Machapisho

Machapisho yanayoongoza kwa umaarufu

Usije Kwa ubish njoo Kwa kujifunza twende pamoja kila hatua uliza Kwa ustarabu sio ubishi wa chuki.

Naposema kwamba usinunue bodaboda milion tatu na zaidi weka kwenye uwakala kama kazi hii utafanya mwenyewe apo nieleweke kwanza alafu twende kwenye somo sasa.

Biashara ya pikipiki naijua vizuri sana sababu nilianza kuwa bodaboda na ninayo badaboda Kwa sasa hivi pikipiki inaanzia milion tatu sindyo na kila kitu na usajili lazima ifike na laki tatu haya Baada ya kununua ukaanza kazi kumbuka pikipiki inahitaji service atakama ni mpya kama umempa mtu akuandeshee ndo Kuna changamoto nyingi sana mara hesabu Leo tizi mara  hiki sababu nyingi sana na Kwa siku pikipiki ni 10000 marejesho maneno mengi ni hivo Kwa siku.

Tunakuja kwenye mpesa mtaji wa shilingi Milion tatu ni mkubwa sana na unafaa sana kwenye uwakala na imani na nihivo kama umepata sehem nzuri na unafanya mwenyewe  Kwa siku nzima huwezi kosa 20000 nieleewe vizuri kama upo sehem nzuri watu wanafanya Miamala hiyo kulala nayo ni lazima ata zaidi na hiyo ni ya lipa tu bado till mawakala wanajua hili na hamna sijui ufanye service vitu gani sijui Nini hakuna ko unaweza linganisha hivo.

Lakini nimesema zingatia haya mtaji huo nilio sema, eneo liwe zuri nishaaelezea sana kuhusu eneo lakufanyia uwakala, huduma iwe nzuri acha zarau, tatu uwe makini sana na watu wanao jifanya matapeli na nirahisi vizuri tu kuepuka hili tena rahisi sana labda utekwe, mtaji wa uwakala usichanganye na mambo yako utunze.

Pia biashara ya pikipiki ina presha sana sana kama huna pikipiki za biashara kuelewa hili ni ngum sana

Kama ndo umepata hiyo Milion tatu huna nyingine au hujui utaitoa wapi tena bora uendeeshe mwenyewe hiyo pikipiki au utulie zako kwenye uwakala.

Kuna watu wanasema uwakala unahitaji umakini sasa Kuna kazi ambayo haitaji umakini basi we kama hauko makini hakuna kazi utaweza.

Naomba comment za kuelimisha apo kwenye comment watu wajifunze
mpesabusiness

mpesabusiness

3 days ago

Usije Kwa ubish njoo Kwa kujifunza twende pamoja kila hatua uliza Kwa ustarabu sio ubishi wa chuki. Naposema kwamba usinunue bodaboda milion tatu na zaidi weka kwenye uwakala kama kazi hii utafanya mwenyewe apo nieleweke kwanza alafu twende kwenye somo sasa. Biashara ya pikipiki naijua vizuri sana sababu nilianza kuwa bodaboda na ninayo badaboda Kwa sasa hivi pikipiki inaanzia milion tatu sindyo na kila kitu na usajili lazima ifike na laki tatu haya Baada ya kununua ukaanza kazi kumbuka pikipiki inahitaji service atakama ni mpya kama umempa mtu akuandeshee ndo Kuna changamoto nyingi sana mara hesabu Leo tizi mara hiki sababu nyingi sana na Kwa siku pikipiki ni 10000 marejesho maneno mengi ni hivo Kwa siku. Tunakuja kwenye mpesa mtaji wa shilingi Milion tatu ni mkubwa sana na unafaa sana kwenye uwakala na imani na nihivo kama umepata sehem nzuri na unafanya mwenyewe Kwa siku nzima huwezi kosa 20000 nieleewe vizuri kama upo sehem nzuri watu wanafanya Miamala hiyo kulala nayo ni lazima ata zaidi na hiyo ni ya lipa tu bado till mawakala wanajua hili na hamna sijui ufanye service vitu gani sijui Nini hakuna ko unaweza linganisha hivo. Lakini nimesema zingatia haya mtaji huo nilio sema, eneo liwe zuri nishaaelezea sana kuhusu eneo lakufanyia uwakala, huduma iwe nzuri acha zarau, tatu uwe makini sana na watu wanao jifanya matapeli na nirahisi vizuri tu kuepuka hili tena rahisi sana labda utekwe, mtaji wa uwakala usichanganye na mambo yako utunze. Pia biashara ya pikipiki ina presha sana sana kama huna pikipiki za biashara kuelewa hili ni ngum sana Kama ndo umepata hiyo Milion tatu huna nyingine au hujui utaitoa wapi tena bora uendeeshe mwenyewe hiyo pikipiki au utulie zako kwenye uwakala. Kuna watu wanasema uwakala unahitaji umakini sasa Kuna kazi ambayo haitaji umakini basi we kama hauko makini hakuna kazi utaweza. Naomba comment za kuelimisha apo kwenye comment watu wajifunze

