Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

Hii mitandao Vodacom YAS na mingine Kuna sehem inabidi kiukweli mboreshe  kabisa baazi ya vipengele.

Hii Sheria mfano ya kusema ukituma pesa mteja akiwa mbali ni kosa Mimi naomba kuuliza unajuaje kama mteja yuko mbali huwezi kila mteja umuulize eti unamtumia mtu akiwa wapi na hata Ivo akikudanganya utamjuaje.

Kiukweli mawakala hatuna pakusemea Kuna mambo mengi tunaomba yabadirishwe moja wapo ni Hilo apo mitandao mtusikilize mawakala.

Vodacom Tanzania Yas Tanzania 

#Airtel #MPESA  #AirtelKenya
mpesabusiness

mpesabusiness

6 June 2026

Hii mitandao Vodacom YAS na mingine Kuna sehem inabidi kiukweli mboreshe kabisa baazi ya vipengele. Hii Sheria mfano ya kusema ukituma pesa mteja akiwa mbali ni kosa Mimi naomba kuuliza unajuaje kama mteja yuko mbali huwezi kila mteja umuulize eti unamtumia mtu akiwa wapi na hata Ivo akikudanganya utamjuaje. Kiukweli mawakala hatuna pakusemea Kuna mambo mengi tunaomba yabadirishwe moja wapo ni Hilo apo mitandao mtusikilize mawakala. Vodacom Tanzania Yas Tanzania #Airtel #MPESA #AirtelKenya

Wengi sana mmeniuliza swali hili nikitaka kuwa wakala nafanyaje fanyaje haya twende kazi ausio.

Ili uwe wakala hakuna vitu vigum hapana nikawaida tu mambo baazi ya kufata kama haya.

1. Upate lain za uwakala.

Hizi ndo lain za kazi yani kiufupi vitendea kazi vikubwa na muhim kwenye uwakala Kuna kutuma pesa Kwa mteja na, mteja kutoa pesa kuja kwako Kwa wakala sasa Kuna lain inabdi uwe nazo ndo uwe wakala zinaitwa till, kazi yake ndo hiyo kutuma pesa na kupokea pesa toka Kwa mteja je unazipataje?

Sehem ya uhakika Zaidi nikwenye maduka yao mfano vodashop japo wapo mawakala wanao sajili lain hizo kama Mimi mwenyewe.

                 Vigezo ukienda vodashop au                Yasshop.

.nida na kitambulisho chake.
.tin number 
. lessen ya biashara

Hivyo ndo vitu muhim vya kupata lain za uwakala na pia Kwa wakala so lazima uwe na lessen ya biashara.

2.  Mtaji.

Kitu kingine cha muhim ni mtaji utao Anza nao sasa baada ya kupata lain hizo ata ukianza na laki tano hawakukatazi ata laki tatu jamaa ni wewe ila atae Anza na laki tano na milion moja sio Kwamba watalingana faida hapana kama wote mnapata wateja basi wa mtaji mkubwa ndo atapata faida kubwa zaidi.

2. Eneo 

Ukishakuwa na mtaji na lain unatafuta eneo sasa ambalo wewe utalimudu kulipia basi ndo hapo unafanyia kazi kikubwa liwe eneo zuri kila siku nazani nasema Hilo kuhusu eneo zuri mnajua nishawelekeza sana.

3 hii naongeza mwenyewe uwe na elim kidogo ya mpesa.

Usifungue mpesa ukawa hujui kabisa kinachoendelea basi lazima utapitia wakati mgum mwanzoni huo ni ukweli usio pingika kabsa kwaiyo tafuta ka elim kidogo jinsi yakujikinga na matapeli na jinsi ya kuzibiti MTAJI wako.

Kwaiyo hivyo ndo vitu vinafanya uwe wakala hakuna kingine Mzee wangu na dada yangu na kaka yangu na mdogo wangu.

