stephanomadenge
5 days ago
Mbona halotel wanazingu kamisheni kwa kutuma salio la mitandao mingine
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
stephanomadenge
5 days ago
Mbona halotel wanazingu kamisheni kwa kutuma salio la mitandao mingine

peaslepaypont
5 days ago
Naomba kupata stika Za lipa namba Za voda na Airtel, pia Nataman nipate lipa namba ya azamu, halotel na mix by Yas...

mpesabusiness
6 days ago
Mwanzo nilikuwaga najua kuanza biashara ya uwakala paka uwe na mamilion ya hela kumbe ata so kweli ata laki Tano unaweza kuanza zingatia neno kuanza. Nilikuwa nikiuliza watu kuhusu uwakala wanasema tulia we dogo we kula ugali wa Bure kwenu huwezi uwakala ni hela nyingi sikukata tamaa nikawa naenda vodashop naogopa kuuliza siku moja nikaona niulize tu vipi uwakala naweza Anza na shingapi akasema dogo ukiwa na lain za uwakala na sehem yakufanyia hii biashara ata laki mbli na nusu unaanza nikaona huyu jamaa vipi.!!! Akanielezea so paka uanze na mitandao yote Kwa uku kigoma dogo Anza tu na voda na tigo akasema we si umesema kuanza tu au? Nikasema ndiyo akasema sasa we tafuta lain hizo na sehem anza. Nikicheki mimi namilion moja nikasema ishi kumbe naweza bana nikatafuta hizo lain kama laki moja na nusu lain tatu voda, Yas, na Airtel maana yule yule jamaa ndo alinisaidia kupata kutokana na udogo wangu alisema ananisaidia . Basi sehem uku kigoma so bei ata ka frame nikalipia miezi 3 Kwa 15000 mwezi mmoja ko mtaji rasmi nilianza Kwa laki saba nakumbuka, nikafanya kazi Ivo ivo mdogo mdogo nikawa naijua kazi hii kidogo kidogo nkazoea fresh nikapata jina dogo wakala ndo adi Leo mambo yako safi kabisa.. Usikate tamaa Anza sasa na ulicho nacho kikubwa zingatia masomo yangu hapa usizarau kama unaipenda kazi hii. Follow me Mpesa business #MixByYas #MPESA #AirtelKenya #Vodacom
thebosscashpoint
5 days ago
š¼ Bado unaandika miamala kwenye daftari? TheBoss Agent System inakusaidia: ā Kufuatilia Float za mitandao yote ā Kuona Commission zako ā Kurecord miamala yote ā Kupata report ya siku, wiki na mwezi ā Kufuatilia wadaiwa Inafanya kazi hata bila internet baada ya kuiseti. Kwa maelezo zaidi na kupata demo call/text me on WhatsApp 0766717545

mpesabusiness
6 days ago
Hatushauri upokee sim zingine zozote kwenye lain yako ya uwakala ili uwe salama na utapeli. Lakini Kuna namba muhim sana inabidi uwe haraka kuzipokea ikipiga kwenye lain yako ya uwakala namba yenyewe ni 100 kwanini tunasema uwe fast kupokea ni hii. Adi mtandao wanakupigia Kwa namba hiyo lazima asilimia kubwa Kuna tatizo hasa wanataka kukujulisha labda Kuna mteja anataka kurudisha muamala ko wanataka kukuuliza je uko nae huyo mteja au nisawa arudishe na maswali mengine ili kuweka usalama. Kwaiyo point ni usipokee namba zingine zozote zaidi ya namba 100. Nahapa ndo napo sisitiza sim yako ya kazi ya uwakala usimpe mtu ata mala moja anaweza save namba yake kwenye sim yako ila aka save namba 100 ko anaweza piga akiwa mbali we Kwa haraka unaona ni 100 kumbe sio Ali save kabla nazani kidogo mnaelewa ndugu zangu. Follow me Mpesa business #Vodacom #MPESA #MixByYas #AirtelKenya
kilengweentreprises
6 days ago
Habari jamani, nataka kuanza hii kazi ya uwakala na sina muda wa kuifanya mwenyewe sasa nikiajiri mtu natakiwa nimlipe kiasi gani? Wakati huo huo biashara iendelee kutengeneza faida. Naomba kwa mwenye uzoefu hapa anisaidie.

