Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

USIFUNGUE DUKA LA UWAKALA KABLA HUJAJUA HAYA ⚠️

Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya uwakala wakiamini ni rahisi kupata faida…
Lakini ukweli ni kwamba mawakala wengi wanafunga biashara mapema kwa sababu ya makosa madogo wanayopuuzia kila siku.

HAYA NDIO MAKOSA MAKUBWA πŸ‘‡

❌ Kufungua sehemu isiyo na watu
Ukifungua eneo ambalo halina mzunguko wa watu, wateja watakuwa wachache hata kama una huduma nzuri.

❌ Kutokuwa na float ya kutosha
Mteja akija mara kwa mara akakosa huduma, ataenda kwa wakala mwingine.

❌ Huduma mbaya kwa wateja
Kukasirika, kuchelewa au kujibu vibaya huwafanya wateja wasirudi tena.

❌ Duka kutokuwa safi na kuvutia
Muonekano wa duka nao huongeza imani kwa wateja.

❌ Kutotangaza biashara yako
Ukikaa kimya watu hawatajua huduma zako.
Post kila siku, weka matangazo na onesha huduma zako online.

βœ”οΈ Wakala anayejua kuhudumia watu vizuri huwa anapata wateja wengi kila siku.

USIDHARAU:

Heshima kwa mteja

Upatikanaji wa huduma

Muonekano wa duka

Kutangaza biashara


Biashara ndogo inaweza kukupa mafanikio makubwa ukiisimamia vizuri πŸ’―

Wewe unaona kosa gani linaangusha mawakala wengi zaidi? πŸ‘‡
paschal

paschal

5 June 2026

USIFUNGUE DUKA LA UWAKALA KABLA HUJAJUA HAYA ⚠️ Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya uwakala wakiamini ni rahisi kupata faida… Lakini ukweli ni kwamba mawakala wengi wanafunga biashara mapema kwa sababu ya makosa madogo wanayopuuzia kila siku. HAYA NDIO MAKOSA MAKUBWA πŸ‘‡ ❌ Kufungua sehemu isiyo na watu Ukifungua eneo ambalo halina mzunguko wa watu, wateja watakuwa wachache hata kama una huduma nzuri. ❌ Kutokuwa na float ya kutosha Mteja akija mara kwa mara akakosa huduma, ataenda kwa wakala mwingine. ❌ Huduma mbaya kwa wateja Kukasirika, kuchelewa au kujibu vibaya huwafanya wateja wasirudi tena. ❌ Duka kutokuwa safi na kuvutia Muonekano wa duka nao huongeza imani kwa wateja. ❌ Kutotangaza biashara yako Ukikaa kimya watu hawatajua huduma zako. Post kila siku, weka matangazo na onesha huduma zako online. βœ”οΈ Wakala anayejua kuhudumia watu vizuri huwa anapata wateja wengi kila siku. USIDHARAU: Heshima kwa mteja Upatikanaji wa huduma Muonekano wa duka Kutangaza biashara Biashara ndogo inaweza kukupa mafanikio makubwa ukiisimamia vizuri πŸ’― Wewe unaona kosa gani linaangusha mawakala wengi zaidi? πŸ‘‡

Unajua Kwa Nini nakukataza kumpa mteja sim yako ya ofisi au yako Kuna utapeli huu.

Mteja anakuja niazime sim wakala yako yakupiga una mpa chap anakagua jina ume save lbda baba, kaka, mama, mpenzi, bamdogo anafuta moja anaweka yake afu ana save hivo hivo kama ulivyo save kesho yake.

Anatuma message labda nitumie laki takupa nikija jina linakuja lbda bamdogo kwenye Sim yako we unahisi ni bamdogo wako kumbe ni li namba la tapeli unatuma badae unaumana na bamdogo wako. Iko hivyo umenisoma ee we wakala mpya.

Follow me Mpesa business 

#MPESASafaricom #MixByYas #MPESA
mpesabusiness

mpesabusiness

5 June 2026

Unajua Kwa Nini nakukataza kumpa mteja sim yako ya ofisi au yako Kuna utapeli huu. Mteja anakuja niazime sim wakala yako yakupiga una mpa chap anakagua jina ume save lbda baba, kaka, mama, mpenzi, bamdogo anafuta moja anaweka yake afu ana save hivo hivo kama ulivyo save kesho yake. Anatuma message labda nitumie laki takupa nikija jina linakuja lbda bamdogo kwenye Sim yako we unahisi ni bamdogo wako kumbe ni li namba la tapeli unatuma badae unaumana na bamdogo wako. Iko hivyo umenisoma ee we wakala mpya. Follow me Mpesa business #MPESASafaricom #MixByYas #MPESA

Unalalamika mimi namtaji mkubwa Niko eneo zuri mbona sasa sipati wateja napata hela kidogo.

Kama ulikuwa hujui ndo nakwambia hapa wewe huishindi hela campun ya voda, Wala Yas ila ukienda kwenye ofisi hizi unahudumiwa Kama mfalme hakuna zarau za hovyo hovyo au ukipiga sim mitandaoni Kwao wanakujibu inavyo takiwa.

Sasa wewe hako kamilioni Tano Kako umejiona umemaliza we ndo mwenye hela mtu anakuja kulusha buku unakunja sura au unasema sirushi buku hujui huyo mteja ni nani we unakalili tu huyu Hana hela ikitokea huyo huyo anataka kurusha laki tano hawezi tena kuja kwako sababu anajua we kumbe unazarau wenye hela ndogo.

Au mwingine unajibu kwakujisikia kama vile umelazimiashwa ufungue ofisi wakati ni njaa zako kama unajiona unahela si ukakae kwako huna ndomaana unakaa barabarani kusubiri watu.