πŸš€ M-FEMA IMEWASILI!

Je, unahitaji kubadilishana float kwa haraka, salama na kwa urahisi? M-FEMA ndiyo suluhisho lako!

M-FEMA ni mfumo unaowaunganisha mawakala na kuwawezesha: βœ… Kubadilishana float (Float Exchange) kwa urahisi.
βœ… Kufanya miamala kwa usalama na uhakika zaidi.
βœ… Kufuatilia miamala yote kwa wakati halisi.
βœ… Kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wateja.

πŸ“± Pakua M-FEMA leo: β€’ Google Play Store kwa watumiaji wa Android.
β€’ Apple App Store kwa watumiaji wa iPhone.

Jiunge na mawakala wengine wanaotumia teknolojia kurahisisha shughuli zao za kila siku na kuhakikisha upatikanaji wa float pale inapohitajika.

☎️ Msaada na maelezo zaidi:
0739 888 400

M-FEMA – Mtandao wa Mawakala kwa Float Exchange ya Haraka, Salama na Rahisi.
mfema

mfema

2 days ago

πŸš€ M-FEMA IMEWASILI! Je, unahitaji kubadilishana float kwa haraka, salama na kwa urahisi? M-FEMA ndiyo suluhisho lako! M-FEMA ni mfumo unaowaunganisha mawakala na kuwawezesha: βœ… Kubadilishana float (Float Exchange) kwa urahisi. βœ… Kufanya miamala kwa usalama na uhakika zaidi. βœ… Kufuatilia miamala yote kwa wakati halisi. βœ… Kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wateja. πŸ“± Pakua M-FEMA leo: β€’ Google Play Store kwa watumiaji wa Android. β€’ Apple App Store kwa watumiaji wa iPhone. Jiunge na mawakala wengine wanaotumia teknolojia kurahisisha shughuli zao za kila siku na kuhakikisha upatikanaji wa float pale inapohitajika. ☎️ Msaada na maelezo zaidi: 0739 888 400 M-FEMA – Mtandao wa Mawakala kwa Float Exchange ya Haraka, Salama na Rahisi.

Watu wengi huwa waoga Sana wakiona mtu kaja kufungua ofisi jirani yake hiyo hiyo ya uwakala basi ana nuna nakufikiria atakosa wateja kabisa ila jibu ni ndiyo unaweza wakosa au usiwakose wateja.

Mtu akija kufungua karibu yako we muache na usinune ila Kuna vitu vya muhim sana inabidi uvifanye wewe ulie kutwa hapo.

