sham
10 June 2026
Naomba mnielekeze jinsi yakutoa era kwenye lipa ya Airtel money
Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu
sham
10 June 2026
Naomba mnielekeze jinsi yakutoa era kwenye lipa ya Airtel money

mpesabusiness
10 June 2026
Usije Kwa ubish njoo Kwa kujifunza twende pamoja kila hatua uliza Kwa ustarabu sio ubishi wa chuki. Naposema kwamba usinunue bodaboda milion tatu na zaidi weka kwenye uwakala kama kazi hii utafanya mwenyewe apo nieleweke kwanza alafu twende kwenye somo sasa. Biashara ya pikipiki naijua vizuri sana sababu nilianza kuwa bodaboda na ninayo badaboda Kwa sasa hivi pikipiki inaanzia milion tatu sindyo na kila kitu na usajili lazima ifike na laki tatu haya Baada ya kununua ukaanza kazi kumbuka pikipiki inahitaji service atakama ni mpya kama umempa mtu akuandeshee ndo Kuna changamoto nyingi sana mara hesabu Leo tizi mara hiki sababu nyingi sana na Kwa siku pikipiki ni 10000 marejesho maneno mengi ni hivo Kwa siku. Tunakuja kwenye mpesa mtaji wa shilingi Milion tatu ni mkubwa sana na unafaa sana kwenye uwakala na imani na nihivo kama umepata sehem nzuri na unafanya mwenyewe Kwa siku nzima huwezi kosa 20000 nieleewe vizuri kama upo sehem nzuri watu wanafanya Miamala hiyo kulala nayo ni lazima ata zaidi na hiyo ni ya lipa tu bado till mawakala wanajua hili na hamna sijui ufanye service vitu gani sijui Nini hakuna ko unaweza linganisha hivo. Lakini nimesema zingatia haya mtaji huo nilio sema, eneo liwe zuri nishaaelezea sana kuhusu eneo lakufanyia uwakala, huduma iwe nzuri acha zarau, tatu uwe makini sana na watu wanao jifanya matapeli na nirahisi vizuri tu kuepuka hili tena rahisi sana labda utekwe, mtaji wa uwakala usichanganye na mambo yako utunze. Pia biashara ya pikipiki ina presha sana sana kama huna pikipiki za biashara kuelewa hili ni ngum sana Kama ndo umepata hiyo Milion tatu huna nyingine au hujui utaitoa wapi tena bora uendeeshe mwenyewe hiyo pikipiki au utulie zako kwenye uwakala. Kuna watu wanasema uwakala unahitaji umakini sasa Kuna kazi ambayo haitaji umakini basi we kama hauko makini hakuna kazi utaweza. Naomba comment za kuelimisha apo kwenye comment watu wajifunze
pangaume
10 June 2026
Ndugu zangu nani anaweza kunisaidia kuunganisha yas rusha maana laini yangu ya wakala haijaunganishwa na wateja wanaulizia sana
lazaromhongole
10 June 2026
Mwenye kujua namna ya kufunga hesabu jamani anielekeze inakuwaje

mfema
11 June 2026
π M-FEMA IMEWASILI! Je, unahitaji kubadilishana float kwa haraka, salama na kwa urahisi? M-FEMA ndiyo suluhisho lako! M-FEMA ni mfumo unaowaunganisha mawakala na kuwawezesha: β Kubadilishana float (Float Exchange) kwa urahisi. β Kufanya miamala kwa usalama na uhakika zaidi. β Kufuatilia miamala yote kwa wakati halisi. β Kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wateja. π± Pakua M-FEMA leo: β’ Google Play Store kwa watumiaji wa Android. β’ Apple App Store kwa watumiaji wa iPhone. Jiunge na mawakala wengine wanaotumia teknolojia kurahisisha shughuli zao za kila siku na kuhakikisha upatikanaji wa float pale inapohitajika. βοΈ Msaada na maelezo zaidi: 0739 888 400 M-FEMA β Mtandao wa Mawakala kwa Float Exchange ya Haraka, Salama na Rahisi.
ishaka
10 June 2026
Habari za leo 10/06/26 Nipo na changamoto πmtanisaidiaje 1 nimefungua ofis hii sina hata wiki tatu 2changamoto yangu ni makato mteja akija anakuji nina elfu arubaini inatoka bei gan sijuw sina mabango ya makato msada wenu kama we zangu 3 natak bango ya kuweka codi za wakala 4 kazi njema kwasiku ya leo ngugu za wakala wezanguπ€