Follow me Mpesa business 

#MPESA #MixByYas #AirtelKenya #Vodacom
mpesabusiness

mpesabusiness

7 June 2026

Wengi sana mmeniuliza swali hili nikitaka kuwa wakala nafanyaje fanyaje haya twende kazi ausio. Ili uwe wakala hakuna vitu vigum hapana nikawaida tu mambo baazi ya kufata kama haya. 1. Upate lain za uwakala. Hizi ndo lain za kazi yani kiufupi vitendea kazi vikubwa na muhim kwenye uwakala Kuna kutuma pesa Kwa mteja na, mteja kutoa pesa kuja kwako Kwa wakala sasa Kuna lain inabdi uwe nazo ndo uwe wakala zinaitwa till, kazi yake ndo hiyo kutuma pesa na kupokea pesa toka Kwa mteja je unazipataje? Sehem ya uhakika Zaidi nikwenye maduka yao mfano vodashop japo wapo mawakala wanao sajili lain hizo kama Mimi mwenyewe. Vigezo ukienda vodashop au Yasshop. .nida na kitambulisho chake. .tin number . lessen ya biashara Hivyo ndo vitu muhim vya kupata lain za uwakala na pia Kwa wakala so lazima uwe na lessen ya biashara. 2. Mtaji. Kitu kingine cha muhim ni mtaji utao Anza nao sasa baada ya kupata lain hizo ata ukianza na laki tano hawakukatazi ata laki tatu jamaa ni wewe ila atae Anza na laki tano na milion moja sio Kwamba watalingana faida hapana kama wote mnapata wateja basi wa mtaji mkubwa ndo atapata faida kubwa zaidi. 2. Eneo Ukishakuwa na mtaji na lain unatafuta eneo sasa ambalo wewe utalimudu kulipia basi ndo hapo unafanyia kazi kikubwa liwe eneo zuri kila siku nazani nasema Hilo kuhusu eneo zuri mnajua nishawelekeza sana. 3 hii naongeza mwenyewe uwe na elim kidogo ya mpesa. Usifungue mpesa ukawa hujui kabisa kinachoendelea basi lazima utapitia wakati mgum mwanzoni huo ni ukweli usio pingika kabsa kwaiyo tafuta ka elim kidogo jinsi yakujikinga na matapeli na jinsi ya kuzibiti MTAJI wako. Kwaiyo hivyo ndo vitu vinafanya uwe wakala hakuna kingine Mzee wangu na dada yangu na kaka yangu na mdogo wangu. Follow me Mpesa business #MPESA #MixByYas #AirtelKenya #Vodacom

KOSA LA SIFURI MOJA LINAWEZA KUKUGEUZA HASARA KUBWA.

Katika biashara ya uwakala, umakini ni jambo muhimu sana. Sifuri moja tu likiongezwa au kupunguzwa kimakosa linaweza kusababisha hasara kubwa kwa wakala. Ndiyo maana ni muhimu kuhakikisha kiasi unachoandika kinafanana kabisa na kiasi alichoomba mteja kabla ya kuthibitisha muamala.

Kwa mfano, mteja anaweza kuhitaji kutoa au kuweka shilingi 2,000, lakini kwa bahati mbaya ukaandika shilingi 20,000 kwa kuongeza sifuri moja tu. Makosa hayo yanaweza kukusababishia upotevu wa fedha na migogoro isiyo ya lazima na wateja.
Kabla ya kubonyeza kitufe cha kuthibitisha muamala:

 ✅ Hakikisha umeangalia kiasi mara mbili.
✅ Rudia kusoma namba zote ulizoandika.
✅ Thibitisha tena na mteja kiasi anachotaka.
✅ Epuka kufanya miamala ukiwa na haraka au umechoka.

Wakala makini hulinda mtaji wake kwa kuzingatia kila namba anayoandika. Kumbuka, hasara nyingi za mawakala husababishwa na makosa madogo ambayo yangeweza kuzuilika kwa umakini wa sekunde chache tu.

