
michaelkyando
9 June 2026
Naombeni msaada jaman Kwanza mii nina utaratibu wangu wa kuangalia kamisheni sasa leo nmeangalia nmekuta imepungua na nimejaribu kuwapigia wananambia niongee na wakala mkuu sasa sijui vinahusiana vipi AIRTEL MNATUCHOSHA
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

michaelkyando
9 June 2026
Naombeni msaada jaman Kwanza mii nina utaratibu wangu wa kuangalia kamisheni sasa leo nmeangalia nmekuta imepungua na nimejaribu kuwapigia wananambia niongee na wakala mkuu sasa sijui vinahusiana vipi AIRTEL MNATUCHOSHA

mfema
10 June 2026
š¢ TANGAZO KWA MAWAKALA WOTE Tunapenda kuwataarifu kuwa mfumo wa M-FEMA sasa unapatikana kwa matumizi ya mawakala wote kwa ajili ya kurahisisha huduma za kifedha na uendeshaji wa shughuli za mawakala. Kupitia M-FEMA, mawakala wataweza: ā Kufanya miamala kwa haraka na usalama zaidi. ā Kubadilishana float (float exchange) kwa urahisi kati ya mawakala. ā Kufuatilia taarifa za miamala kwa urahisi. ā Kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja. ā Kupata taarifa na maboresho ya mfumo kwa wakati. š± Pakua M-FEMA sasa: - Google Play Store kwa watumiaji wa simu za Android. - Apple App Store kwa watumiaji wa simu za iPhone. Tunawahimiza mawakala wote kupakua na kutumia mfumo huu ili kuongeza ufanisi, usalama na uwazi katika shughuli za kifedha. āļø Kwa maelezo zaidi au msaada wa kiufundi, wasiliana nasi kupitia: 0739 888 400 M-FEMA ā Mfumo Rahisi, Salama na wa Kisasa kwa Huduma Bora.

mpesabusiness
9 June 2026
Miamala batili ni miamala ambayo imefanyika kwa makosa, haijatambulika kisheria, au imekosa vigezo vinavyotakiwa ili ikubalike katika mfumo wa fedha wa mtandao husika. Mfano ndo kama hiyo kurudia mara tatu kutuma Kwa namba moja, kuhudumiawa na wakala mwenzako hiyo inakuwa miamala batili lakini ujue. Sio Kwamba eti haifanyiki hiyo miamala hapana unafanya vizuri tu ila ujue mwisho wa mwezi huwa unakatwa kiasi cha pesa kutokana na miamala hiyo maana Kuna waha wa kigoma kama Mimi ubishi eti mbona kama ni batili Mimi huwa nafanya miamala hiyo na inaenda sipati mazara haaaaa wewe muha mwisho wa mwezi ndo wanakukataa so hapo hapo asilimia 90 huwa wanakataa mwisho wa mwezi au makosa mengine wanakata hapo hapo mfano wakala mkuu akiwa mkoa mwingne ni hapo hapo wanafyeka Kwaiyo mnao uliza ndo hivo. Follow me Mpesa business #MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom #MixByYas

mpesabusiness
9 June 2026
Ikitokea wakala wako mkuu kaenda mkoa tofauti na wewe ulipo alafu akakuhudumia wewe basi ujue utakatwa tu Kwa miamala atayo kufanyia hivyo ndo ilivyo Mimi nawapa tu kama ulikuwa hujui basi ndo ujue sheria ni nyingi. Taendelea tu kuwaletea sheria hizi kila napo zipata Kwa uhakika kutoka kwenye mitandao husika hasa yas. #MPESA #MPESASafaricom #MixByYas #AirtelKenya #Vodacom

mpesabusiness
9 June 2026
Dah ndugu zangu watu huku wanasema wenyewe bora zibaki lipa maswala ya till kusubiri hela Kwa mwezi afu hela ndogo watakufa njaaa ila mawakala noma sanaa Eti nanialiwatuma walete lipa wenyewe sindo wamesababisha hili wangeleta lipa na mpango madhubitu kuzuia haya yanatoke sasa tumeona ni fursa wenyewe hawataki labda wazifunge haaaaa. #MPESA #MPESASafaricom #Vodacom #MixByYas