mpesabusiness
10 June 2026
Watu wengi huwa waoga Sana wakiona mtu kaja kufungua ofisi jirani yake hiyo hiyo ya uwakala basi ana nuna nakufikiria atakosa wateja kabisa ila jibu ni ndiyo unaweza wakosa au usiwakose wateja. Mtu akija kufungua karibu yako we muache na usinune ila Kuna vitu vya muhim sana inabidi uvifanye wewe ulie kutwa hapo. 1. Fungua ofisi mapema sana kabla yake. 2. Ukiweza kawia kufunga ofisi kabla yake. 3. Jikinge utavyo weza wewe Kwa imani utayo ona kabisa hii nikutumia tajilinda kuto zurika na mtu sijasema uende Kwa mganga kuchukua dawa ujikinge hpna sijasem hivo Mimi au upige Dua ya maana kweli kweli ofisini kwako sijasema hivo au upige maombi ya ukweli kila siku unapofungua na kufunga sijasema hivo Mimi. 4. Hudumia wateja vizuri Kwa unyenyekuvu mkubwa na Kwa usikivu mkubwa. 5. Tumia mbinu mbadala nunua pakiti la Jojo au pipi mteja akija kufanya muamala mpe jojo mbili au pipi uone show yake kama ataenda pengine. 6. Hakikisha huduma kwako hazikoseni flot na cash na uache kufunga funga ofisi hovyo bila mpangilio. Ukifanya hayo ata waje kumi huto pungukiwa chchote ila usiwe na roho mbaya tu kwamba upate wewe tu kila kitu no. #MPESA #Vodacom #AirtelKenya #MixByYas
mbugi
10 June 2026
WATU WAMELALA SASA, MKO WAPI? JAMAN? ANAWASHA LIPA NAMBA ZA VODA?

mbugi
10 June 2026
JE KUNA MTAALAM WA IT HUMU NDANI, NAOMUOMBA KINADILI

mpesabusiness
9 June 2026
Kwenye kura za ni mtandao upi una commission nzuri kwetu sisi mawalaka imeonekana mtandao wa Airtel Tanzania ndo wa mwisho jamani Airtel na nyie mboreshe tuwafurahie na nyie jamani ndugu zetu. Tunaishi Kwa kutegemeana ata sisi tunafamilia zetu zinatutegmea ndugu zetu jamani mtusikie huko eeee. #MixByYas #Vodacom #Airtel #MPESA

mpesabusiness
10 June 2026
Mnao uliza menu ya vifurushi Yas #MixByYas #MPESASafaricom #AirtelKenya

mange_solver
10 June 2026
ππ¨π₯π¦π π¬π ππππ¦πππ₯π β π£π’πππ π¬π ππππ¦πππ₯π (π ππππ§π’ π πππ’ππ’, πππππ ππ¨ππͺπ) Hii ndiyo maana ya biashara yenye makato madogo na usalama wa pesa zako. π° Mfano wa faida: βοΈ Mteja akilipa TZS 200,000 β makato ni 1,200 tu π Wewe unaweza kupata hadi 3,000 β 3,500 βοΈ Mteja akilipa TZS 100,000 β makato ni 1,000 tu π¨πππͺπ π‘π π£π’πππ π¬π ππππ¦πππ₯π, π¨π‘ππ£ππ§π πππππ ππ¨ππͺπ πππππ ππͺπ ππππ π π§πππ! β±οΈ Ndani ya masaa 48 tu β pochi yako inakuwa tayari! π©πππππ’: β’ π¨πͺπ π‘π π‘πππ β’ π‘ππ ππ π¬π π¦ππ π¨ ππͺπ ππ πππ¨π‘ππ¨πππͺπ π -π£ππ¦π β’ π£ππππ π¬π π£ππ¦π¦π£π’π₯π§ π¦πππ ππ¨ β’ π£ππππ π¬π πππ§ππ ππ¨πππ¦ππ’ (π‘πππ / π π£πππ ππ¨π₯π) β οΈ Hakikisha NIDA yako haijasajili Lipa Namba nyingine πΌ Anza leo β ongeza kipato chako kwa njia rahisi na salama! π π ππͺππ¦πππππ‘π’ β οΈ > Call /whatsapp > 0753947373π

255769564254
10 June 2026
Njoo inbox namba ya. WhatsApp 0769564254 nichek nipo online masaa 24

auginjou
9 June 2026
Naomba elimu juu ya AZAM PESA,SELCOM,NMB zinavyofanya kazi ukizingatia;sifa ya kuwa nazi,gharama na faida yake ya access hizo.

