justin
24 July 2026
Naomba kuuliza hivi ni license Gani inahitajika kwa Uwakala....Au Na wenye Banda la kuhamishika pia inatakiwa license wakuu ???
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
justin
24 July 2026
Naomba kuuliza hivi ni license Gani inahitajika kwa Uwakala....Au Na wenye Banda la kuhamishika pia inatakiwa license wakuu ???
salim
24 July 2026
Hii kuandika sababu ya kurudish muamala halopesa imakaaje wakuu sijaielewa
papilito
23 July 2026
PAPILITO SERVICES COMPANY LTD Kwa wale wanaohitaji kutengenezewa till zaa UWakala karibuni sana... Vigezo:- ni TIN, Namba ya NIDA au kitambulisho... Gharama yake 250,000/= hii pamoja na lipa unapatiwa Line zinatoka ndani ya siku 1.. Unapata vyote full. Line za uwakala na lipa zake Wasiliana nasi 0622111103 0792111103 E-mail. [email protected] Karibuni sana

papilito
23 July 2026
Kwa wale wanaohitaji kutengenezewa till zaa UWakala karibuni sana... Vigezo:- ni TIN, Namba ya NIDA au kitambulisho... Gharama yake 250,000/= hii pamoja na lipa unapatiwa Line zinatoka ndani ya siku 1.. Unapata vyote full. Line za uwakala na lipa zake Wasiliana nasi 0622111103 0792111103 E-mail. [email protected] Karibuni sana
muhidinially058gmail
22 July 2026
Ndugu habari mimi na changamoto pochi yangu wameipandishia makato imekua kama lipa ya kawida mfano tozo ya 30,000 ilikua ni shingi 400 lakini sasa wanakata 1000 kwa elfu30,000 shida itakua ni ipi...?

marwaisack
20 July 2026
Hapa changamoto nini
sam
20 July 2026
Jifunze uelimike usiibiwe kizembe👇 https://www.facebook.com/share/v/1apAhg5UPt/
gilliwakesigmail.com
19 July 2026
Nataka kufahamu namna ya kuangalia kamishen voda
revocatuslunyalula
17 July 2026
Naomba kuulza katika mitandao yakijamii ukiondoa benk nauzaje mabado Maana mm sjui kuuza bando wala dakika mitandao
emmawakala
16 July 2026
Naomba kuuliza iv inawezwkana kubadilisha lipa namba yenye jina la mtu kuwa jina la biashara?
amon84397gmail.com
16 July 2026
jaman mwenye bango la makato ya lipa Airtel naomba anitumie , bango la makato
amon84397gmail.com
16 July 2026
anitumie wasapu 0617590061 makato ya lipa Airtel bango

mpesabusiness
17 July 2026
Wote ambao hamjui utaratibu wa Airtel na halotel till mje ili maswali yapungue au unae taka anza uwakala. Ukitaka kusajili la ya Airtel au halotel kwanza popote ulipo Tanzania unapat haina haja ya kuweka kidole hilo lipo hivo. Halotel vigezo. 1.Tin number 2. Lessen. 3. Uwe na laki kwenye lain hiyo ya Airtel Siku moja lain imepita. Airtel vigezo. 1.Tin number 2. Lessen. 3. Namba ya Airtel. Dakika 20 tu unapita Popote ulipo kikubwa we uwe na vigezo hivyo basi sio kwangu tu popote utapo enda ni hivyo nazani hmna maswali tena. Bei kwangu 20000 halotel Airtel 15000 Haya nendeni sasa uko mpigwe akili ziwaingie maana mnchaaga sehem ya uhakika mnaenda kuvamia matapeli. 0779573819

mpesabusiness
15 July 2026
We ukiwa na mtaji wa kutosha kweli nenda kwahayo maeneo mgodini na kwa wavuvi ebane huko moto ila usiende na milioni mbili yako utarudi huoni mbele wa nyuma maana hiyo milion mbili ni muamala mmoja tu. #MPESA #Vodacom #Uwakala

mpesabusiness
14 July 2026
Baadhi ya wafanya kazi wamekuwa na lain zao hasa till hizo mteja akija kutoa hela kubwa kutumia till anampa code ya lain yake mwenyewe kwaiyo wewe huwezi jua sababu saivi si wateja wengi wanataka lipa kwaiyo we utazani tu wengi wanatoa lipa kumbe huku kuna kitu kinaendelea duh nika mbanano aiseee. #MPESA