zahoro
10 June 2026
š¢ JE, UNATAKA KUWA WAKALA WA HALOPESA? Tunakutengenezea Laini ya Wakala wa HaloPesa BURE kabisa! ā Hakuna gharama ya utengenezaji ā Msaada wa hatua kwa hatua ā Fursa ya kuongeza kipato kupitia huduma za kifedha Usikose nafasi hii ya kuanzisha au kukuza biashara yako. š Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi: āļø 0625 888 898 Karibu tukuhudumie!

ibn_rashidy
10 June 2026
JE, WEWE NI WAKALA WA M-PESA, AIRTEL MONEY, MIXX BY YAS AU HALOPESA? Achana na daftari na makaratasi ya kurekodi miamala yako kila siku. Tumia My Agent App ā mfumo rahisi na salama wa kusimamia biashara ya uwakala. ā Rekodi miamala ya kila mtandao kwa urahisi ā Hesabu kamisheni za kila muamala kiotomatiki ā Hifadhi matumizi ya kila siku ā Fuatilia faida na hasara za biashara yako ā Angalia ripoti za mauzo na mapato wakati wowote ā Hifadhi kumbukumbu zako kwa usalama My Agent imeundwa mahsusi kwa mawakala wa Tanzania wanaotaka kusimamia biashara zao kwa njia ya kisasa, sahihi na yenye ufanisi. š Jua biashara yako inaingiza kiasi gani kila siku. š° Fuatilia kamisheni zako kwa usahihi. š Fanya maamuzi bora kwa kutumia taarifa halisi za biashara yako. š KUMBUKA APP HII NI BURE KABISA Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kupata App hii leo. Call: 0652146418 Whatsapp: +255652146418 Pakua hapa: https://www.ibnstores.com #MyAgent #MobileMoneyAgent #Mwakala #AirtelMoney #MixxByYas #Mpesa #Halopesa #Biashara #Tanzania #DigitalRecords
mayunga
9 June 2026
Hivi float ikiisha lazima niende kwa wakala mkuu kuweka ama hata kama ni nikienda kwa wakala naweka hela ile kawaida kisha naiweka kwenye float?
sham
9 June 2026
Front imeniishia wakala nae wakuniwekea front yup mbari nanilipo sijui nifanyaje

mbugi
9 June 2026
JE KWANINI? MAWAKALA WENGI WANATAPELIWA, JINSI ya kuzuia utapeli Kwa mawakala
merveille
8 June 2026
Hiv lipa na wao wanapana kamisheni au vip
amanigenti616gmail.c
8 June 2026
NATAKA MTU ASAJILI TIGO KWENY COD YAK NIMTUMIE ACC VOCHA NAWEKA MWENYEW
anita
8 June 2026
Naomba kuuliza, TIGO na Halotel nikimhamishia wakala mwenzangu pesa wananiambia kabisa makato Kiasi kadhaa, Ila Voda na airtel makato hakuna, inamaana wanakata bila kusema au imekaaje? Au hakuna makato kabisa?

ismailjr
8 June 2026
šš
merveille
8 June 2026
Jamani nahitaji laini ya pochi sijui inawezekana je
shafii
8 June 2026
Ivi halotel wanaludishaga muamala ukituma kimakosa maana mim walinimbia mapaka waidhinishe lakin adi sas amna kitu
bigabirodevathgmail.
8 June 2026
Naomba kuuliza halotel na Airtel wameshalipa kamisheni ya mwezi ulopita???
bigabirodevathgmail.
8 June 2026
Ivi halotel na Airtel wameshalipa kamisheni?
bigabirodevathgmail.
8 June 2026
Naomba kujua namuna ya kuangalia kamisheni ya mwezi ulopita ya airtel na halotel iliyolipwaa
mayunga
8 June 2026
Msaada jamani anayeweza kunifafanulia zaidi juu ya neno commission
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.