sajili lain hizo kama Mimi mwenyewe.

                 Vigezo ukienda vodashop au                Yasshop.

.nida na kitambulisho chake.
.tin number 
. lessen ya biashara

Hivyo ndo vitu muhim vya kupata lain za uwakala na pia Kwa wakala so lazima uwe na lessen ya biashara.

2.  Mtaji.

Kitu kingine cha muhim ni mtaji utao Anza nao sasa baada ya kupata lain hizo ata ukianza na laki tano hawakukatazi ata laki tatu jamaa ni wewe ila atae Anza na laki tano na milion moja sio Kwamba watalingana faida hapana kama wote mnapata wateja basi wa mtaji mkubwa ndo atapata faida kubwa zaidi.

2. Eneo 

Ukishakuwa na mtaji na lain unatafuta eneo sasa ambalo wewe utalimudu kulipia basi ndo hapo unafanyia kazi kikubwa liwe eneo zuri kila siku nazani nasema Hilo kuhusu eneo zuri mnajua nishawelekeza sana.

3 hii naongeza mwenyewe uwe na elim kidogo ya mpesa.

Usifungue mpesa ukawa hujui kabisa kinachoendelea basi lazima utapitia wakati mgum mwanzoni huo ni ukweli usio pingika kabsa kwaiyo tafuta ka elim kidogo jinsi yakujikinga na matapeli na jinsi ya kuzibiti MTAJI wako.

Kwaiyo hivyo ndo vitu vinafanya uwe wakala hakuna kingine Mzee wangu na dada yangu na kaka yangu na mdogo wangu.

Follow me Mpesa business 

#MPESA #MixByYas #AirtelKenya #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

6 days ago

Wengi sana mmeniuliza swali hili nikitaka kuwa wakala nafanyaje fanyaje haya twende kazi ausio. Ili uwe wakala hakuna vitu vigum hapana nikawaida tu mambo baazi ya kufata kama haya. 1. Upate lain za uwakala. Hizi ndo lain za kazi yani kiufupi vitendea kazi vikubwa na muhim kwenye uwakala Kuna kutuma pesa Kwa mteja na, mteja kutoa pesa kuja kwako Kwa wakala sasa Kuna lain inabdi uwe nazo ndo uwe wakala zinaitwa till, kazi yake ndo hiyo kutuma pesa na kupokea pesa toka Kwa mteja je unazipataje? Sehem ya uhakika Zaidi nikwenye maduka yao mfano vodashop japo wapo mawakala wanao sajili lain hizo kama Mimi mwenyewe. Vigezo ukienda vodashop au Yasshop. .nida na kitambulisho chake. .tin number . lessen ya biashara Hivyo ndo vitu muhim vya kupata lain za uwakala na pia Kwa wakala so lazima uwe na lessen ya biashara. 2. Mtaji. Kitu kingine cha muhim ni mtaji utao Anza nao sasa baada ya kupata lain hizo ata ukianza na laki tano hawakukatazi ata laki tatu jamaa ni wewe ila atae Anza na laki tano na milion moja sio Kwamba watalingana faida hapana kama wote mnapata wateja basi wa mtaji mkubwa ndo atapata faida kubwa zaidi. 2. Eneo Ukishakuwa na mtaji na lain unatafuta eneo sasa ambalo wewe utalimudu kulipia basi ndo hapo unafanyia kazi kikubwa liwe eneo zuri kila siku nazani nasema Hilo kuhusu eneo zuri mnajua nishawelekeza sana. 3 hii naongeza mwenyewe uwe na elim kidogo ya mpesa. Usifungue mpesa ukawa hujui kabisa kinachoendelea basi lazima utapitia wakati mgum mwanzoni huo ni ukweli usio pingika kabsa kwaiyo tafuta ka elim kidogo jinsi yakujikinga na matapeli na jinsi ya kuzibiti MTAJI wako. Kwaiyo hivyo ndo vitu vinafanya uwe wakala hakuna kingine Mzee wangu na dada yangu na kaka yangu na mdogo wangu. Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #AirtelKenya #Vodacom

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.