mpesabusiness
14 July 2026
Ukisema ukalili kila njia ya utapeli kwa wewe unae anza itakuwa ngumu kwako huo ndio ukweli ila kunajinsi ya kufanya yani tuseme kama kinga. 1. Usimuamini mteja yoyoye yule. Hapa nazungumzia mteja yoyote ata jirani yako au ndugu yako sababu jirani au ndugu anaweza kutumika kukutapeli bila yeye kujua hilo weka akilini yani usimuamini afate Sheria wanazo fata wateja wengine apo utakuwa salama. 2. Mteja atoe hela kutumia sim yake au kuwekewa hela kwenye sim yake asitumie kifaaa chako cha kazi ata siku moja. Yani hapo usimpe mteja ata sim yako ya akiba ashike sijui wamtumie hela acha kama hana basi kubali kukosa hiyo hela unaweza sema mbona mimi nawapaga sitapeliwi ila weka akilini hili neno watu hawatapeliwi wote kwa siku moja maana yake ipo siku yako. 3. Usisikilize mtu yoyote anae jifanya sijui afisa, sijui wakala mkuu ambae we humjui au sijui natokea campun gani usisikilize kabis watu hao iwe live au wamepiga sim kata sim au kama wamekuja kwako sema siwajui na staki usumbufu na staki huduma yenu nikitak taenda mwenyewe voda au Yas au tamfata wakala wangu mkuu basi kausha. 4. Usifungue link yoyote ile au usifate mashariki yoyote yale ambayo mtu amekupigia sim sijui fanya fanya hivi kata sim, kwanza sim unazo takiwa kupkea ni 100, 101 basi zingine zote acha usipokee. Kwa leo ni hayo tu. Elim ipo kubwa kwa wewe unae anza inabidi uipate ila ndoivi Mtanzania paka aibiwe Kwanza laki tano ndio atoe 20000 kujifunza. 0779573819 piga ila sana wasap

joice
13 July 2026
Rorya

mpesabusiness
13 July 2026
Jana niligusia hilo ili kuona watu wanaelewa vipi kuhusu lessen hizi sasa somo hili. Tin number ni nini? hizi ni namba ambazo unapewa na TRA ambazo zinahusika na ulipaji wa kodi na kuzitumia katika kutengeneza lessen mfano lessen ya biashara ili mtu aonekane ana lipa kodi kazima awe na tin number. Lessen ya biashara ni nini? Hizi ni lessen zinazo mtambulisha mfanya biashara ambazo hizo lessen ndani yake ndo kuna tin number ambazo zinakutambua wewe ukilipa kodi, na hizi lessen za biashara unazipata kwenye halimashauri yako wewe nenda utapewa utaratibu. Je wakala wa mpesa, Yas, Airtel anahitaji lessen gani? wakala anahitaji lessen ya biashara tu na sio lessen zingine. Hizo lessen za hela ambazo zinatoka BOT ni kwa ajili ya watu wanaokopesha hela basi sio mawakala kwaiyo kuanzia leo wakala usitishike ata mtu anafanya kazi BOT akija kwenye ofisi yako akakuta lessen ya huduma za hela atakushangaa sana kwa sababu hizo nikwaajili ya watu wanao kopesha tu basi. Ndomaana unapo sajili lain za uwakala unaombwa lessen ya biashara na sio hiyo ya hela ya BOT. Sasa hapo nazani tumeelewna mchana mwema TRA Tanzania #MPESA #Uwakala #Vodacom
saidshame54gmail.com
13 July 2026
Wadau naombeni kuuliza je ukimtumia mtu pesa ambae yupo nje ya mkoa je unapata kamesheni au ndio wanakukata

mpesabusiness
13 July 2026
Yani ukishaifaham tu kazi hizi vizuri huto taka kazi ingine nikwambie leo ukweli huo. Uwakala shida ni mtaji tu basi ila ukishapata mtaji umemaliza sababu kinacho fata nikuchagua eneo zuri tu basi nakutulia hela zinakuja zenyewe. Kuhusu utapeli kwangu hakuna mbinu ambayo siijui inayo tumika kwenye utapeli kwa uzoefu wangu wakujifunza na kuifanya hii biashara hakuna tapeli anaweza ni tapeli mimi labda aniteke tu basi. Kuna angle nne tu ukizijua hizo hakuna tapeli yoyote anae weza kukutapeli labda wakuteke basi. Kwaiyo kama una mtaji na huna chakufanya kabisa njoo kwenye uwakala jifunze anza.
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.