1. Fungua ofisi mapema sana kabla yake.

2. Ukiweza kawia kufunga ofisi kabla yake.

3. Jikinge utavyo weza wewe Kwa imani utayo ona kabisa hii nikutumia tajilinda kuto zurika na mtu sijasema uende Kwa mganga kuchukua dawa ujikinge hpna sijasem hivo Mimi au upige Dua ya maana kweli kweli ofisini kwako sijasema hivo au upige maombi ya ukweli kila siku unapofungua na kufunga sijasema hivo Mimi.

4. Hudumia wateja vizuri Kwa unyenyekuvu mkubwa na Kwa usikivu mkubwa.

5. Tumia mbinu mbadala  nunua pakiti la Jojo au pipi mteja akija kufanya muamala mpe jojo mbili au pipi uone show yake kama ataenda pengine.

6. Hakikisha huduma kwako hazikoseni flot na cash na uache kufunga funga ofisi hovyo bila mpangilio.

Ukifanya hayo ata waje kumi huto pungukiwa chchote ila usiwe na roho mbaya tu kwamba upate wewe tu kila kitu no.

#MPESA #Vodacom #AirtelKenya #MixByYas
mpesabusiness

mpesabusiness

3 days ago

Watu wengi huwa waoga Sana wakiona mtu kaja kufungua ofisi jirani yake hiyo hiyo ya uwakala basi ana nuna nakufikiria atakosa wateja kabisa ila jibu ni ndiyo unaweza wakosa au usiwakose wateja. Mtu akija kufungua karibu yako we muache na usinune ila Kuna vitu vya muhim sana inabidi uvifanye wewe ulie kutwa hapo. 1. Fungua ofisi mapema sana kabla yake. 2. Ukiweza kawia kufunga ofisi kabla yake. 3. Jikinge utavyo weza wewe Kwa imani utayo ona kabisa hii nikutumia tajilinda kuto zurika na mtu sijasema uende Kwa mganga kuchukua dawa ujikinge hpna sijasem hivo Mimi au upige Dua ya maana kweli kweli ofisini kwako sijasema hivo au upige maombi ya ukweli kila siku unapofungua na kufunga sijasema hivo Mimi. 4. Hudumia wateja vizuri Kwa unyenyekuvu mkubwa na Kwa usikivu mkubwa. 5. Tumia mbinu mbadala nunua pakiti la Jojo au pipi mteja akija kufanya muamala mpe jojo mbili au pipi uone show yake kama ataenda pengine. 6. Hakikisha huduma kwako hazikoseni flot na cash na uache kufunga funga ofisi hovyo bila mpangilio. Ukifanya hayo ata waje kumi huto pungukiwa chchote ila usiwe na roho mbaya tu kwamba upate wewe tu kila kitu no. #MPESA #Vodacom #AirtelKenya #MixByYas

𝗙𝗨π—₯𝗦𝗔 𝗬𝗔 π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔 – π—£π—’π—–π—›π—œ 𝗬𝗔 π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔 (π— π—”π—žπ—”π—§π—’ π— π—”π——π—’π—šπ—’, π—™π—”π—œπ——π—” π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔) 

Hii ndiyo maana ya biashara yenye makato madogo na usalama wa pesa zako.

πŸ’° Mfano wa faida:
βœ”οΈ Mteja akilipa TZS 200,000 – makato ni 1,200 tu
πŸ‘‰ Wewe unaweza kupata hadi 3,000 – 3,500
βœ”οΈ Mteja akilipa TZS 100,000 – makato ni 1,000 tu

π—¨π—žπ—œπ—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—£π—’π—–π—›π—œ 𝗬𝗔 π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔, 𝗨𝗑𝗔𝗣𝗔𝗧𝗔 π—™π—”π—œπ——π—” π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—­π—”π—œπ——π—œ π—žπ—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—Ÿπ—” π— π—§π—˜π—π—”!

⏱️ Ndani ya masaa 48 tu – pochi yako inakuwa tayari!