mpesabusiness
6 days ago
Biashara ya uwakala kiukweli kabisa faida ipo nzuri tu kubwa tena bila yakutumia nguvu na akili sana. Ila Kuna vitu muhim Sana vya kuzingatia ili biashara uione ni nzuri na yenye faida kama ndo unaanza jifunze hapa. 1. Cha kwanza cha muhim mtaji. Huwa napenda sana kuwa mkweli ili kuokoa watu wanao taka kuanza biashara hii, mtaji ni kitu kikubwa sana kinafanya mtu apate faida kubwa sana kwenye biashara hii sababu utaweza kuwahudumia wateja karibia wote wanao kuja kwako na biashara hii miamala ndo hela yako wewe Yani watu wanavyo fanya miamala ndo hela wewe unapata. 2. Eneo zuri. Hii ni sehem wewe unafanyia kazi, sio kila eneo eti linafaa kuweka ofisi ya uwakala mengine hayafai kabisa tafuta eneo lenye watu wengi, mzunguko wawatu mfano hospital, mashuleni, chuoni stand, sokoni na mitaa iliyo changamka zaidi hapo utapiga hela niamin Mimi. 3. Kuwa makini sana sana na utapeli. Yani hili ni jambo muhim zaidi zaidi usipokuwa makini apa unaweza pata hasara kubwa ila ukiwa makini nkufatlia mbinu mbali mbali za utapeli itakupunguzia hatari kubwa kutapeliwa. 4. Hap vijana mnao waajili hakikisheni kwanza mnawapa elim ten elim kubwa kuhusu utapeli inavyo fanyika japo sio utajua mbinu zote ila nyingi tushasema hapa ko ukimpa maelekezo kila siku ya utapeli atakuwa makini sana kuliko yeye kuto jua kama hamna utapeli hio ni mbaya sana. Hayo ni mambo muhim. Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #Airtel #Vodacom
mnigatz
6 days ago
Naitaji lain ya yas ya code kama mtu najuwa namba zangu 0785871560
saidi
6 days ago
Jaman kwenye Code ya wakala unalipiaje malipo ya serikal
lazaromhongole
6 days ago
Jamani mwenye kujua kurusha kifurushi cha Voda unafanyaje

lazaromhongole
6 days ago
Nikijalibu kubonyeza *150*00*50 wananiandikia hivyo au kunakitu nimekosea
makulajimende
6 days ago
Nitapata mtaalam wa kunifungulia lipa yangu ya voda imefungwa na ina hela
makulajimende
6 days ago
Jaman nimefungiwa lipa yangu ya voda na ina hela nifanyaje jaman ili niipate tu hiyo hela
stephanomadenge
6 days ago
Naomba kujua maana ya wezesha wakala

255769564254
6 days ago
Nitengeneza lipa namba mtandao yote 0769564254
emmawakala
6 days ago
Iv wakala anatakiwa kulipa kodi TRA au yale makato ya kodi kwenye commission ndo kodi yenyewe wanalipwa TRA?
emmawakala
6 days ago
Jaman naomba kuuliza me nimepoteza TIN namba yangu niliyotumia kutengeneza Till ya airtel yaan siikumbiki tena Je kuna uwezekano wa kuipata
singacompanylimited
6 days ago
WAKUU NINAHITAJI TILL YA WAKALA YA VODA ILA NINA TIN NAMBA TUU
mnigatz
6 days ago
Mi nataka lain ya yas ya code kama mtu najuwa namba zangu 0785871560
ayoubpatrice
5 days ago
JE? UNAITAJI LIPA NAMBA ZA AIRTEL MONEY KARIBU TUKUHUDUMIE NAPATIKANA KIBAHA MLANDIZI MAWASILIANO NAMBA WASAPU 0624956187
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.