Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

Ikitokea kila kitu kipo sawa utaratbu ukawa sawa na tuka rudi kwenye till basi hela tutapa tu vizuri kama kawaida Wala ata msiwe na wasiwasi pia till huwa hazina usumbufu ata kidogo mtu yoyote anafanya kazi ya uwakala akitumia till lipa tunazikubali ila zina mzunguko kidogo.

Kwaiyo tuombe kama tunarudi kwenye till basi mawakala wote Tanzania turudi kwenye till nasio rahisi inahitajika ushirikiano na hao WA mtandaoni.

Tunaomba sana Vodacom watumieni message wateja waache kutaka kutoa Kwa lipa wenyewe ndo wanalazimisha Kwa sasa kama wakala Hana lipa hapati hela kabisa wateja wanasepa.

Follow me Mpesa business 

#MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

4 days ago

Ikitokea kila kitu kipo sawa utaratbu ukawa sawa na tuka rudi kwenye till basi hela tutapa tu vizuri kama kawaida Wala ata msiwe na wasiwasi pia till huwa hazina usumbufu ata kidogo mtu yoyote anafanya kazi ya uwakala akitumia till lipa tunazikubali ila zina mzunguko kidogo. Kwaiyo tuombe kama tunarudi kwenye till basi mawakala wote Tanzania turudi kwenye till nasio rahisi inahitajika ushirikiano na hao WA mtandaoni. Tunaomba sana Vodacom watumieni message wateja waache kutaka kutoa Kwa lipa wenyewe ndo wanalazimisha Kwa sasa kama wakala Hana lipa hapati hela kabisa wateja wanasepa. Follow me Mpesa business #MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom

Kiuhalisia kama kila mtu angekuwa anachukua record ya kila muamala faida yake Kwa mwezi mzima basi utagundua Kuna sehem tunaingizwa Chaka Mimi nimefanya hivo ili kupata uhakika zaidi.

Kila muamala nilikuwa naandika record yake sasa nimekuja kupiga hesabu commission nilio lipwa na hii nimeandika tofauti kabisa.

Ndo pale wanasema hivi Kuna makosa utakuwa wakala ulifanya ndo zikakatwa mfano miamala batili kumtumia mtu mara mbili, au kutuma muamala mwingne kabla ya dakika Tano, au kumtumia mtu akiwa mbali sasa ukiangalia haya makosa Wala sio ya wakala nikumuonea Bure.

Ndomaana napambana mawakala tuungane kwenye hili so wanatukata tu sasa mteja akiwa mbali Mimi najuaje sasa, au sijui eti subiri mteja dakika tano ndo utume tena kama wateja wapo ishirini sasa nisubiri dakika tano si wataondoka au eti namba moja nisihudumie mara Zaidi ya mara mbili Kwa siku sasa kama mteja ndo anataka ana bet zake yani sio sahihi kabisa.

Follow me Mpesa business 

#MPESA #MixByYas #MPESASafaricom #Airtel #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

5 days ago

Kiuhalisia kama kila mtu angekuwa anachukua record ya kila muamala faida yake Kwa mwezi mzima basi utagundua Kuna sehem tunaingizwa Chaka Mimi nimefanya hivo ili kupata uhakika zaidi. Kila muamala nilikuwa naandika record yake sasa nimekuja kupiga hesabu commission nilio lipwa na hii nimeandika tofauti kabisa. Ndo pale wanasema hivi Kuna makosa utakuwa wakala ulifanya ndo zikakatwa mfano miamala batili kumtumia mtu mara mbili, au kutuma muamala mwingne kabla ya dakika Tano, au kumtumia mtu akiwa mbali sasa ukiangalia haya makosa Wala sio ya wakala nikumuonea Bure. Ndomaana napambana mawakala tuungane kwenye hili so wanatukata tu sasa mteja akiwa mbali Mimi najuaje sasa, au sijui eti subiri mteja dakika tano ndo utume tena kama wateja wapo ishirini sasa nisubiri dakika tano si wataondoka au eti namba moja nisihudumie mara Zaidi ya mara mbili Kwa siku sasa kama mteja ndo anataka ana bet zake yani sio sahihi kabisa. Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #MPESASafaricom #Airtel #Vodacom

Leo nataka niwaambie na nyie mawakala wakuu ambao mnakula kupitia sisi bila sisi hamli na hampati hela bisha kubali.

Kuna vitu vingine huwa mnaona kabisa viko tofauti ila kutusemea hamsemi mnaangalia maslahi yenu tu basi sisi tunateseka.

Ivi Kwa mfano we wakala mkuu unashindwa kutetea hii Sheria inayoa sema wakala asisaidiene na wakala mwenzake eti paka wakala mkuu ivi hii Sheria walipitisha kwakuwa wenyewe wanakaa kwenye ac na vitu vya kuzunguka.

Mtu yuko kijijini ni wakala kumpata wakala mkuu adi jasho inaingia sehem za Siri afu unasema wakala asiweke flot zaidi ya Kwa wakala mkuu wakati Kuna jirani yake wakala anaweza msaisidia kumpatia flot ko mtu aache kazi siku nzima eti kisa hajahudumiwa na wakala mkuu hii haipo sawa kabisa

Nyie mawakala wakuu mseme mko kwenye vikao baazi ya Sheria zibadirishwe zinatuuwa sisi mawalaka huku wa chini hatuna pakusemea.

Follow me Mpesa business 

#MPESASafaricom #MPESA #Vodacom #vodacomtanzania #MixByYas @
mpesabusiness

mpesabusiness

5 days ago

Leo nataka niwaambie na nyie mawakala wakuu ambao mnakula kupitia sisi bila sisi hamli na hampati hela bisha kubali. Kuna vitu vingine huwa mnaona kabisa viko tofauti ila kutusemea hamsemi mnaangalia maslahi yenu tu basi sisi tunateseka. Ivi Kwa mfano we wakala mkuu unashindwa kutetea hii Sheria inayoa sema wakala asisaidiene na wakala mwenzake eti paka wakala mkuu ivi hii Sheria walipitisha kwakuwa wenyewe wanakaa kwenye ac na vitu vya kuzunguka. Mtu yuko kijijini ni wakala kumpata wakala mkuu adi jasho inaingia sehem za Siri afu unasema wakala asiweke flot zaidi ya Kwa wakala mkuu wakati Kuna jirani yake wakala anaweza msaisidia kumpatia flot ko mtu aache kazi siku nzima eti kisa hajahudumiwa na wakala mkuu hii haipo sawa kabisa Nyie mawakala wakuu mseme mko kwenye vikao baazi ya Sheria zibadirishwe zinatuuwa sisi mawalaka huku wa chini hatuna pakusemea. Follow me Mpesa business #MPESASafaricom #MPESA #Vodacom #vodacomtanzania #MixByYas @

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.