Funzo: Sifuri moja linaweza kuonekana dogo, lakini katika biashara ya uwakala linaweza kuwa tofauti kati ya faida na hasara. Kuwa makini kila wakati.

#MPESA #MixByYas #Airtel #Vodacom 

Follow me Mpesa business
mpesabusiness

mpesabusiness

6 June 2026

KOSA LA SIFURI MOJA LINAWEZA KUKUGEUZA HASARA KUBWA. Katika biashara ya uwakala, umakini ni jambo muhimu sana. Sifuri moja tu likiongezwa au kupunguzwa kimakosa linaweza kusababisha hasara kubwa kwa wakala. Ndiyo maana ni muhimu kuhakikisha kiasi unachoandika kinafanana kabisa na kiasi alichoomba mteja kabla ya kuthibitisha muamala. Kwa mfano, mteja anaweza kuhitaji kutoa au kuweka shilingi 2,000, lakini kwa bahati mbaya ukaandika shilingi 20,000 kwa kuongeza sifuri moja tu. Makosa hayo yanaweza kukusababishia upotevu wa fedha na migogoro isiyo ya lazima na wateja. Kabla ya kubonyeza kitufe cha kuthibitisha muamala: ✅ Hakikisha umeangalia kiasi mara mbili. ✅ Rudia kusoma namba zote ulizoandika. ✅ Thibitisha tena na mteja kiasi anachotaka. ✅ Epuka kufanya miamala ukiwa na haraka au umechoka. Wakala makini hulinda mtaji wake kwa kuzingatia kila namba anayoandika. Kumbuka, hasara nyingi za mawakala husababishwa na makosa madogo ambayo yangeweza kuzuilika kwa umakini wa sekunde chache tu. Funzo: Sifuri moja linaweza kuonekana dogo, lakini katika biashara ya uwakala linaweza kuwa tofauti kati ya faida na hasara. Kuwa makini kila wakati. #MPESA #MixByYas #Airtel #Vodacom Follow me Mpesa business

Kudhibiti Mtaji wa Biashara Yako
Kudhibiti mtaji wako ni hatua muhimu katika kuhakikisha biashara yako inakua na kuendelea kuwa na mafanikio.

 Moja ya mambo ya msingi ni kuwa na bajeti inayoonyesha mapato na matumizi ya kila mwezi ili uweze kufuatilia fedha zako kwa urahisi na kuepuka matumizi yasiyo ya lazima.
Ni muhimu kuhakikisha kuwa fedha ulizotenga kama mtaji wa biashara zinatumika kwa malengo ya biashara pekee. Epuka kutumia hela ya mtaji kwa mahitaji binafsi kama vile starehe, safari zisizo za lazima au matumizi mengine ya nyumbani, kwani kufanya hivyo kunaweza kupunguza uwezo wa biashara yako kujiendesha na kukua.

Pia, kuwa makini na mbinu mbalimbali za utapeli zinazoweza kuhatarisha mtaji wako. Usitoe taarifa zako za siri kama namba za siri (PIN), nywila au taarifa za akaunti kwa mtu yeyote. Kabla ya kufanya miamala yoyote, hakikisha unamfahamu mtu au taasisi unayoshughulika nayo. Matapeli wengi hutumia ahadi za faida kubwa za haraka ili kuwavutia wafanyabiashara, hivyo ni muhimu kuchunguza kwa makini kabla ya kufanya maamuzi ya kifedha.

Aidha, fanya tathmini ya biashara yako mara kwa mara kwa kuangalia idadi ya wateja, kiwango cha mauzo na changamoto zinazojitokeza. Hii itakusaidia kubaini maeneo yanayohitaji maboresho na kupanga mikakati bora ya kuongeza faida.