π—©π—œπ—šπ—˜π—­π—’:
β€’ 𝗨π—ͺπ—˜ 𝗑𝗔 π—‘π—œπ——π—”
β€’ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔 π—¦π—œπ— π—¨ π—œπ—ͺπ—˜ π—œπ— π—˜π—™π—¨π—‘π—šπ—¨π—Ÿπ—œπ—ͺ𝗔 𝗠-π—£π—˜π—¦π—”
β€’ π—£π—œπ—–π—›π—” 𝗬𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗦𝗣𝗒π—₯𝗧 π—¦π—œπ—­π—˜
𝗔𝗨
β€’ π—£π—œπ—–π—›π—” 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—§π—”π— π—•π—¨π—Ÿπ—œπ—¦π—›π—’ (π—‘π—œπ——π—” / π— π—£π—œπ—šπ—” π—žπ—¨π—₯𝗔)

⚠️ Hakikisha NIDA yako haijasajili Lipa Namba nyingine

πŸ’Ό Anza leo – ongeza kipato chako kwa njia rahisi na salama!

πŸ“ž 𝗠𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘π—’ ♠️
> Call /whatsapp
> 0753947373πŸ“ž
mange_solver

mange_solver

2 days ago

𝗙𝗨π—₯𝗦𝗔 𝗬𝗔 π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔 – π—£π—’π—–π—›π—œ 𝗬𝗔 π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔 (π— π—”π—žπ—”π—§π—’ π— π—”π——π—’π—šπ—’, π—™π—”π—œπ——π—” π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔) Hii ndiyo maana ya biashara yenye makato madogo na usalama wa pesa zako. πŸ’° Mfano wa faida: βœ”οΈ Mteja akilipa TZS 200,000 – makato ni 1,200 tu πŸ‘‰ Wewe unaweza kupata hadi 3,000 – 3,500 βœ”οΈ Mteja akilipa TZS 100,000 – makato ni 1,000 tu π—¨π—žπ—œπ—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—£π—’π—–π—›π—œ 𝗬𝗔 π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔, 𝗨𝗑𝗔𝗣𝗔𝗧𝗔 π—™π—”π—œπ——π—” π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—­π—”π—œπ——π—œ π—žπ—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—Ÿπ—” π— π—§π—˜π—π—”! ⏱️ Ndani ya masaa 48 tu – pochi yako inakuwa tayari! π—©π—œπ—šπ—˜π—­π—’: β€’ 𝗨π—ͺπ—˜ 𝗑𝗔 π—‘π—œπ——π—” β€’ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔 π—¦π—œπ— π—¨ π—œπ—ͺπ—˜ π—œπ— π—˜π—™π—¨π—‘π—šπ—¨π—Ÿπ—œπ—ͺ𝗔 𝗠-π—£π—˜π—¦π—” β€’ π—£π—œπ—–π—›π—” 𝗬𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗦𝗣𝗒π—₯𝗧 π—¦π—œπ—­π—˜ 𝗔𝗨 β€’ π—£π—œπ—–π—›π—” 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—§π—”π— π—•π—¨π—Ÿπ—œπ—¦π—›π—’ (π—‘π—œπ——π—” / π— π—£π—œπ—šπ—” π—žπ—¨π—₯𝗔) ⚠️ Hakikisha NIDA yako haijasajili Lipa Namba nyingine πŸ’Ό Anza leo – ongeza kipato chako kwa njia rahisi na salama! πŸ“ž 𝗠𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘π—’ ♠️ > Call /whatsapp > 0753947373πŸ“ž

πŸ“’ TANGAZO KWA MAWAKALA WOTE

Tunapenda kuwataarifu kuwa mfumo wa M-FEMA sasa unapatikana kwa matumizi ya mawakala wote kwa ajili ya kurahisisha huduma za kifedha na uendeshaji wa shughuli za mawakala.