michaelkyando
9 June 2026
Naombeni msaada jaman Kwanza mii nina utaratibu wangu wa kuangalia kamisheni sasa leo nmeangalia nmekuta imepungua na nimejaribu kuwapigia wananambia niongee na wakala mkuu sasa sijui vinahusiana vipi AIRTEL MNATUCHOSHA

mfema
10 June 2026
π’ TANGAZO KWA MAWAKALA WOTE Tunapenda kuwataarifu kuwa mfumo wa M-FEMA sasa unapatikana kwa matumizi ya mawakala wote kwa ajili ya kurahisisha huduma za kifedha na uendeshaji wa shughuli za mawakala. Kupitia M-FEMA, mawakala wataweza: β Kufanya miamala kwa haraka na usalama zaidi. β Kubadilishana float (float exchange) kwa urahisi kati ya mawakala. β Kufuatilia taarifa za miamala kwa urahisi. β Kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja. β Kupata taarifa na maboresho ya mfumo kwa wakati. π± Pakua M-FEMA sasa: - Google Play Store kwa watumiaji wa simu za Android. - Apple App Store kwa watumiaji wa simu za iPhone. Tunawahimiza mawakala wote kupakua na kutumia mfumo huu ili kuongeza ufanisi, usalama na uwazi katika shughuli za kifedha. βοΈ Kwa maelezo zaidi au msaada wa kiufundi, wasiliana nasi kupitia: 0739 888 400 M-FEMA β Mfumo Rahisi, Salama na wa Kisasa kwa Huduma Bora.

mpesabusiness
9 June 2026
Miamala batili ni miamala ambayo imefanyika kwa makosa, haijatambulika kisheria, au imekosa vigezo vinavyotakiwa ili ikubalike katika mfumo wa fedha wa mtandao husika. Mfano ndo kama hiyo kurudia mara tatu kutuma Kwa namba moja, kuhudumiawa na wakala mwenzako hiyo inakuwa miamala batili lakini ujue. Sio Kwamba eti haifanyiki hiyo miamala hapana unafanya vizuri tu ila ujue mwisho wa mwezi huwa unakatwa kiasi cha pesa kutokana na miamala hiyo maana Kuna waha wa kigoma kama Mimi ubishi eti mbona kama ni batili Mimi huwa nafanya miamala hiyo na inaenda sipati mazara haaaaa wewe muha mwisho wa mwezi ndo wanakukataa so hapo hapo asilimia 90 huwa wanakataa mwisho wa mwezi au makosa mengine wanakata hapo hapo mfano wakala mkuu akiwa mkoa mwingne ni hapo hapo wanafyeka Kwaiyo mnao uliza ndo hivo. Follow me Mpesa business #MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom #MixByYas

mpesabusiness
9 June 2026
Ikitokea wakala wako mkuu kaenda mkoa tofauti na wewe ulipo alafu akakuhudumia wewe basi ujue utakatwa tu Kwa miamala atayo kufanyia hivyo ndo ilivyo Mimi nawapa tu kama ulikuwa hujui basi ndo ujue sheria ni nyingi. Taendelea tu kuwaletea sheria hizi kila napo zipata Kwa uhakika kutoka kwenye mitandao husika hasa yas. #MPESA #MPESASafaricom #MixByYas #AirtelKenya #Vodacom

mpesabusiness
9 June 2026
Dah ndugu zangu watu huku wanasema wenyewe bora zibaki lipa maswala ya till kusubiri hela Kwa mwezi afu hela ndogo watakufa njaaa ila mawakala noma sanaa Eti nanialiwatuma walete lipa wenyewe sindo wamesababisha hili wangeleta lipa na mpango madhubitu kuzuia haya yanatoke sasa tumeona ni fursa wenyewe hawataki labda wazifunge haaaaa. #MPESA #MPESASafaricom #Vodacom #MixByYas

zahoro
10 June 2026
π’ JE, UNATAKA KUWA WAKALA WA HALOPESA? Tunakutengenezea Laini ya Wakala wa HaloPesa BURE kabisa! β Hakuna gharama ya utengenezaji β Msaada wa hatua kwa hatua β Fursa ya kuongeza kipato kupitia huduma za kifedha Usikose nafasi hii ya kuanzisha au kukuza biashara yako. π Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi: βοΈ 0625 888 898 Karibu tukuhudumie!
Je wewe ni wakala?
Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.