Usisahau kuweka kumbukumbu sahihi za mapato na matumizi, pamoja na kuhakikisha fedha zako zinahifadhiwa kwa usalama. Mtaji unaolindwa vizuri na kutumika kwa nidhamu ndio msingi wa ukuaji wa biashara yoyote.
Kila la heri katika biashara yako. 🙏

#MPESA #MixByYas #Vodacom #Airtel
mpesabusiness

mpesabusiness

6 June 2026

Kudhibiti Mtaji wa Biashara Yako Kudhibiti mtaji wako ni hatua muhimu katika kuhakikisha biashara yako inakua na kuendelea kuwa na mafanikio. Moja ya mambo ya msingi ni kuwa na bajeti inayoonyesha mapato na matumizi ya kila mwezi ili uweze kufuatilia fedha zako kwa urahisi na kuepuka matumizi yasiyo ya lazima. Ni muhimu kuhakikisha kuwa fedha ulizotenga kama mtaji wa biashara zinatumika kwa malengo ya biashara pekee. Epuka kutumia hela ya mtaji kwa mahitaji binafsi kama vile starehe, safari zisizo za lazima au matumizi mengine ya nyumbani, kwani kufanya hivyo kunaweza kupunguza uwezo wa biashara yako kujiendesha na kukua. Pia, kuwa makini na mbinu mbalimbali za utapeli zinazoweza kuhatarisha mtaji wako. Usitoe taarifa zako za siri kama namba za siri (PIN), nywila au taarifa za akaunti kwa mtu yeyote. Kabla ya kufanya miamala yoyote, hakikisha unamfahamu mtu au taasisi unayoshughulika nayo. Matapeli wengi hutumia ahadi za faida kubwa za haraka ili kuwavutia wafanyabiashara, hivyo ni muhimu kuchunguza kwa makini kabla ya kufanya maamuzi ya kifedha. Aidha, fanya tathmini ya biashara yako mara kwa mara kwa kuangalia idadi ya wateja, kiwango cha mauzo na changamoto zinazojitokeza. Hii itakusaidia kubaini maeneo yanayohitaji maboresho na kupanga mikakati bora ya kuongeza faida. Usisahau kuweka kumbukumbu sahihi za mapato na matumizi, pamoja na kuhakikisha fedha zako zinahifadhiwa kwa usalama. Mtaji unaolindwa vizuri na kutumika kwa nidhamu ndio msingi wa ukuaji wa biashara yoyote. Kila la heri katika biashara yako. 🙏 #MPESA #MixByYas #Vodacom #Airtel

Hili somo muhim sana kwenu mawakala wapya na mnao taka kuanza biashara hii.

Mteja anapokuja anajiongeresha na sim zisizo isha wakati kaja kabisa ofisini kwako anataka huduma Wala usipoteze muda wako kumuhudumia mwambie amalize kwanza shida zake za sim akitulia ndo umpe huduma.

Tena so Hilo yani usizingatie mawasilano anayo ongea na huyo anaongea nae huo ndo unaweza kuwa mtego kukutapeli wewe au anataka ajifnye anakunchanganya badae aseme umekosew mwenyewe wakala jina so hili yani kiufupi Kuna njia nyingi za kukutapeli Kwa mteja amabe anaongea na sim yuko bize Kuna maswali utakuwa unamuuliza hato jibu atatumia tu ishara sasa hapo ndo mtego kaweka ko akija mwambie maliza shida zako za kuongea na sim ndo useme unataka huduma gani.

Akilazimisha mwambie takuogotea mawe toka ofisini kwangu mwehu.😁😁😁

Follow me Mpesa business ujifunze wewe.