Ni hayo tu ko kama una mtaji na una eneo zuri afu ni zam yako mbovu usitupigie kelele tutakuogotea mawe sasa hivi😁😁

Follow me Mpesa business 

#MPESA #MixByYas #MPESASafaricom
mpesabusiness

mpesabusiness

5 June 2026

Unalalamika mimi namtaji mkubwa Niko eneo zuri mbona sasa sipati wateja napata hela kidogo. Kama ulikuwa hujui ndo nakwambia hapa wewe huishindi hela campun ya voda, Wala Yas ila ukienda kwenye ofisi hizi unahudumiwa Kama mfalme hakuna zarau za hovyo hovyo au ukipiga sim mitandaoni Kwao wanakujibu inavyo takiwa. Sasa wewe hako kamilioni Tano Kako umejiona umemaliza we ndo mwenye hela mtu anakuja kulusha buku unakunja sura au unasema sirushi buku hujui huyo mteja ni nani we unakalili tu huyu Hana hela ikitokea huyo huyo anataka kurusha laki tano hawezi tena kuja kwako sababu anajua we kumbe unazarau wenye hela ndogo. Au mwingine unajibu kwakujisikia kama vile umelazimiashwa ufungue ofisi wakati ni njaa zako kama unajiona unahela si ukakae kwako huna ndomaana unakaa barabarani kusubiri watu. Ni hayo tu ko kama una mtaji na una eneo zuri afu ni zam yako mbovu usitupigie kelele tutakuogotea mawe sasa hivi😁😁 Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #MPESASafaricom

Vodacom Kuna sehem pia nasisi mawakala tunatakiwa kuwashauri sababu sio kwamba mawakala hataki kutumia till za mpesa shida ni mfumo ulio opo saivi Kwa wateja yani kinachosababisha wakala kutumia lipa ni mteja.

Wateja ukiwaambia Kwa sasa watoe Kwa till wanakataa na wewe huwezi acha hela utakufaa njaaa ko Nini kifanyike.

Huo mda mnao pata kuwatumia message mawakala eti watumie till tumeni  Kwa wateja mfano huu.

Ndugu mteja tunapenda kukupa tarifa kuanzia Leo usitoe hela Kwa wakala Kwa lipa yake tumia laini yake ya uwakala na sio lipa nikinyume cha Sheria na ukitoa tu ata muamala mmoja Kwa lipa laini inafungiwa atakama Kuna hela Asante.

Mkituma Kwa watu wote kila siku hawato tumia tena lipa ata kidogo lakni eti Kwa wakala mnatuonea tu Bure. Ni maoni yangu na ombi sio shurutisho.

#MPESASafaricom #vodacomtanzania #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

5 June 2026

Vodacom Kuna sehem pia nasisi mawakala tunatakiwa kuwashauri sababu sio kwamba mawakala hataki kutumia till za mpesa shida ni mfumo ulio opo saivi Kwa wateja yani kinachosababisha wakala kutumia lipa ni mteja. Wateja ukiwaambia Kwa sasa watoe Kwa till wanakataa na wewe huwezi acha hela utakufaa njaaa ko Nini kifanyike. Huo mda mnao pata kuwatumia message mawakala eti watumie till tumeni Kwa wateja mfano huu. Ndugu mteja tunapenda kukupa tarifa kuanzia Leo usitoe hela Kwa wakala Kwa lipa yake tumia laini yake ya uwakala na sio lipa nikinyume cha Sheria na ukitoa tu ata muamala mmoja Kwa lipa laini inafungiwa atakama Kuna hela Asante. Mkituma Kwa watu wote kila siku hawato tumia tena lipa ata kidogo lakni eti Kwa wakala mnatuonea tu Bure. Ni maoni yangu na ombi sio shurutisho. #MPESASafaricom #vodacomtanzania #Vodacom

πŸ“š MAFUNZO YA LEO KWA WAFANYA BIASHARA WA UWAKALA
USIMDHARAU MTEJA WA SHILINGI 1,000 πŸ’‘
Wateja wadogo wa leo wanaweza kuwa wateja wakubwa kesho.
Mhudumie kila mteja kwa heshima na umakini uleule bila kuangalia kiasi cha pesa alichonacho.
Kumbuka: βœ”οΈ Lugha nzuri huvuta wateja
βœ”οΈ Uaminifu hujenga jina la biashara
βœ”οΈ Huduma ya haraka huwafanya warudi tena
Biashara hukua kwa tabia nzuri, si mtaji mkubwa pekee.
πŸ“ OMOKI ONLINE SERVICES

Follow chanel yetu ya whattsap Kwa mafunzo ZAIDI πŸ‘‰ https://whatsapp.com/channel/0029Vb7O9Um4inohwAmptd0x
paschal

paschal

5 June 2026

πŸ“š MAFUNZO YA LEO KWA WAFANYA BIASHARA WA UWAKALA USIMDHARAU MTEJA WA SHILINGI 1,000 πŸ’‘ Wateja wadogo wa leo wanaweza kuwa wateja wakubwa kesho. Mhudumie kila mteja kwa heshima na umakini uleule bila kuangalia kiasi cha pesa alichonacho. Kumbuka: βœ”οΈ Lugha nzuri huvuta wateja βœ”οΈ Uaminifu hujenga jina la biashara βœ”οΈ Huduma ya haraka huwafanya warudi tena Biashara hukua kwa tabia nzuri, si mtaji mkubwa pekee. πŸ“ OMOKI ONLINE SERVICES Follow chanel yetu ya whattsap Kwa mafunzo ZAIDI πŸ‘‰ https://whatsapp.com/channel/0029Vb7O9Um4inohwAmptd0x

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.