Kupitia M-FEMA, mawakala wataweza:
βœ… Kufanya miamala kwa haraka na usalama zaidi.
βœ… Kubadilishana float (float exchange) kwa urahisi kati ya mawakala.
βœ… Kufuatilia taarifa za miamala kwa urahisi.
βœ… Kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja.
βœ… Kupata taarifa na maboresho ya mfumo kwa wakati.

πŸ“± Pakua M-FEMA sasa:

- Google Play Store kwa watumiaji wa simu za Android.
- Apple App Store kwa watumiaji wa simu za iPhone.

Tunawahimiza mawakala wote kupakua na kutumia mfumo huu ili kuongeza ufanisi, usalama na uwazi katika shughuli za kifedha.

☎️ Kwa maelezo zaidi au msaada wa kiufundi, wasiliana nasi kupitia:
0739 888 400

M-FEMA – Mfumo Rahisi, Salama na wa Kisasa kwa Huduma Bora.
mfema

mfema

3 days ago

πŸ“’ TANGAZO KWA MAWAKALA WOTE Tunapenda kuwataarifu kuwa mfumo wa M-FEMA sasa unapatikana kwa matumizi ya mawakala wote kwa ajili ya kurahisisha huduma za kifedha na uendeshaji wa shughuli za mawakala. Kupitia M-FEMA, mawakala wataweza: βœ… Kufanya miamala kwa haraka na usalama zaidi. βœ… Kubadilishana float (float exchange) kwa urahisi kati ya mawakala. βœ… Kufuatilia taarifa za miamala kwa urahisi. βœ… Kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja. βœ… Kupata taarifa na maboresho ya mfumo kwa wakati. πŸ“± Pakua M-FEMA sasa: - Google Play Store kwa watumiaji wa simu za Android. - Apple App Store kwa watumiaji wa simu za iPhone. Tunawahimiza mawakala wote kupakua na kutumia mfumo huu ili kuongeza ufanisi, usalama na uwazi katika shughuli za kifedha. ☎️ Kwa maelezo zaidi au msaada wa kiufundi, wasiliana nasi kupitia: 0739 888 400 M-FEMA – Mfumo Rahisi, Salama na wa Kisasa kwa Huduma Bora.

Miamala batili ni miamala ambayo imefanyika kwa makosa, haijatambulika kisheria, au imekosa vigezo vinavyotakiwa ili ikubalike katika mfumo wa fedha wa mtandao husika.

Mfano ndo kama hiyo kurudia mara tatu kutuma Kwa namba moja, kuhudumiawa na wakala mwenzako hiyo inakuwa miamala batili lakini ujue.

Sio Kwamba eti haifanyiki hiyo miamala hapana unafanya vizuri tu ila ujue mwisho wa mwezi huwa unakatwa kiasi cha pesa kutokana na miamala hiyo maana Kuna waha wa kigoma kama Mimi ubishi eti mbona kama ni batili Mimi huwa nafanya miamala hiyo na inaenda sipati mazara haaaaa wewe muha mwisho wa mwezi ndo wanakukataa so hapo hapo asilimia 90 huwa wanakataa mwisho wa mwezi au makosa mengine wanakata hapo hapo mfano wakala mkuu akiwa mkoa mwingne ni hapo hapo wanafyeka 

Kwaiyo mnao uliza ndo hivo.

Follow me Mpesa business 

#MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom #MixByYas
mpesabusiness