#MPESASafaricom #MixByYas #vodacomtanzania #Vodacom #MPESA
mpesabusiness

mpesabusiness

6 June 2026

Hili somo muhim sana kwenu mawakala wapya na mnao taka kuanza biashara hii. Mteja anapokuja anajiongeresha na sim zisizo isha wakati kaja kabisa ofisini kwako anataka huduma Wala usipoteze muda wako kumuhudumia mwambie amalize kwanza shida zake za sim akitulia ndo umpe huduma. Tena so Hilo yani usizingatie mawasilano anayo ongea na huyo anaongea nae huo ndo unaweza kuwa mtego kukutapeli wewe au anataka ajifnye anakunchanganya badae aseme umekosew mwenyewe wakala jina so hili yani kiufupi Kuna njia nyingi za kukutapeli Kwa mteja amabe anaongea na sim yuko bize Kuna maswali utakuwa unamuuliza hato jibu atatumia tu ishara sasa hapo ndo mtego kaweka ko akija mwambie maliza shida zako za kuongea na sim ndo useme unataka huduma gani. Akilazimisha mwambie takuogotea mawe toka ofisini kwangu mwehu.😁😁😁 Follow me Mpesa business ujifunze wewe. #MPESASafaricom #MixByYas #vodacomtanzania #Vodacom #MPESA

Nishapokea malalamiko mengi eti mteja anakuja anarusha hela Leo kesho anakuja anasema hela haikufika sasa Kwa Mimi hiyo sioni ata kama ni kesi yoyote Ile kihivi.

Toka jana kwanza nasema hakikisha mteja mwenyewe ndo anakwambia jina linakuja nani akitaka mwenyewe basi yeye ndo kajifunga akikosea sasa ni juu yake yeye.

Haya na wewe wakala tunza miamala tafuta sim inayo hitadhi message nyingi sana zipo sim za batani ndogo zinahifazi message nyingi sana kwaiyo miamala Anza kufuta miamala iliyo kaa siku tatu ndo ufute sasa maana hakuna mtu atakuwa mzima eti akae siku aje hela haikufika usimsikilize mwambie nenda polisi kanishataki basi sababu hiyo so Sheria kukaa siku tatu eti ndo urudi.

Kwaiyo hakikisha unahifadhi miamala kwanza sasa mteja ana rusha Leo afu kesho aje eti umefuta muamala hiyo hapana jitahidi kuondoa hizo kelo.

Kingine unaweza wapigia mtandaoni kuuliza je hela ikifika au haikufika ila kitu kikubwa ni mteja ataje yeye jina litalo toka basi.

Mara nyingi mteja akirudi hela haikufika haji na namba Ile Ile anakuja na namba ingine ila majina yanakuwa yanafanana na Ile namba alio kuja nayo jana ko usipokuwa makini utahisi wewe ndo ulikosea soma vizuri hii point.

Ni follow Mpesa business 

#MPESASafaricom #MPESA #vodacomtanzania
mpesabusiness

mpesabusiness

6 June 2026

Nishapokea malalamiko mengi eti mteja anakuja anarusha hela Leo kesho anakuja anasema hela haikufika sasa Kwa Mimi hiyo sioni ata kama ni kesi yoyote Ile kihivi. Toka jana kwanza nasema hakikisha mteja mwenyewe ndo anakwambia jina linakuja nani akitaka mwenyewe basi yeye ndo kajifunga akikosea sasa ni juu yake yeye. Haya na wewe wakala tunza miamala tafuta sim inayo hitadhi message nyingi sana zipo sim za batani ndogo zinahifazi message nyingi sana kwaiyo miamala Anza kufuta miamala iliyo kaa siku tatu ndo ufute sasa maana hakuna mtu atakuwa mzima eti akae siku aje hela haikufika usimsikilize mwambie nenda polisi kanishataki basi sababu hiyo so Sheria kukaa siku tatu eti ndo urudi. Kwaiyo hakikisha unahifadhi miamala kwanza sasa mteja ana rusha Leo afu kesho aje eti umefuta muamala hiyo hapana jitahidi kuondoa hizo kelo. Kingine unaweza wapigia mtandaoni kuuliza je hela ikifika au haikufika ila kitu kikubwa ni mteja ataje yeye jina litalo toka basi. Mara nyingi mteja akirudi hela haikufika haji na namba Ile Ile anakuja na namba ingine ila majina yanakuwa yanafanana na Ile namba alio kuja nayo jana ko usipokuwa makini utahisi wewe ndo ulikosea soma vizuri hii point. Ni follow Mpesa business #MPESASafaricom #MPESA #vodacomtanzania

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.