mpesabusiness

4 days ago

Miamala batili ni miamala ambayo imefanyika kwa makosa, haijatambulika kisheria, au imekosa vigezo vinavyotakiwa ili ikubalike katika mfumo wa fedha wa mtandao husika. Mfano ndo kama hiyo kurudia mara tatu kutuma Kwa namba moja, kuhudumiawa na wakala mwenzako hiyo inakuwa miamala batili lakini ujue. Sio Kwamba eti haifanyiki hiyo miamala hapana unafanya vizuri tu ila ujue mwisho wa mwezi huwa unakatwa kiasi cha pesa kutokana na miamala hiyo maana Kuna waha wa kigoma kama Mimi ubishi eti mbona kama ni batili Mimi huwa nafanya miamala hiyo na inaenda sipati mazara haaaaa wewe muha mwisho wa mwezi ndo wanakukataa so hapo hapo asilimia 90 huwa wanakataa mwisho wa mwezi au makosa mengine wanakata hapo hapo mfano wakala mkuu akiwa mkoa mwingne ni hapo hapo wanafyeka Kwaiyo mnao uliza ndo hivo. Follow me Mpesa business #MPESA #MPESASafaricom #AirtelKenya #Vodacom #MixByYas

JE, WEWE NI WAKALA WA M-PESA, AIRTEL MONEY, MIXX BY YAS AU HALOPESA?

Achana na daftari na makaratasi ya kurekodi miamala yako kila siku.

Tumia My Agent App – mfumo rahisi na salama wa kusimamia biashara ya uwakala.

βœ… Rekodi miamala ya kila mtandao kwa urahisi
βœ… Hesabu kamisheni za kila muamala kiotomatiki
βœ… Hifadhi matumizi ya kila siku
βœ… Fuatilia faida na hasara za biashara yako
βœ… Angalia ripoti za mauzo na mapato wakati wowote
βœ… Hifadhi kumbukumbu zako kwa usalama

My Agent imeundwa mahsusi kwa mawakala wa Tanzania wanaotaka kusimamia biashara zao kwa njia ya kisasa, sahihi na yenye ufanisi.

πŸ“Š Jua biashara yako inaingiza kiasi gani kila siku.
πŸ’° Fuatilia kamisheni zako kwa usahihi.
πŸ“ˆ Fanya maamuzi bora kwa kutumia taarifa halisi za biashara yako.

πŸ“ KUMBUKA APP HII NI BURE KABISA

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kupata App hii leo.
Call: 0652146418
Whatsapp: +255652146418
Pakua hapa: https://www.ibnstores.com

#MyAgent #MobileMoneyAgent #Mwakala #AirtelMoney #MixxByYas #Mpesa #Halopesa #Biashara #Tanzania #DigitalRecords
ibn_rashidy

ibn_rashidy

3 days ago

JE, WEWE NI WAKALA WA M-PESA, AIRTEL MONEY, MIXX BY YAS AU HALOPESA? Achana na daftari na makaratasi ya kurekodi miamala yako kila siku. Tumia My Agent App – mfumo rahisi na salama wa kusimamia biashara ya uwakala. βœ… Rekodi miamala ya kila mtandao kwa urahisi βœ… Hesabu kamisheni za kila muamala kiotomatiki βœ… Hifadhi matumizi ya kila siku βœ… Fuatilia faida na hasara za biashara yako βœ… Angalia ripoti za mauzo na mapato wakati wowote βœ… Hifadhi kumbukumbu zako kwa usalama My Agent imeundwa mahsusi kwa mawakala wa Tanzania wanaotaka kusimamia biashara zao kwa njia ya kisasa, sahihi na yenye ufanisi. πŸ“Š Jua biashara yako inaingiza kiasi gani kila siku. πŸ’° Fuatilia kamisheni zako kwa usahihi. πŸ“ˆ Fanya maamuzi bora kwa kutumia taarifa halisi za biashara yako. πŸ“ KUMBUKA APP HII NI BURE KABISA Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kupata App hii leo. Call: 0652146418 Whatsapp: +255652146418 Pakua hapa: https://www.ibnstores.com #MyAgent #MobileMoneyAgent #Mwakala #AirtelMoney #MixxByYas #Mpesa #Halopesa #Biashara #Tanzania #DigitalRecords

Wakala Forum

Je wewe ni wakala?

Pakua app ili kupenda, kutoa maoni, na kushiriki kwenye mijadala.